Wanaume siku hizi tunatisha na tumewashinda WANAWAKE

hhehehehehe!
jaribu kuwa precise,KWANIN?

Na imagine umekuja kunitembelea.

Mama matesha yuko sebuleni anasoma gazeti, mimi niko kitchen nasonga ugali.

Nilisemaje? HAPANA!

Wanaume wanapiga kibiashara, si kifamilia.

KUPIKA NYUMBANI KWA MWANAUME KIMAADILI HAIRUHUSIWI.

Wengine pikeni ila mimi HAPANA KWAKWELI. Hapa tusameheane tu.
 
ha ha ha ha!!siyo kutisha tu katika mapishi kulikowapa wanaume nafasi,lakini pia nasikia kuwa wanawake wakipewa kupika kwenye shughuri mara nyingi chakula, hususan nyama haitoshi!!eti wanavusha kupelekea watoto!!that is why kijijini kwetu kwenye shughuri wanawake wamekuwa wakisonga ugali na wanaume kuandaa mboga!!!

He he he he mkuu umenifungua macho kumbe Fidel anavyosema glass na toothpick zinayeyuka kimazingara bar ni kweli??
 
He he he he mkuu umenifungua macho kumbe Fidel anavyosema glass na toothpick zinayeyuka kimazingara bar ni kweli??

Heshima mbele bro,

Afadhali umerudi na kasi ile ile. Nilishaanza kuwa na wasi wasi ati!

Mkuu, kazi za wanawake hazijachukuliwa hata siku moja. Ziko pale pale. Hivi inavyoongelea ni vitu ambavyo hata robots zinaweza kufanya. Kwa hiyo siyo za wanawake tu. Jaribu kama unaweza kwenda labour room wewe, na kufanya zile shughuli zinazotangulia hiyo movie. Kama unaiweza hiyo basi nitumie invoice nilipe bill (because I will be owing you more than $100).:rolleyes:
 
sijawahi kuona wanawake wakiendesha jiko la kitimoto...........
wapo kaka,
sehemu zote nilizokuta wadada jikoni, mdudu anakuwa kimeo,
for some reason, kwenye mdudu hata wahudumu ni vidume tupu!
 
Heshima mbele bro,

Afadhali umerudi na kasi ile ile. Nilishaanza kuwa na wasi wasi ati!

Mkuu, kazi za wanawake hazijachukuliwa hata siku moja. Ziko pale pale. Hivi inavyoongelea ni vitu ambavyo hata robots zinaweza kufanya. Kwa hiyo siyo za wanawake tu. Jaribu kama unaweza kwenda labour room wewe, na kufanya zile shughuli zinazotangulia hiyo movie. Kama unaiweza hiyo basi nitumie invoice nilipe bill (because I will be owing you more than $100).:rolleyes:

Ha ha ha! mkuu nipo vacation na net huku Rombo inanisumbua kidogo. Ni kweli hatuwezi kuwashinda wanawake kwa kushuguli zao zote kwa mfano la reproduction ila kwenye kupika wanaume kwa sasa tunatisha we fanya uchunguzi utaona. Kuanzia kukaanga mihogo pale koko bichi mpka chipsi kinondoni.
 
Wanaume siku hizi tunatisha na tumewashinda WANAWAKE

Si utani, cheki njemba hii!
shoga.jpg
 
Back
Top Bottom