Wanaume na manguo ya ndani

Jamani kaka na vijanaume vyetu mbona mnazidi kuvaa hizo kata K mpaka mnatia kichefuchefu, nimeangalia sijui tamasha la fiesta huyo anaitwa Ney yaani yeye ni boxer kabisa na wala sio bukta, Linex lakwake chafuu alafu kalianika, Jo Makini mtu mzima na yeye anavalia suruali chini ya makalio upuuzi mtupu. Nyie wakaka wa JF kabla hamjaanza kutusema mavazi wanawake embu wafundisheni wadogo zenu ndo tutawaheshimu au na nyie mmedondoshea mnatafuta soko dizaini Arabuni
Mi nimekufagilia sana Da Suzie,ngoja nikupe sifa za marijali:
1.Rijali anavaa suruali ambayo flaizi yake ni zaidi inchi 6 au nchi 6,ukiona kijamaa kinavaa sijui kimodo sijui nn ujue hicho kitoto cha watu au kama ni kubwa kubwa litoto la watu
2.Rijali havai suruali chini ya makalio,ukiona kijamaa kinavaa suruali chini ya makalio na mchupi uko nje ujue linatangaza biashara ya utumbo,
 
nafikiri si mahala pake....kwani humu wamo? Peleka facebuk mkuu...
 
Hahahaaaaa! Swagaaaaaa!!! Hapana chezea!!!! Joto limezidi sana Dar!! Afu kizingatia wanapiga JEANS, Hiyo ni katika hali ya kuziachia 0713 zao ZIPUNGE UPEPO!!!! LOL!!! Usijali kuna design ya kutovaa chupi imeingia so soon nao wataacha kulegeza!!!!!
 
Sasa mbona wema sepetu akiacha makalio wazi jukwaani mnamjia juu? Na wengine wakianika manyonyo mnakuwa wakali?

Hata hawa wangeacha makalio wazi tungewajia juu pia, wao wametuonesha Boksa chafu tu..
BTW: nna kitu cha Uruguay hapa, unahitaji nikuletee?
 
tatizo la wanaume wanapenda kuweka double std kwenye mavazi,tukivaa wakike ooh hawana nidham wanatutamanisha ila wao poa.swal ni kuwa kwan nas wakike hatutaman wakitutega?
 
Kumbe unazungumzia wasanii wa fleva. Ni nilidhani una base kwa wanaume wa maana.

Mambo hayo ya kata K, mpaka mtoto anapata maono ya ujasiriamali!!! Mitaa ya kwetu huku kijana akivaa hivyo haruhusiwi kuingia nyumba za ibada, ni nuksi!!!

kipanya_06_06_2012.jpg
 
Kumbe unazungumzia wasanii wa fleva. Ni nilidhani una base kwa wanaume wa maana.

hajui kazi yao kila unapovaa bling bling za chini ya kiuno ndo unavyoshabikiwa hata ma miss yule anayevaa uch zaid ndo anashinda
kizazi cha nyoka unategemea watoke mijus
 
Sie enzi tulikua tunavua mashati kuonyesha ubabe lakini hawa wa leo wanavua suruali cjui wanatuonyesha nini?
 
Jamani kaka na vijanaume vyetu mbona mnazidi kuvaa hizo kata K mpaka mnatia kichefuchefu, nimeangalia sijui tamasha la fiesta huyo anaitwa Ney yaani yeye ni boxer kabisa na wala sio bukta, Linex lakwake chafuu alafu kalianika, Jo Makini mtu mzima na yeye anavalia suruali chini ya makalio upuuzi mtupu. Nyie wakaka wa JF kabla hamjaanza kutusema mavazi wanawake embu wafundisheni wadogo zenu ndo tutawaheshimu au na nyie mmedondoshea mnatafuta soko dizaini Arabuni
Umemsahau feruzi nae
 
mabinti wa kike ndo mnapenda hizo kata k ndo maana washikaji wako bize kuwakandamiza.
kwanza waombe radhi hao uliowataja kwa majina.
 
Mambo hayo ya kata K, mpaka mtoto anapata maono ya ujasiriamali!!! Mitaa ya kwetu huku kijana akivaa hivyo haruhusiwi kuingia nyumba za ibada, ni nuksi!!!

View attachment 67448
Hio picture babkubwa.

Mtoa thread, nakubaliana na wewe kuna ka toto kangu kakiume kahuni huni kana umri wa miaka mitano, siku moja tulikuwa kwenye shopping mall moja, kaliona kijana mmoja kavaa vile...Kakasema ahha baba ona huyo mwanaume mkubwa kawacha m a ta ko yake wazi...Ikabidi nicheke tu :biggrin:
 
tatizo la wanaume wanapenda kuweka double std kwenye mavazi,tukivaa wakike ooh hawana nidham wanatutamanisha ila wao poa.swal ni kuwa kwan nas wakike hatutaman wakitutega?

Unayosema ni ya kweli lakini hawa baadhi yao yaani tuseme asilimia kubwa yao ni maharage ya mbeya a.k.a. washikishwa ukuta (wa.se.nge). Wanatembeza biashara hadharani.
 
kuiga iga tu mautamaduni ya wavuta bangi wa marekani ya kusini

Ni marekani ya kaskazini. KUle karibia ya watu wakuja (new immigrants) wanawadharau wamarekani weusi kwa ujinga. Wao (wamarekani weusi) kazi hawataki kufanya kazi kuvuta bangi na ujinga watu wa kuja wanafanya kazi kwa kujituma baada ya muda wanajinunulia majumba na magali ya kifahari wao wako pale pale na ndiyo maana wanadharauliwa sana hawa watu. Sie huku bongo tunawaona ndo mungu wetu, kila ujinga waufanyao tunauiga bila hata kufikiri. Jana kwenye tamasha la fiesta nimeona vijana wengi wa makamu hapa mtaani kweli kila mmoja wao kavaa kihivyo, kwa kweli inasikitisha. Yaani mtu miaka 30 kuja chini unavaa m.ku.ndu nje si ujinga huu eti wanataka kufanana na wao. Huko marekani waafrika wanadharauliwa na watu weusi wa huko sie twaona ni ujiko kuwaiga wao. Utumwa bwana, una mambo yake!
 
Tatizo wasanii wengi wa bongo elimu na exposure ndogo. Mtu anatoka kuwa kinyozi mpaka super star unatehgemea nini. Angekuwa ameenda kidato kidogo ingekuwa tofauti. Mwangalie Diamond anavofanya stupid things. Na tatizo ni nyienyie dada zetu, mnakuta mnashadadia super star kwa ujinga anaofanya. Acha siku moja watajisaidia na kuwatupia ili mfurahi zaidi.
 
Back
Top Bottom