Wanaume mna tatizo gani?

kabakabana sasa kama bwana harusi angekwambia anakuchukia ungesubiria mpaka sherehe iishe?? c ungeangua kilio na kuondoka???
Mara nyingi tunajitahidi kuwambia yale mnayotamani kusikia kutoka kwetu, HILO NDO TATIZO LETU.
 
kabakabana story yako mzuri bt inabidi mtu uisome btwn line.lini ulienda chuga ujasema since 07 till 2011 ulikuwa bado unawasiliana na usiyempenda hadi umesafir all the way from chuga.kwa mtazamo wangu alivyofanya mr y naona ni correct kwa sababu alikuona upo kama LOOSE BALL(asiye na mwelekeo) ndani ya 18 zake.m sure ukiendelea wasiliana nae 1day atakumega

ni wapi niliposema nilisafiri kutoka chuga kuja kumuona?
 
Possible alikupenda kweli, na sbbu ulimbania na haukuwepo tena maeneo ya karibu nawe, alijua nafasi yake kwako, haipo tena, na pegine ushawishi wake ulishindikana.
Alipokuona ktk harusi obviously lazima kushtuka na zile hisia kwako kurudi, sbbu alikupenda na hakutegemea kukuona pale.
So alikuwa na haki ya kukueleza hisia zake ambazo ulizideny long ago.
So mchukulie poa tu
 
Dah my sister ujue mapenzi ni kitu hatari huyu inaonekana moyo wake ulikudondokea ila ukawa mgumu. Ungekubali tukala maali yake au ni jibaba?

hehehe ni jibaba kaka hukumbuki nilikupa story yake?
 
Kuna dalili kubwa lazima utakujampa tuu. Tena kamwoa rafiki yako ndio kabisaa.
 
ila sema ukweli roho ilikundunda nusu ikutoke eti?
unajishaua eti ulikuwa hujalala ne etc mmmh unawish ni wewe ungeolewa nae au?

usiwe na wasi utapata wako.
imagine kama ungekutana nae a day b4 na labda angekushawish umpe vitu, ungeliaje harusini?

mie nahisi ingekuwa sio harusi yake umemuona na ameoa bado angekupata tu kwa raha zote kwa kukudanganya bado single.

nilishindwa kumkubali miaka yote hata sasa hawezi kunipata
 
Duuu yani nampa pole sana mke wake, au yeye anapenda kama kina fazaa kwa kutazama tu hafanyi mabaya.


Lakini aisay angemheshimu mke wake kidogo, yani hapo anamdhalilisha sana.

Kweli sisi wanaume sometimes, tunakosa akili hata yakufikiria.

niliumia sana na nilimwangalia yule rafiki yangu machozi yalinilenga!
Hakuwa na heshima wala ustaarabu hata kidogo.,
 
Kuna dalili kubwa lazima utakujampa tuu. Tena kamwoa rafiki yako ndio kabisaa.

mkuu pamoja sana ajichek tena anasema ni jibaba litamnyatia kama simba na swala.alafu mbona rafiki yake walifichana wakati wa uchumba na bado siri inaendelea.female r so fake
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mwanamke lazima atongizwe bana sasa mwanamke gani hutongozwi??
alafu unajua unapotoka nae u r giving him hope wer the is none
kama humpendi mwanaume mwambie sikutaki basi hamna chat contact wala ujinga wakuenda kunywa nae. wee unaona ni drinks mwenzio anaona anafanya progress hapo

nilitoka nae kama mara 3 au 4 na ilikuwa mda wa mchana,na mahala pa wazi!,na ilikuwa ni kama after muda kama even 8 months,sikudhani bado angekuwa king'ang'anizi.
 
nilitoka nae kama mara 3 au 4 na ilikuwa mda wa mchana,na mahala pa wazi!,na ilikuwa ni kama after muda kama even 8 months,sikudhani bado angekuwa king'ang'anizi.

ama kweli huyu ni jibaba,zaidi ya mara tatu umetoka nae na hakufahidi chochote zaidi ya smile lako.mimi 1chance 1goal uwa sifanyi mzaha ktk uchaguzi wa location
 
Kabakabana,

Kama avatar yako ni wewe mwenyewe au ina represent ulivyo, usimlaumu huyo jamaa, avatar yako inaita kwa kelele.
 
mimi sio mke tu tena kwenye harusi
mimi hata bar tu kama niko na mchumba.
wanawake wengine wote najifanya siwaoni......hata atokee beyonce ananikonyeza..
nitajifanya sijamuona....
 
kabakabana sasa kama bwana harusi angekwambia anakuchukia ungesubiria mpaka sherehe iishe?? c ungeangua kilio na kuondoka???
Mara nyingi tunajitahidi kuwambia yale mnayotamani kusikia kutoka kwetu, HILO NDO TATIZO LETU.

sikutamani kusikia neno 'nakupenda' kutoka kwake wakati ule.Amenifanya nimchukie na kumuona sawa sawa na ibilisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom