Wanaume naomba msaada kutoka kwenu

Mocrana

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
536
122
Tumekuwa tukizoea kitchen party makungwi wake ni wanawake wenzetu kukueleza nn unatakiwa kumfanyia mumeo mm leo naomba kuwauliza wahusika wenyewe, ww kama mwanaume ungependa mkeo aweje kwa maana ya tabia, akufanyia mambo gani sio kwenye sita kwa sita bali kwenye idara zote, ili uweze hata kutamba mbele ya wanaume wenzio kuwa you have the best wife!
 
for me lazima kwanza kabisa asinitie aibu...jinsi anavyoji-present kwa watu kiujumla
pili lazima aweze kuheshimu na kukubali kuwa mimi ni kichwa cha familia na kuwa yeye ndio msaidizi wangu.....sasa ndoa ni aprtnership na katika kila partnership lazima kuwe na trust hivyo basi lazima anahakikishie kuwa mie naweza kum-trust yeye bila any doubt na hii itatokana na yeye anavyonena na pia mwenendo wake.
 
Tumekuwa tukizoea kitchen party makungwi wake ni wanawake wenzetu kukueleza nn unatakiwa kumfanyia mumeo mm leo naomba kuwauliza wahusika wenyewe, ww kama mwanaume ungependa mkeo aweje kwa maana ya tabia, akufanyia mambo gani sio kwenye sita kwa sita bali kwenye idara zote, ili uweze hata kutamba mbele ya wanaume wenzio kuwa you have the best wife!
Swali gumu na halina jibu moja,lakn ngoja nieleze yangu
1.awe mzuri(subjective kwa vigezo vyangu)
2.awe anajiamini(hapa namanisha awe na say na asimamie kile anachokiamni)_sio nafanya makosa anachekacheka kwa uoga.
3.awe mtiifu(aitambue nafasi yangu kwake na kwa familia i.e baba kichwa cha nyumba).
4.awe msikivu na mueledi wa mambo(sio anaambiwa vitu na kukurupuka na kuanza kurusha mawe)
5.asiwe mhanga sana wa maisha(hapa namaanisha asiwe mbahili kupita kiasi)..kila kitu bajeti_sio
6.mcheshi na mkarimu kwa familia na wageni pia
7.awe msafi na ajue kutimiza wajibu na majukumu yake i.e kupika,kufua,usafi wa ndani etc
8.asiwe na wivu kupita kiasi..kila mara kukuuliza uko wapi,unafanya nn,na kina nani?

Ni hayo niliyofanikiwa kuyakumbuka,ila natumaini yapo mengine sema wateja ni wengi wanahitaji huduma ya kushonewa na kubrashiwa viatu,...anyway_i will be back
 
Akubali kuwa ndoa ni taasisi na kama ilivyo kwa kila taasisi ndoa ina mtendaji mkuu ambaye ni mume. Mambo ya Beijing awaachie akina Ananilea Nkya huko huko kwenye TV. Ayasikilize wanayosema lakini achanganye akili za mbayuwayu na za kwake.

Sasa ili niendelee kukupa sera zaidi kwanza nijulishe kama umeolewa au la? na kama umeolewa una muda gani katika ndoa yako na je umepata mtoto au watoto. Hii ni muhimu kwa sababu kila hatua ina maelekezo yake mahsusi kuhusu nini hasa mwanaume anataka.
 
Natarajia kuingia kwenye hiyo taasisi soon, so i want my husby 2 b awe proud na mm
 
Swali gumu na halina jibu moja,lakn ngoja nieleze yangu
1.awe mzuri(subjective kwa vigezo vyangu)
2.awe anajiamini(hapa namanisha awe na say na asimamie kile anachokiamni)_sio nafanya makosa anachekacheka kwa uoga.
3.awe mtiifu(aitambue nafasi yangu kwake na kwa familia i.e baba kichwa cha nyumba).
4.awe msikivu na mueledi wa mambo(sio anaambiwa vitu na kukurupuka na kuanza kurusha mawe)
5.asiwe mhanga sana wa maisha(hapa namaanisha asiwe mbahili kupita kiasi)..kila kitu bajeti_sio
6.mcheshi na mkarimu kwa familia na wageni pia
7.awe msafi na ajue kutimiza wajibu na majukumu yake i.e kupika,kufua,usafi wa ndani etc
8.asiwe na wivu kupita kiasi..kila mara kukuuliza uko wapi,unafanya nn,na kina nani?

Ni hayo niliyofanikiwa kuyakumbuka,ila natumaini yapo mengine sema wateja ni wengi wanahitaji huduma ya kushonewa na kubrashiwa viatu,...anyway_i will be back

Masharti na vigezo unavyovitaka suppose vinazingatiwa , sasa mazee wewe una reciprocate kwa kuwa na sifa zipi?
 
hapa leo mnaongea point

Atazipata nyingi tu na sababu kubwa ni approach aliyotumia. Ameuliza kwa busara na inaonekana ni kweli anataka apate ufahamu. Mara nyingi huwa tunamhudumia mwanamke kutegemea na anavyokuja. Ukija na mada yenye madharau kwa wanaume utaishia kupata majibu yenye madharau tu vilevile. Tatizo kina mama wengi hawatambui uwezo walio nao juu ya wanaume - wazungu wanaita "power of a woman".
 
mi mke nilitafutiwa na bibi yangu mzaa baba,alitumia vigezo gani sijui.
 
ngoja kesho ntakuja na yenu,...na wewe ujitahidi kumwaga mapoint basi
kweli leo mmeamka vizuri yale oooh demu wangu ana mbweche mkubwa yale kuna siku tutavunjana huku mjue
 
Tumekuwa tukizoea kitchen party makungwi wake ni wanawake wenzetu kukueleza nn unatakiwa kumfanyia mumeo mm leo naomba kuwauliza wahusika wenyewe, ww kama mwanaume ungependa mkeo aweje kwa maana ya tabia, akufanyia mambo gani sio kwenye sita kwa sita bali kwenye idara zote, ili uweze hata kutamba mbele ya wanaume wenzio kuwa you have the best wife!

swali zuri sana hili. Kitchen parties are 100% useless
 
kweli leo mmeamka vizuri yale oooh demu wangu ana mbweche mkubwa yale kuna siku tutavunjana huku mjue
mm nalitambua hilo,na ndio maana nikitaka kuliwasha ni lazma nifunge vioo,...ila hiyo tabia ya kutembea na viwembe uache bana.
 
Swali gumu na halina jibu moja,lakn ngoja nieleze yangu
1.awe mzuri(subjective kwa vigezo vyangu)
2.awe anajiamini(hapa namanisha awe na say na asimamie kile anachokiamni)_sio nafanya makosa anachekacheka kwa uoga.
3.awe mtiifu(aitambue nafasi yangu kwake na kwa familia i.e baba kichwa cha nyumba).
4.awe msikivu na mueledi wa mambo(sio anaambiwa vitu na kukurupuka na kuanza kurusha mawe)
5.asiwe mhanga sana wa maisha(hapa namaanisha asiwe mbahili kupita kiasi)..kila kitu bajeti_sio
6.mcheshi na mkarimu kwa familia na wageni pia
7.awe msafi na ajue kutimiza wajibu na majukumu yake i.e kupika,kufua,usafi wa ndani etc
8.asiwe na wivu kupita kiasi..kila mara kukuuliza uko wapi,unafanya nn,na kina nani?

Ni hayo niliyofanikiwa kuyakumbuka,ila natumaini yapo mengine sema wateja ni wengi wanahitaji huduma ya kushonewa na kubrashiwa viatu,...anyway_i will be back
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEE!Asante sana,wateja wakipungua rudi utumalizie na hayo mengine!
 
mm nalitambua hilo,na ndio maana nikitaka kuliwasha ni lazma nifunge vioo,...ila hiyo tabia ya kutembea na viwembe uache bana.
wee yani mtu hadi kwenye kiwiko cha mkono jamani cantalisia kamuhifadhi kweli bana leo mimi ningemlaza ndani bana khaaaaaaaaaaaaaaa
ilawatu wana ukame bana khaaaaaa
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom