Wanaume naomba mnisaidie kujibu hili swali

Titia

Senior Member
Jul 3, 2013
155
113
Habari wakuu,

naliona tangazo la airtel mimi ni bingwa, kuna sehemu wanaume wamejipanga uku wameshika sehemu nyeti sijui kuzuia goli lisiingie au liingie, sielewi. Halafu si mara ya kwanza kuona wanaume wamejishika maeneo ktk mipira, sasa naomba kuuliza kuna uhusiano gani kati ya mchezo wa mpira na hayo maeneo? Na wanamaanisha nini?
 
ile mipira hupgwa kwa nguvu sana kwa hyo eneo la mchezaji ambalo ni hatari na linaleta maumiv makali km litapgwa na mpira ni pale kwenye mtalimbo,kwa hyo inabd palindwe
 
ukiacha ivyo pia watu uwa wana imani ukiminya BALLS unazuia kama ni goli lisiingie,iyo uwa wanafanya hata mashabiki...ni maneno mbofu mbofu tu
 
all essential areas covered
article-1280460-09B47A92000005DC-311_468x345.jpg

article-2260930-16E0D5CE000005DC-333_634x513.jpg
 
ile mipira hupgwa kwa nguvu sana kwa hyo eneo la mchezaji ambalo ni hatari na linaleta maumiv makali km litapgwa na mpira ni pale kwenye mtalimbo,kwa hyo inabd palindwe

Lakini kinacholindwa siyo mtarimbo bali mapumbu.
 
Habari wakuu,

naliona tangazo la airtel mimi ni bingwa, kuna sehemu wanaume wamejipanga uku wameshika sehemu nyeti sijui kuzuia goli lisiingie au liingie, sielewi. Halafu si mara ya kwanza kuona wanaume wamejishika maeneo ktk mipira, sasa naomba kuuliza kuna uhusiano gani kati ya mchezo wa mpira na hayo maeneo? Na wanamaanisha nini?

Staki kuamini kua hujui kwanini wachezaji huweka mikono yao sehemu nyeti wakati wanasubiria mpira upigwe
 
Hata mimi nimejikuta nashangaa...

Nimeishia kudhani tu kuwa labda mleta mada ni mwanamke...
 
Habari wakuu,

naliona tangazo la airtel mimi ni bingwa, kuna sehemu wanaume wamejipanga uku wameshika sehemu nyeti sijui kuzuia goli lisiingie au liingie, sielewi. Halafu si mara ya kwanza kuona wanaume wamejishika maeneo ktk mipira, sasa naomba kuuliza kuna uhusiano gani kati ya mchezo wa mpira na hayo maeneo? Na wanamaanisha nini?

mwambie boyfriend au mumeo atanue miguu afu asizibe then chukua mpila upige hiyo sehem then utajua ka hua wanazuia goli lisiingie au la??
 
Back
Top Bottom