Wanaume na kujihami...!

Nahofia huyo rafiki yako hachelewi kumbadilishia mwanao kibao. Binti mwenyewe ushamuona lakini? Ni vile tu hairuhusiwi, ningemuoa mwenyewe.

I see mpwa huwezi kuwa baba mkwe wangu hapo?
Itabidi tuongee vizuri Serengeti ngapi unaanza kuzima ili mazungumzo yanoge
 
Interesting
kumbe ukiwa kwenye ndoa unaishi kwa mudi ya mwanaume ?

Hahahaha bora na wewe umeliona hilo kha!!!!! wengine ndoa zitatushinda kwa mtindo huu
Smile karibu tule kuku mtamu
 
Na nikiishi nae kama mke wangu nitaishi vibaya? au mahusiano yetu yataingia nyongo?
FP maisha hivi yana formula?
maisha hayana formula. niliposema ukiishi naye kama GF wako mambo yatakuwa mazuri sikuwa na maana ukiishi naye kama mke wako mambo yatakuwa mabaya.
tunajua mapenzi yanavyokuwa mazuri wakati wa u-GF/BF, kama wote mna lengo moja. mkiendelea kuishi hivyo hivyo hata baada ya kuoana mambo yanakuwa mazuri. watu wengi baada ya kuoana utakuta mambo mengi ambayo alikuwa anamfanyia mwenzi kabla hawajaoana yanaachwa, yanakuja mengine ya kimama-mama na kibaba-baba
 
uzuri mume wangu ni rafiki yangu, haoni shida kunisimulia mambo yanayomwangusha na mara nyingi huniomba ushauri kwa vitu vingi sana, siwezi kusema vyote, labda vingine haniambii, mara nyingi akiwa na kitu kinamsumbua lazima ataniambia, anaweza kusema this is embarrassing lakini naomba nikuambie. nadhani na mimi nampa confidence ya kunisimulia sababu nitajitahidi kwa lolote atakaloniambia asijisikie vibaya baada ya kufanya hivyo na namwambia hilo mbona la kawaida......

this is why you are a FIxed Point..................standing by your hubby.............................lol
 
maisha hayana formula. niliposema ukiishi naye kama GF wako mambo yatakuwa mazuri sikuwa na maana ukiishi naye kama mke wako mambo yatakuwa mabaya.
tunajua mapenzi yanavyokuwa mazuri wakati wa u-GF/BF, kama wote mna lengo moja. mkiendelea kuishi hivyo hivyo hata baada ya kuoana mambo yanakuwa mazuri. watu wengi baada ya kuoana utakuta mambo mengi ambayo alikuwa anamfanyia mwenzi kabla hawajaoana yanaachwa, yanakuja mengine ya kimama-mama na kibaba-baba

Uzoeefu wangu na katika tafiti zisizo lasmi zinaonyesha kuwa akina mama/dada wengi wakisha olewa ndo wakwanza kujisahau hata style za mapenzi anazisahau kabisaaa wkt kabla ya kuolewa alikuwa anfanya mitindo tofauti na kadha wa kadha.
 
Interesting
kumbe ukiwa kwenye ndoa unaishi kwa mudi ya mwanaume ?

yaweekana kweli uwe mtu mwingine na kuwa na furaha...........living another person's dreams?
 
Uzoeefu wangu na katika tafiti zisizo lasmi zinaonyesha kuwa akina mama/dada wengi wakisha olewa ndo wakwanza kujisahau hata style za mapenzi anazisahau kabisaaa wkt kabla ya kuolewa alikuwa anfanya mitindo tofauti na kadha wa kadha.
Na kuku mtamu ndo wanasahau kumpika kabisa, siyo?
 
labda na wanawake wa siku hizi hawajui kuwasoma waume zao, zamani zile baba akirudi na hasira zake hata mama anakwambia muache kwanza baba yako mpaka baadae.......
 
Uzoeefu wangu na katika tafiti zisizo lasmi zinaonyesha kuwa akina mama/dada wengi wakisha olewa ndo wakwanza kujisahau hata style za mapenzi anazisahau kabisaaa wkt kabla ya kuolewa alikuwa anfanya mitindo tofauti na kadha wa kadha.
hii sina uhakika maana hai-apply kwangu
 
ujue nayo ina raha yake
hasa inaookuwa kiasi

akishatulia tulia
afu ukambembeleza
akiweza piga gemu, utampenda
linakuwaga la uhakika

wanasema, gemu humsaidia mwanamme kulipiza kwa yale aliyoshindwa kuyafanya.

Wakati mwingine wanawake nawahumia sana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom