Wanaume siku hizi tunatisha na tumewashinda WANAWAKE

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Wanaume siku hizi tunatisha na tumewashinda WANAWAKE kwa kupika. temeblea sehemu za starehe/biashara uone tena wa asili ya kihindi ndio balaa zaidi. Kwa kuchoma nyama weusi tunaongoza. Wanawake wamebakia kuwa wahudumu wa mezani tu mahotelini.

Sasa mimi najiuliza haya mapinduzi yana maana gani?? wanawake wajitahidi warudie number 1 yao tuliyoichukua sisi wanaume. Na hata kuhudumia kwenye mabaa wanaume wanafanya vizuri kuliko wanawake kwa vile wakikuona umeenda na mkeo/mchumba/kiburudisho wanakuchunia kukuhudumia wakati wanaume wao wanachapa kazi tu.

Na ndio maana harusi ya mwenzetu GEOFF tumechukua Dr. Pimbi kataringi autidoa kampani limitedi nwanapika sana hawa jamaa.
 
Hehehehe! Kijana umerudi na vita kuu.

Subiri watie timu hapa! Hapo kwenye bold umekula Senksi kule juu.
 
hehehehe!
naona umerudi kwenye kasi yako ile ile...!NA UMEONGEA JAMBO LA MSINGI!......

wanaume tunatisha kama gharika!...nenda mahoteli makubwa yoote utakuta ma-meneja ni wanaume

ingia majiko maarufu utawakuta wanaume
 
Hahahaha Nguli week end hii karibu Chawote uone mtu mzima navyo chakalika karibu sana....
 
ukija chawote utamuona mkuu fidel anavyotengeneza MAKANGE!....
 
hehehehe!
naona umerudi kwenye kasi yako ile ile...!NA UMEONGEA JAMBO LA MSINGI!......

wanaume tunatisha kama gharika!...nenda mahoteli makubwa yoote utakuta ma-meneja ni wanaume

ingia majiko maarufu utawakuta wanaume

Mi mwanamke akimkaanga mdudu sikuli!
 
Hehehehe! Kijana umerudi na vita kuu.

Subiri watie timu hapa! Hapo kwenye bold umekula Senksi kule juu.

Ni ukweli mazee sijui nani atakaye bisha hili na kama yupo sio mtu wa mitoko na kama wanabisha tukutane iringa siku chache zijazo wajionee wenyewe.

hehehehe!
naona umerudi kwenye kasi yako ile ile...!NA UMEONGEA JAMBO LA MSINGI!......

wanaume tunatisha kama gharika!...nenda mahoteli makubwa yoote utakuta ma-meneja ni wanaume

ingia majiko maarufu utawakuta wanaume

Sisi noma mdudu tunachoma mpaka anageuka kuku wa kienyeji huwezi amni kama imepikwa na mwanaume. wasiwasi wangu ndoa zitakuwa matatani wanaume tunavipaji vya kupika kuliko hao proffessionals??

Hahahaha Nguli week end hii karibu Chawote uone mtu mzima navyo chakalika karibu sana....

Wk end hii tukutaneni seriuos kbs tumwage mwenzetu anakaribia kuingia maisha mapya na matamu sana.
 
Eeeh bwana Nguli jana nimetoka katika mihangaiko yangu ya kusaka pesa nikapita kununua mahitaji kidogo ..nimepishana na wanaume kama watano hivi ( hawajaoa ) wamebeba vimifuko ,,nikawa nawatania hebu nichungulie kuna nini huko na nyie mnaingia sokoni wanadai haki sawa mnachofanya nyie na sisi tunaweza
eeh vimifuko vimejaa mahitaji ya kupika wanaenda kukaangaza wenyewe duh
kweli siku hizi mambo yamebadilika sana
 
.......Sio siri wanaume kweli mnatisha kwa mapishi, hotel nyingi siku hizi wapishi ni wanaume na chakula chao kinanoga.
Ila kwa upande mwingine naona ni mgawanyiko wa kazi tu, siku hakuna kazi za kike wala za kiume, wote tunajichanganya tu.
 
Kazi ni kazi kibaya ni kuiba! kutokana na ugumu wa maisha watu wanaume wanweza kufanya kazi zozote angalau aweze kupata kipato. hawezi kumwonea wifu kiburudisho wako kwa sababu akitoka kazini na yeye anakwenda kwenye kiburudisho chake. always men are reasoning
 
Eeeh bwana Nguli jana nimetoka katika mihangaiko yangu ya kusaka pesa nikapita kununua mahitaji kidogo ..nimepishana na wanaume kama watano hivi ( hawajaoa ) wamebeba vimifuko ,,nikawa nawatania hebu nichungulie kuna nini huko na nyie mnaingia sokoni wanadai haki sawa mnachofanya nyie na sisi tunaweza
eeh vimifuko vimejaa mahitaji ya kupika wanaenda kukaangaza wenyewe duh
kweli siku hizi mambo yamebadilika sana

Hahaha! Kwahiyo mchango wetu tayari sio?
 
Yupo mkuu umesahau kwa Jeni pale Korogwe?
Alafu hata Blue gate pale ni jiko la mwanamke ndie anaye pika mdudu.
duh!
nimeanza kuelewa ni kwanin nilihama ile baa!....

na nimapata jibu ni kwanin huwa sinywi blue-gate
 
ukija kwenye upande wa kufua-UDOBI!....
wanaume pekee ndio wana vijiwe vya udobi!na wanafua kweli kweli

ukija kwenye dry-cleanerz,wanawake kazi yao ni kuandika oda tu!yaani tumewaingilia kweli kweli
 
Yeah pale kwa Jeni kuna yule dada mfupi aka Imoro anakaangaa vizuri sana wale wanaume kazi yao kukata nyama tu na wadada ni kulost ktm na kuandaa kachumbali
 
ukija kwenye upande wa kufua-UDOBI!....
wanaume pekee ndio wana vijiwe vya udobi!na wanafua kweli kweli

ukija kwenye dry-cleanerz,wanawake kazi yao ni kuandika oda tu!yaani tumewaingilia kweli kweli

Mi wanawke naona wamebobea zaidi kwenye kazi za usafi.
Ukienda gesti, wao ndio wanafua mashuka.
Bar, wao ndio wanasafisha glasi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom