Wanaume na wanawake wafupi na umri

Ili watoto watakaozaa wabalance kimo.
Kwa suala la umri ni kwasababu busara za mwanamke zinaongezeka kadri umri unapoongezeka.
 
Hv kwanini wanaume wanapenda wanawake walio wazid urefu au umri?

Hapo penye colour weeeeeeeee....Mie kwanza nachukia kama mwanamke ni MREFU kuliko mwanaume maana hata KISS ni kasheshe, lkn UMRI hapo hehehehehehe wanajua kujari maana wana uzoefu na mambo...
 
sasa mbona unanung'unika kisha unaanza lugha za kiligiligi?
mimi nimekueleza vitovu havipishani sasa hizo stori
za mm kuchukua mademu zinatoka "where"?

haya kaka me cjui ila ukwel unaujua wewe ila mm ni mrefu co ninauliza hv kwa ajil yenu nyny mnao chukua mademu wafup zaid yako wakat nyny wenyewe wafup yan ni tabu 2pu
 
eeh! 6 feet siyo AD? na walio zaidi ya 6 feet nao watume au mwisho ni 6 feet!?

BAK wewe
hahahahah lol
usiniambie weye ni 5 and half..
maana kwenye hiyo picha hapo juu mmmhh unanimaliza na huo urefu hahah lol
we ni pm saa yeyote maana avatar imeni maliza..
maana siku hizi humu ndani tunazimia avatar..
au tuna mjaji mtu kupitia avatar lol
 
Kwi kwi kwi nawashukuru wazazi maana wala silalamiki inapokuja kwenye swala la kupanda juu
Killa - Cherish ft. Yung Joc | Music Video | VEVO

unajua mm ni mrefu ila cjajua mana kila ninaempata ni mfup kwangu so inakuwa vgumu kujua mana ninajitahd sana kuweza kutafuta mschana mrefu so sorry wahapahapa

i am here so tall, but ni PM, kama unatafuta tall & strong, but unasura weye, usije mm nikawa mzuri
zaidi yako, ni PM
 
wanapenda kuona miguu mirefu ikiwa juu! kwan hujui umri una mahusiano na ukomavu wa kiakili hasa kwa wanawake!
 
unajua mm ni mrefu ila cjajua mana kila ninaempata ni mfup kwangu so inakuwa vgumu kujua mana ninajitahd sana kuweza kutafuta mschana mrefu so sorry wahapahapa

Sawa, Lakini unaowataka wanaona hulipi sio kwamba wanakunyanyapaaa.
 
Back
Top Bottom