Wanaume na wanawake wafupi na umri

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Hv kwanini wanaume wanapenda wanawake walio wazid urefu au umri?
 
Hv kwanini wanaume wanapenda wanawake walio wazid urefu
Opposite is true..... thats why hata Tom Cruise alivyokuwa na Nicole Kidman ilibidi awe anavaa viatu virefu ili asionekane mfupi sana kwa mke wake... Most Men dont like to be looked down by women... thats why angalia viatu wanavyovaa kina Al Pacino na Danny Devito ili tu kuongeza kimo chao "UNLESS U MEAN UREFU AMBAO MIMI SIUJUI"
 
agreed 110%...
kama uko six feet ni pm hahah lol
 
unajua kusema ukwel asilimia kubwa ya wa2 waliokuwa kwenye uhusiano unakuta wanaume weng ni warefu kuliko wanawake wao je ni nn haswa kinasababsha hcho ki2 kutokea au wanaume 2nakuwa na uwoga wa kuwa mpenz wako akiwa mfupi unaona haibu kufanya hvyo mana unahisi akikupita kimo unaona haya mbona akiwa mnene hakuna tatzo je iweje awe mfup mfano willsmith na jada inakuwaje kwa nini wanaume 2we na wanawake wafup 2uu?
 
Mh...inategemea kila mtu ana utashi wake.
Naww ukoje?

unajua mm ni mrefu ila cjajua mana kila ninaempata ni mfup kwangu so inakuwa vgumu kujua mana ninajitahd sana kuweza kutafuta mschana mrefu so sorry wahapahapa
 
unakuta wanaume weng ni warefu kuliko wanawake wao je ni nn haswa kinasababsha hcho ki2
statistically wanaume wengi ni warefu kuliko wanawake apart from baadhi ya makabila ambao wote ni warefu mfano Rwanda etc. lakini majority men are taller than women.... , obviously partners wengi wake zao watakuwa ni wafupi kuliko wanawake...
 
Opposite is true..... thats why hata Tom Cruise alivyokuwa na Nicole Kidman ilibidi awe anavaa viatu virefu ili asionekane mfupi sana kwa mke wake... Most Men dont like to be looked down by women... thats why angalia viatu wanavyovaa kina Al Pacino na Danny Devito ili tu kuongeza kimo chao "UNLESS U MEAN UREFU AMBAO MIMI SIUJUI"

I agree,najaribu ku-imagine unamkaripia mwanaume mfupi kwa kosa alilofanya and ananyanyua shingo yake kukuangalia wewe mwanamke,duh...........ndo maana wanaume wengi wafupi wabishi sana na mara nyingi hujiona inferior ila mujini wanasema ndo waoaji si kama warefu wanaoringia urefu wao..................LOL :glasses-nerdy:
 
mapenzi ni karama, ni hisia ambazo ni unique kwa kila mtu. so rahisi kugeneralize namna hiyo sissy murefu hata kama kuna kaukweli. but it can be an attempt to balance something
 
duh! kumbe wewe dume! badilisha avatar basiii.au lugha gongana?

unajua mm ni mrefu ila cjajua mana kila ninaempata ni mfup kwangu so inakuwa vgumu kujua mana ninajitahd sana kuweza kutafuta mschana mrefu so sorry wahapahapa
 
hamna noma yoyote, kwani vitovu havipishani
wakati ule muhimu lol

haya kaka me cjui ila ukwel unaujua wewe ila mm ni mrefu co ninauliza hv kwa ajil yenu nyny mnao chukua mademu wafup zaid yako wakat nyny wenyewe wafup yan ni tabu 2pu
 
unajua mm ni mrefu ila cjajua mana kila ninaempata ni mfup kwangu so inakuwa vgumu kujua mana ninajitahd sana kuweza kutafuta mschana mrefu so sorry wahapahapa

Jamani naomba avatar zetu ziendane na Sex zetu PLEASE !!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom