Wanaume ni wavumilivu kuliko wanawake

Apr 11, 2011
59
41
Baashi ya tafiti zinaeleza kuwa iwapo mwanamke anahitaji ngono mara moja kwa siku 20, mwanaume anahitaji kila kwa ndani ya siku hizo 20.
Ila uwiano unabadilikabadilika, wapo wengine ni 1:10, 1:15 yaani ikiwa mwanamke anahitaji mara moja kwa siku 10 mwanaume anahitaji kila siku kwa siku hizo 10 na iwapo mwanamke anahitaji mara moja kwa siku 15, mwanaume anahitaji kila siku ndani ya siku hizo 15.

MAANA YAKE:

Hebu tuchukue uwiano wa kati 1:15, maana yake ni kuwa iwapo mwanaume atamvumilila mwanamke mfano wakati wa hedhi kwa siku 7, mwanamke anatakiwa avumulie kwa siku 7x15=siku 105 (inakaribia miezi 3).

Kama mwanaume anaweza akamvumilia mkewe aliyejifungua kwa operation kwa muda wa miezi 6, basi mke naye anapaswa kumvumilia mmewe kwa siku 6x30x15=siku 2700 (zaidi ya miaka 7).

Je, wewe kama ni mwanaume umesafiri kikazi, kibiashara, kimasoma kwa muda wa mika miwili AU umepata tatizo la kiafya kiasi kwamba huwezi kujamiiana je mkeo anao ubavu kukuvumilia hata kwa miaka miwili?

Ukweli mano wana JF, sitaki kutoa majibu. Mara nyingi wanashindwa. Kwa mwanaume miaka 2 ni sawa na siku 730/15= siku 49 sawa na mwezi mmoja na nusu.

KWA UCHAMBUZI HUO SIAMINI KAMA WANAWAKE NI WAVUMILIVU WA TENDO LA NDOA IKIWA MWANAUME HAWEZI AMA YUKO MABALI.
ILA SISI WANAUME NDIO WAVUMILIVU ZAIDI.

Ndiyo maana baadhi ya dini zinaruhusu mwanaume kuwa na wake zaidi ya mmoja.

TAFAKARI
 
Hapo umedanganya sio kweli,kwenye suala hilo mwanamke ni mvumilivu kuliko sisi wanaume!
 
Wanaume na wanawake ni viumbe sawa kimatamanio utafauti wao unachangiwa na sababu mbalimbali...kisaikolojia...kibailojia...ama kiuchumi na hata kijamii. Mfano..ukikuta mwanamme au m/mke kazi zake za kila siku ni ngumu sana hamu ya mapenzi humpungua..ukikuta anaishi kimachungu mfano anamawazo ya jambo fulani i.e manyanyaso...ukiwa...upweke...mashaka...ugonjwa...msongo wa maisha mfumuko wa bei...maisha nk inampotezea hamu. Ila kuna walio na pepo la ngono...hapo mtachapana mpaka unafloat ukiamini sasa basi nimeridhika lkn unakuta yuko juu ya masaa machache yaliyopita tangu achape au achapwe. Ukiwa na mtu wako yuko na tabia hii ni bora usikae naye mbali maana tutamla aisee....
 
Dah inategemea na mtu bwana kuna wanawake wavumilivu na wengine vimeo na kuna wanaume wavumilivu na wengine vimeo. ila kwa wanawake wanapenda sana kudu kabla ya ndoa wakisha olewa wanabana hawa toi kama zamani
 
hesabu za uwiano zilikuwa zinanichanganya mno, hapo kwenye hesabu nimetoka na 0, lakini normal experience wanawake wanaweza kuvumilia zaidi, we sema huwa wana chance za kutokuguswa kabisa kutokana na matukio ya muhimu ikiwa ni pamoja na hedhi.

usisahau mwanamke usipomgusa si rahisi kusisimka.
Mwanaume usipomwonyesha pia anaweza kuvumilia.
 
Back
Top Bottom