Wanaume mnapendaje?

Twande

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
543
172
Nimesikia sikia tu kwamba kuna za bwawa cjui na kavu, nimekuwa nikijiuliza hapo kwenye kavu ikatokea imetota kwa maujanja ulomfanyia mwenzio mwenyewe tayari ni bwawa? Mnapenda ifikie chapachapa au kidogo tu? Mana najua unaweza ukafikia chapachapa kabla hata mtu hajafanya mautundu meeengi kwa jinsi unavomfeel! Mi ikitokea ivo naogopa nazani ndo linakuwa bwawa lakini tena nasikia bwawa ni bwawa tu halifanani na utelezi lol. . Guys how do you like it?
 
Mkeshaji jitahidi tu uelewe hata kwa kudesa au kuangalia kwa jirani lol. . Mwenzio nimeogopa kuweka wazi sana mods wataamishia thread yangu kwa wakubwa ambako mi siingii japo ni mkubwa!
 
Twande,

Hii akiiona tu anahamisha, hata sijui anapelekaga wapi lakini haitadumu hapa!
 
Maundumula si wanapelekaga wanasema kuna jukwaa la wakubwa nimejiuliza saiz sasa kama mwanzisha mada hana access na hilo jukwaa inakuwaje! Wanajadili wao tu? Na sijui what it takes mtu kuingia hilo jukwaa!

by the way your answer was short but limenichekesha mnomno just the thought of what is goin on in your mind after reading this lol. . Sijui niitoeeee hii thread. .
 
Fazaa ulosema ni kweli kabisa wanaume mna mambo sana statement yako ndo inadhihirisha mwanaume mmoja kutoka kwa mrembo, mbaya, kichaa, mtoto, housegirl, mbuzi! Sasa na kumbe zote ni sawa why watu wanabadili? Ila mtaani ndo tunaambiwa mara mabwawa mara mifereji! Du you creatures!
 
Ila mtaani ndo tunaambiwa mara mabwawa mara mifereji! Du you creatures!

Hizi dadangu ni stori za vijiweni ndio utasikia haya maneno ya kashfa kwa kinadada, mara nyingi ni vijana wasio na kazi, wasololea wake za watu, ushamsikia mtu mwenye mke anatoka nje kumnadi mkewe "mimi mke wangu yake kavu? au mke wangu bwana ni maji matupu?
Achana na stori za wakosa kazi, Jando wameenda Hospitali.... hawana lolote kakua kajikuta kashapigwa kisu na madaktari.
 
hizi dadangu ni stori za vijiweni ndio utasikia haya maneno ya kashfa kwa kinadada, mara nyingi ni vijana wasio na kazi, wasololea wake za watu, ushamsikia mtu mwenye mke anatoka nje kumnadi mimi mke wangu yake kavu? Au mke wangu bwana ni maji matupu?achana na stori za wakosa kazi, jando wameenda hospitali.... Hawana lolote kakua kajikuta kashapigwa kisu na madaktari.
ile kitu ya like iko wapi ,unastahiki mkuu!!!!
 
loading please wait... ... ...0.09% um not sure if it will finish!
 
Hizi dadangu ni stori za vijiweni ndio utasikia haya maneno ya kashfa kwa kinadada, mara nyingi ni vijana wasio na kazi, wasololea wake za watu, ushamsikia mtu mwenye mke anatoka nje kumnadi mkewe "mimi mke wangu yake kavu? au mke wangu bwana ni maji matupu?
Achana na stori za wakosa kazi, Jando wameenda Hospitali.... hawana lolote kakua kajikuta kashapigwa kisu na madaktari.

Noted michael. . Well said, unajua tunasika na kudharau tunasonga mbele lakini jambo likishasemwa ni jambo tayari. . Unakuta hata linaleta athari zisizoonekana wazi. . But got u . .
 
Hizi dadangu ni stori za vijiweni ndio utasikia haya maneno ya kashfa kwa kinadada, mara nyingi ni vijana wasio na kazi, wasololea wake za watu, ushamsikia mtu mwenye mke anatoka nje kumnadi mkewe "mimi mke wangu yake kavu? au mke wangu bwana ni maji matupu?
Achana na stori za wakosa kazi, Jando wameenda Hospitali.... hawana lolote kakua kajikuta kashapigwa kisu na madaktari.

Nakupa like mwanangu kizazi cha sayansi na teke linalotujia hawajui jando la msituni lina fundisha nini, wao wanachojua ni mradi filimbi imepitishwa panga basi kazi ya ni kutwanga kote kote.
 
Mkeshaji jitahidi tu uelewe hata kwa kudesa au kuangalia kwa jirani lol. . Mwenzio nimeogopa kuweka wazi sana mods wataamishia thread yangu kwa wakubwa ambako mi siingii japo ni mkubwa!

kweli umefanya vizuri bwana kutoiweka wazi maana mimi mwenyewe nilianika yakwangu waliihamisha faster hata sijui ilielekea wapi
 
Back
Top Bottom