wanaume pindo

estlovie

Member
Jan 2, 2012
18
2
je kwa wale wanaume wanaochukua degree ya pindo tuwafikirieje?wamezid wanaume wa cku hz wanapenda mteremko Na hvy kusababisha kufumuliwa pindo ,hv ni nashndwa kuelewa kwa nin wanaume wanatubania rizik kwa kutubananisha mpk wanawake wanakosa wanaume,kwa nin lakn mtafute hz degree za pindo? Hamjui znamadhara?
 
je kwa wale wanaume wanaochukua degree ya pindo tuwafikirieje?wamezid wanaume wa cku hz wanapenda mteremko na hvy kusababisha kufumuliwa pindo ,hv ni nashndwa kuelewa kwa nin wanaume wanatubania rizik kwa kutubananisha mpk wanawake wanakosa wanaume,kwa nin lakn mtafute hz degree za pindo? Hamjui znamadhara?
sijakufahamu mtoa mada.
 
hapo nimepotea kuna hadi za pindo hii inahusiana na habari ya marinda ya suruali au ni kitu gani?
 
KISWAHILI lugha ya taifa jamani!! pindo ndo lile la chini ya suruali au kuna maana mbadala???
 
je kwa wale wanaume wanaochukua degree ya pindotuwafikirieje?wamezid wanaume wa cku hz wanapenda mteremko Na hvy kusababisha kufumuliwa pindo ,hv ni nashndwa kuelewa kwa nin wanaume wanatubania rizik kwa kutubananisha mpk wanawake wanakosa wanaume,kwa nin lakn mtafute hz degree za pindo? Hamjui znamadhara?

Ngoja nikamuulize fundi cherehani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom