wanaume pindo

estlovie

Member
Jan 2, 2012
18
2
je kwa wale wanaume wanaochukua degree ya pindo tuwafikirieje?wamezid wanaume wa cku hz wanapenda mteremko Na hvy kusababisha kufumuliwa pindo ,hv ni nashndwa kuelewa kwa nin wanaume wanatubania rizik kwa kutubananisha mpk wanawake wanakosa wanaume,kwa nin lakn mtafute hz degree za pindo? Hamjui znamadhara?
 
kijana hamna aliye kuelewa embu jiweke sawa...maana umezungumzia degree bado ukazungumzia kubaniwa wanawake sasa tukuelewe vipi..na degree za pindo ndo nini...?
 
Baadhi ya wanafunzi wa kiume wanabananishana na ma-lecturer wakiume ili wapite sup.
 
Miss eastlovie hueleweki bado, inavyoonyesha ww ni mwanachuo wa hivi vyuo vya kila siku vinachipua. Hiyo misemo yenu usifikiri wana JF tuna muda wa kuanza kutafuta Dictionary hata za Oxford kwa misemo ya kupita
[h=2]Re: wanaume pindo[/h]
Baadhi ya wanafunzi wa kiume wanabananishana na ma-lecturer wakiume ili wapite sup.mara zipu
 
Miss eastlovie hueleweki bado, inavyoonyesha ww ni mwanachuo wa hivi vyuo vya kila siku vinachipua. Hiyo misemo yenu usifikiri wana JF tuna muda wa kuanza kutafuta Dictionary hata za Oxford kwa misemo ya kupita
Kiswahili kigumu sana kweli,
Basi wanaume wanaopindwa.

Ni kama "Degree za Chupi", ila hii ni kwa wanafunzi wakiume wa Mrengo wa Cameroun
 
Kama ni hivyo inabidi wote wawe waumini wa huo mlengo, vinginevyo bado kazi ipo
 
je kwa wale wanaume wanaochukua degree ya pindo tuwafikirieje?wamezid wanaume wa cku hz wanapenda mteremko Na hvy kusababisha kufumuliwa pindo ,hv ni nashndwa kuelewa kwa nin wanaume wanatubania rizik kwa kutubananisha mpk wanawake wanakosa wanaume,kwa nin lakn mtafute hz degree za pindo? Hamjui znamadhara?

Acha ujinga kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom