Mom
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 708
- 29
- Thread starter
- #61
Mama hebu mshauri huyo mwanamke aache kuumiza kichwa chake. Kwani hawezi kutulia na kukubali kwamba yuko kwenye fungu la kukosa? Kwani kama hakuchi si unafungua mlango unaendelea na safari? Akiendelea kulazimisha hata hizo ahadi za mwezi wa 9 ambazo amekuwa akipewa hatapata na badala yake ataanza kupewa chai (zamani tuliambiwa kuchapwa vipoko ni kupata chai). Best wishes for her new life baada ya kukubali kipigo cha 3 - 0!
kaaaazi kwelikweli! better akatulia na huyo mwanaume wake mpaka atakapoamua kuoa au kuendeleza maisha bila ndoa!