Wanaume mkiachana na wake zenu mnaachana na watoto wenu pia?

....Si kweli. Wanawake wengi wanapogombana na waume zao hukimbilia kubeba watoto wakiamini mwanaume lazima atapeleka pesa ya matumizi ya watoto na yeye anakulapo humo humo. Mwanaume asipopeleka pesa ya matumizi utasikia mwanamke anaaza kulia lia kuwa mwanaume ametelekeza mtoto/watoto hatoi pesa ya matunzo na ndio maana wanaume wengi huamua kula kona. Nina ndugu yangu alipatwa na mkasa wa aina hiyo mama anataka kwa mwezi kila mtoto apewe pesa ya matumizi 100,000 na wana watoto watatu cha kushangaza yeye mama anajitoa kwenye suala la matunzo as if watoto si wake! Why?? Jeuri za wanawake ndio chanzo cha hayo yote...

unageneralize sasa...si wanawake wote wanashida na hivyo vijisenti vya mumewe mpaka atumie defence ya kubeba watoto.

the natural attachement of most mothers to their children ndo hupelekea mama kuondoka na watoto!!!
unadhani pesa ndo kila kitu??? iambie basi iwapikie wanao, iwapigie hadithi na nyimbo(lulabi) na mengine kama hayo tuone

these kids need love and care of their parents
 
Inategemea na mazingira na mahusiano pia kati ya baba na mtoto na mama na mtoto na baba, mama na mtoto. Kwa mfano, wakati wa ugomvi watoto huonyesha upande upi wanaegemea, ikiwa ni wa mama, basi baba atawachukia wote yaani mama na watoto wake, na ikiwa wanaegemea upande wa baba, basi atawachukia baba na watoto wake pia.
 
Kaka,
Hapa sijakusoma vizuri, nadhani umeamua kuwa specific kwa watoto ambao wana umri wa kuweza kuelewa na pengine kuamua upande wa kuegemea. Vipi kuhusu watoto wadogo ambao hawaelewi kinachoendelea? Nafahamu kuna sheria ya kumtaka mama abaki na watoto walio chini ya miaka 7, lakini sheria hii haikatazi baba kuwahudumia na kuonyesha mapenzi watoto wake
 
unageneralize sasa...si wanawake wote wanashida na hivyo vijisenti vya mumewe mpaka atumie defence ya kubeba watoto.

the natural attachement of most mothers to their children ndo hupelekea mama kuondoka na watoto!!!
unadhani pesa ndo kila kitu??? iambie basi iwapikie wanao, iwapigie hadithi na nyimbo(lulabi) na mengine kama hayo tuone

these kids need love and care of their parents

Ningekujua ningekupa zawadi for the above statement. Pesa is nothing jamani, watoto wanahitaji mapenzi. Wanawake wa siku hizi hawajali pesa zenu vijana, wapende tu wanao full stop.

I have learned wanaume wanataka akichana na mkewe basi siku mojamoja aje kukumbushia enzi then hapo watoto watapata matunzo. But ukimnyima Mzee access ya kule "makumbusho" basi na watoto anasahau. Wanaume wanalijua hili, hiyo ya kusema mwanamke anataka pesa zake hiyo ni danganya toto tu, kutafuta sababu zisizo za msingi.
 
Inategemea na mazingira na mahusiano pia kati ya baba na mtoto na mama na mtoto na baba, mama na mtoto. Kwa mfano, wakati wa ugomvi watoto huonyesha upande upi wanaegemea, ikiwa ni wa mama, basi baba atawachukia wote yaani mama na watoto wake, na ikiwa wanaegemea upande wa baba, basi atawachukia baba na watoto wake pia.

Kwanini watoto wachukue sides? watoto hawatakiwi kabisa kuhusishwa au kushuhudia ugomvi wa wazazi. Tena hata kama kuna kutokuelewana ndani ya ndoa watoto hawatakiwi kujua. Dundaneni mpaka mtoane macho chumbani kwenu, but mkitoka nje watoto should see smiles in your faces.

Tabia ya wazazi (either mama or baba) kuwa brainwash watoto wamuone mzazi mmoja ni mbaya inaniuzi sana, coz these kids are innocent. watu wazima wenye akili zao will never put their kids in this situation kwa kweli. Nimeona wengi wametengana but at the end maelewano yapo na watoto have no clue kama kuna ugomvi kati ya wazazi.
 
....Si kweli. Wanawake wengi wanapogombana na waume zao hukimbilia kubeba watoto wakiamini mwanaume lazima atapeleka pesa ya matumizi ya watoto na yeye anakulapo humo humo. Mwanaume asipopeleka pesa ya matumizi utasikia mwanamke anaaza kulia lia kuwa mwanaume ametelekeza mtoto/watoto hatoi pesa ya matunzo na ndio maana wanaume wengi huamua kula kona. Nina ndugu yangu alipatwa na mkasa wa aina hiyo mama anataka kwa mwezi kila mtoto apewe pesa ya matumizi 100,000 na wana watoto watatu cha kushangaza yeye mama anajitoa kwenye suala la matunzo as if watoto si wake! Why?? Jeuri za wanawake ndio chanzo cha hayo yote...

Laligeni,
Ni dhambi mwanamke aliyekuzalia na kukulelea watoto wako kula utakachopeleka? Jamani Mungu kawaumbaje? Yaani ni vinyonga, mkipenda inakuwa 100% mkichukia ni 100% pia, hakuna in between?

Kuhusu pesa nimeshuhudia baba mmoja akikumbuka mtoto wake wakati yule binti alipoanza kazi na kutaka kuolewa, alikuja mbio anataka apewe mahari anadai kwa mila za kwao mahari yote anakula baba! nilishangaa sana maana wakati wa mavuno ndo anakumbuka na kuzitekeleza mila za kwao - maudhi matupu! sasa hivi anamwambia hata asiemjua kuwa ana binti yake anafanya kazi mahali fulani na kaolewa na fulani wakati hajui alifikaje hapo maana alimtelekeza. Shame upon your big faces wanaume wenye tabia za ubinafsi kupitiliza
 
Ningekujua ningekupa zawadi for the above statement. Pesa is nothing jamani, watoto wanahitaji mapenzi. Wanawake wa siku hizi hawajali pesa zenu vijana, wapende tu wanao full stop.

I have learned wanaume wanataka akichana na mkewe basi siku mojamoja aje kukumbushia enzi then hapo watoto watapata matunzo. But ukimnyima Mzee access ya kule "makumbusho" basi na watoto anasahau. Wanaume wanalijua hili, hiyo ya kusema mwanamke anataka pesa zake hiyo ni danganya toto tu, kutafuta sababu zisizo za msingi.

Ni kweli kabisa, na ukimkubalia access ya makumbusho pia imekula kwako, kwani utakuwa unatumia mwili wako kulipia huduma za watoto wake mwenyewe na ukicheza anakuongezea katoto kengine, yaani!
 
Back
Top Bottom