wanaume mmezidi,!

hivi niwaulize huwa undani(uke) unatofautiana? au mana mi huwa sielewi mtu ataanza hangaika kisa ana mahipsi na ****** kushinda ya mkewe au gf wake, kwani ukiwa faragha huwa hata unahangaika nayo? au unachohangaika nacho hata uliyeanaye aliyekupa dhamana ya mwili wake anacho
 
Chovya chovya humaliza buyu la asali!

Watu hao ndio wale at the age of 30s nguvu za kiume network inakuwa ONE BAR!!!
 
eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths?
Pia kuna wadada wanajidai kwamba idadi ya waume walotembea nao wanajaa meli.
 
Kwa siku hizi ndo bado watoto hao......vijisharobaro........huwezi kuta mwanaume anaongea huo upuuzi.......yaonyesha nawe ni msichana bado ndio maana wakakuumiza akili ati!

ma dia hao ninaowasemea ni watu wazima co watoto...wenye miaka 28 hadi 30
 
Back
Top Bottom