WANAUME Nao Waanza Kuanika Nyeti zao FACEBOOK.

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Siku za karibuni imekuwa kama fashion watu wengi kutupia picha za nyeti zao katika mitandao ya kijamii huku kila mmoja akiwa na lengo lake, wapo ambao wanatafuta kujulikana, wengine ndio kazi yao wanatafuta customer na wengine kama burudani lkn hii style mi nadhani haijakaa sawa Walianza wasichana lakini siku hizi mpaka wavulana nao wafanya hivyo. Huyu ni kijana aliezaliwaSeptember 26, 1990 na haya ndio mambo anayoyafanya.

kwa habari zaidi na mapicha cheki link ya chini...... mwaJ karibu udakuni

WANAUME NAO WAANZA KUANIKA NYETI ZAO FACEBOOK. | MPEKUZI

Last edited by a moderator:
Hivi sifa za mwanaume kwa kumuangalia nadhani zinafahamika. Hiyo pic kwangu napata kugugumizi kidogo..
 
ah sasa kama una 'kifaa' cha ukweli sii bora utangaze wanawake wapate kuja test drive jamani
 
Hivi sifa za mwanaume kwa kumuangalia nadhani zinafahamika. Hiyo pic kwangu napata kugugumizi kidogo..

huyu jamaa ni mchaga.....wachaga wa siku hizi wanatuaibisha sana.....
 
Du mbona huyo mwanamme kama anapumuliwa vile,mbona kalegeza macho kama mtoto wa kike? Mzima kweli huyo?
 
Siku za karibuni imekuwa kama fashion watu wengi kutupia picha za nyeti zao katika mitandao ya kijamii huku kila mmoja akiwa na lengo lake, wapo ambao wanatafuta kujulikana, wengine ndio kazi yao wanatafuta customer na wengine kama burudani lkn hii style mi nadhani haijakaa sawa Walianza wasichana lakini siku hizi mpaka wavulana nao wafanya hivyo. Huyu ni kijana aliezaliwaSeptember 26, 1990 na haya ndio mambo anayoyafanya.

kwa habari zaidi na mapicha cheki link ya chini...... mwaJ karibu udakuni

WANAUME NAO WAANZA KUANIKA NYETI ZAO FACEBOOK. | MPEKUZI

mi naona yule ana sura inafanana na mwanaume lakini siyo men ni demu mwanaume kamili hawi vile wallah
 
wazungu walijua tu wakituletea mitandao ya jamii huku kwetu waafrika lazima tutafwata utamaduni na mambo yao mengi tu kulingana na akili zetu waafrica zilivyo! mana hii mitandao tunaitumia sivyo kabisa
 
We Boflo yaan umeona mie ndio napenda sana udaku eeh? Adabu yako fupi!
 
Last edited by a moderator:
i miss the days when men were real men, not like this joker :(. inabidi mafunzo ya JKT yarudishwe
 
Siku za karibuni imekuwa kama fashion watu wengi kutupia picha za nyeti zao katika mitandao ya kijamii huku kila mmoja akiwa na lengo lake, wapo ambao wanatafuta kujulikana, wengine ndio kazi yao wanatafuta customer na wengine kama burudani lkn hii style mi nadhani haijakaa sawa Walianza wasichana lakini siku hizi mpaka wavulana nao wafanya hivyo. Huyu ni kijana aliezaliwaSeptember 26, 1990 na haya ndio mambo anayoyafanya.

kwa habari zaidi na mapicha cheki link ya chini...... mwaJ karibu udakuni

WANAUME NAO WAANZA KUANIKA NYETI ZAO FACEBOOK. | MPEKUZI

UPUNGUANI TUU WA AKILI (japo sina hakika kama kweli wana hata huo ubongo).

Hata kama sio WAS*NGE wapandwaji, basi kiakili wanaparamiwa! PUMBAVU KABISA!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom