Wanaume Madaktari bingwa wa kinamama

Ahahahahah Ashadii wewee.........eti umeomba ujukuu, mie mwenzio nmenyeng'wanywa (hapa tuongee kwa sauti ya chini mwaya wachumba wasijesikia) Babu anataifisha lol......anakaba huyoo anataka wajukuu zake waolewe na kizinda na tena akikague yeye kuwa kipo!!

Babu yule akikupa ujukuu kakupa nasikia hanyang'anyi (nimesoma resume ya mchumba na ndg zake woote...lol..) BUT the mkara.. mmmmh!!!
Na mimi nitabanana nae tu... maana nishafika....lol
 
....ha ha ha, eti han'pimi?...kuna wengine raha yao waende kwa Gynecologist 'wakapimwe tu' japo hawaumwi...
waume wasinune kwanini?

...........Hahahahah lol aku usitusingizie bwana tukanyimwa ruhsa ya kuattend Antenatal bure.......... lol mie nilikremu hadithi zote....sile za ikifika wiki ya ngapi cjui waanzapimwa.....sijui ikifika siku gani waanzatembea na begi ah....sikuona hata kimoja, mwanangu kaja bila hodi, nimekwenda kwa Shaffiq mzima wa afya, ndani ya jeans na T-shirt! mrembo mimi lol na sura yangu ya kutisha, sina begi wala kibeti.....halafu ghafla naambiwa Mama tangulia theatre....ah sikumwelewa kwa kweli!! Maana hajawah'npima' ........... nlimwambia usintanie!! niligoma .....mpaka leo nkikutana naye anacheka!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

si afadhali basi mtu ushajihakikishia kitumbo kimenasa!...wengine mkavuuu...kila mwezi kiguu na njia kwa Dokta....kama hobby vile! ...Tena hiyo siku ya appointment unamuona yupo busy ku 'mow the lawn' kisha anajikwatua mpaka unasema mnh,...kunani huko?
 
Ila kweli Mbu wamama wengi huwa wana develop mapenzi ya ajabu na doctor wakati wa ujauzito. Mimi nina similar experience but thanks God daktari wangu huwa ni mwanamke always. Yaani sometimes you just feel like seeing the doctor without any reason. Na nimepitia vitabu vya mambo ya uzazi wanasema ni kawaida kwa kuwa dokta anakuwa karibu nawe wakati mwingine kuliko mumeo. Mnaelewana zaidi lugha. So when you feel loney unaeda mara unasingizia mtoto achezi mradi muonane.

si afadhali basi mtu ushajihakikishia kitumbo kimenasa!...wengine mkavuuu...kila mwezi kiguu na njia kwa Dokta....kama hobby vile! ...Tena hiyo siku ya appointment unamuona yupo busy ku 'mow the lawn' kisha anajikwatua mpaka unasema mnh,...kunani huko?
 
Ila kweli Mbu wamama wengi huwa wana develop mapenzi ya ajabu na doctor wakati wa ujauzito. Mimi nina similar experience but thanks God daktari wangu huwa ni mwanamke always. Yaani sometimes you just feel like seeing the doctor without any reason. Na nimepitia vitabu vya mambo ya uzazi wanasema ni kawaida kwa kuwa dokta anakuwa karibu nawe wakati mwingine kuliko mumeo. Mnaelewana zaidi lugha. So when you feel loney unaenda mara unasingizia mtoto achezi mradi muonane.

Eh eh eh ...nyumba kubwa mbona unatuchoma mydia?? .........hebu hii mapenzi development huwa inatokea kipindi gani?.........akishaku'pima' au hata kabla?? lloh!!,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,hakuna anayewezani'azima' mimba ili niifanyie research hii point ya nyumba kubwa jamani? Mi ni mtiifu nikimaliza tu research nakurudishia mimba yako............
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Madokta wako so caring kwa experience yangu. yaani ukiingia ofisini kwake utasema you are the only patient. Wanadevelop kind of intimacy relationship which is good if they don't abuse. In fact mpaka kuja kujifungua mnakuta mshakuwa friends; nine months! Mimi nilikuwa nikiingia kwa doctor lazima tutie story kidogo mpaka watoto wake niliwajua kwa majina.

Eh eh eh ...nyumba kubwa mbona unatuchoma mydia?? .........hebu hii mapenzi development huwa inatokea kipindi gani?.........akishaku'pima' au hata kabla?? lloh!!,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,hakuna anayewezani'azima' mimba ili niifanyie research hii point ya nyumba kubwa jamani? Mi ni mtiifu nikimaliza tu research nakurudishia mimba yako............
 
Naona mmewaingilia sana madaktari mimi ni mmoja wa madaktari na kweli tunatofautiana kama watu wengine kitabia
sikatai kunao wana hizo tabia za kuwatamani wagonjwa wao au kuwataka kimapenzi
ila huko ni kukiuka maadili ya kazi na unaweza hata kufungwa inabobainika kuwa unamtaka au umemfanyia mgonjwa wako
vitendo kama hivyo_Ok nao pia wagonjwa nao wanatofautiana vile vile kunao yaani unaona kabisa huyu anataka mambo mengine sasa
nawewe kama daktari una mitamaa yako ya ngono lazima utaendeleza sio wake za watu na si wsichana unakuta anakuomba namba ya simu anakwambia anataka akweleze maendeleo yake unakuta anaanza mengine baada ya muda unatumiwa hata na vocha
Kuhusu kupima kuna kitu kinaitwa PATIENT PRIVACY NA NDO YA KWANZA KATIKA matibabu mimi hata kama umekuja na mme wako
nitakuuliza je unataka mme wako uingie naye ofisini kwangu???akisema hapana basi hata yule mwanaume afanyeje hakanyagi coz mke amekataa
na pia kuna vipimo kwa mfano unampima njia ya mtoto ile mme wake akiwa pale mke hawezi hata siku moja kutoa ushirikiano ataona aibu
SO BILA KUPOTEZA MUDA NI KWAMBA WE ARE DIFFERENT KATIKA KILA NYANJA NA PIA KITABIA NA MITAZAMO MSIWAWEKE WOTE KUWA MADAKTARI NI WAHUNI HATA WAHASIBU,WAKURUGENZI POLISI NK PIA WANAHIZO TABIA NI HULKA YA MTU TU
 
madokta wako so caring kwa experience yangu. Yaani ukiingia ofisini kwake utasema you are the only patient. Wanadevelop kind of intimacy relationship which is good if they don't abuse. In fact mpaka kuja kujifungua mnakuta mshakuwa friends; nine months! Mimi nilikuwa nikiingia kwa doctor lazima tutie story kidogo mpaka watoto wake niliwajua kwa majina.
hasante!
 
Katika nchi zilizoendelea ujauzito hauhesabiwi kuwa ni ugonjwa na watu wengi wana opt kuzalia nyumbani kwa kutumia midwife tu.

Wengi wanapenda kuzalia nyumbani kwa sababu unaweza kuzaa ukiwa kwenye mkao unaotaka unaodhani ni comfortable kwako.

Na ndio maana hata kumefunguliwa natural birth centers ambapo ukifika unaweza kuzaa huku umesimama, umechuchama, umejibinua au ukiwa ndani ya water pool.

Bila ya Shaka tofauti ni kuwa hao midwives wanakuwa na elimu ya kutosha (though si madaktari) na kwa sehemu nyingi ni kuwa ikitokea last minute complication wanawahi kukufikisha hospitali.

Kwa wenzetu ujauzito unaanza kuhudumiwa kabla mimba haijatunga, kwa kupewa ushauri Wa kisaikolojia-what to aspect, how to react to changes, what's the best action for a good child birth.

Clinic zinakupangia hadi diet kamili (ili kutoongezeka zaidi ya kilo moja kwa mwezi ya ujauzito)

Naamini silazima akinamama wende hospitali iwapo wakunga watapewa mafunzo ya kutosha kwa vile jografia ya Tanzania na kiasi cha maendeleo kilichopo ni vigumu kwa kila mjamzito kufika hospitali.

Kuanzia utotoni wanawake na wanaume wanafaa kupewa elimu kuhusu mechanism ya uzazi salama. Maana wataalamu wanasema iwapo tutaelewa hiyo mechanism basi ni kwa asilimia 70 tutakiwa tumeondokana na vifo vya mama na watoto

*note
Niliwahi kumsikia mtaalamu mmoja anaefanya shughuli zake vijijini kuwa wanaume walikuwa hawajui kuhusu mtoto anavyo fanyika, na wapo waliodhani kuwa sperm ipo katika umbo la mtoto mdogoooo na akiingia tumboni anakuwa mkubwa hivyo hivyo!
 
Lakin kisheria kabisa mke wako kama anakwenda kwa doctor na kunacomplication ambazo zinahitaji apigwe nusu kaputi inaruhusiwa kuomba nesi awe naye kama watakuzuia wewe,kwenye nchi zilnazoendelea kama china mwanaume unaweza kuomba kushuhudia mke wako akijifungua lakini lazima utoe two weeks notice wakupime afya halafu uhudhurie.
 
MJ1 katika vipengele ambavyo vinachangia failure katika "Realization of Millenium Goal" inayolenga ku reduce maternal death (Hii iko chini ya uangalizi wa karibu na International community - World Health organisation ikijulikana kama Millenium Goal 5).. Hio ya daktari wa kiume kutoa huduma ndo kusababaisha ina nafasi ndogo saana katika nchi zetu za kimaskini. Na kwa wale ambao tumebahatika kuzaa unakuta ni bora uhudumiwe na mwanaume for they are so sensitive and considerate..... naona ile hali ya kuona wanawake wanatoa watoto zao kwa hio njia ya kuzaa hata scissor huchangia saana wawe na compassion.Sababu kubwa zinazochangia a lot of maternity deaths and birth rates ni tu ule umasikini ulokithiri... umasikini ulopelekea mhusika kutokua na access ya hiyo huduma ya muhimu ya kuzaa, aidha anaishi interior yuko mbali na zahanati, aidha chakula cha shida mno anakua malnourished, aidha hajajiunga na huduma ya Clinin sababu iko mbali na mambo kibao - Hayo mambo yakichangiwa saana na serkali in things such as miundo mbinu, zahanati na hospitali mbali mbali kukosa huduma kama umeme, vifaa, maji na dawa, Na Mengine meeengi...MJ1 hivi nilivyo jibu did i get you?? or niko nje ya swali lako??
I beg to dis agree with you, kina mama wengi tu wanafia aghakhan na hospitali za mjini kuliko hata huko kusiko kuwa na hospitali?Ushasikia hg kapewa mimba bahati mbaya kafa? Ni very rare, wake zetu mayai hawa ndio wanaoshindwa kupush pamoja na access ya huduma bora!
 
Lakin kisheria kabisa mke wako kama anakwenda kwa doctor na kunacomplication ambazo zinahitaji apigwe nusu kaputi inaruhusiwa kuomba nesi awe naye kama watakuzuia wewe,kwenye nchi zilnazoendelea kama china mwanaume unaweza kuomba kushuhudia mke wako akijifungua lakini lazima utoe two weeks notice wakupime afya halafu uhudhurie.

Hivi vipimo ni vya nini?
 
dokta ukienda na mkeo
anakwambia tupishe,,nenda nje,,
halafu kabla hujatoka anamwambia mkeo vua nguo ulale kitandani..
halafu unamlipa pesa..
unaweza huyo kukuta huyo mwanamke mpaka anakuvulia nguo
ulitumia pesa nyingi,,,,
yeye anavuliwa bure na kulipwa juu...
inaumaaa....
 
Nafikiri nyie mnaochagua madactari hamuumwi. Hivi kweli Maria stopes kuna madaktari? wote naona ni vihiyo tu kazii yao kubwa kutoa mimba, Gyno mwenye miiko hawezi kutoa mimba unless kuna tatizo kubwa sana. Mii gyno wangu ni mzee yuko pale Regency (muhindi) sijaona ananitia kidole popote labda kuwe na tatizo kubwa. Gyno anayepenad kuvua nguo za watu kutia vidole huyo ana ualakini.

Poleni sana nyie wenye gyno feki mtaishia kuweka vidole tuuu hata sehemu zisizo.
 
dokta ukienda na mkeo
anakwambia tupishe,,nenda nje,,
halafu kabla hujatoka anamwambia mkeo vua nguo ulale kitandani..
halafu unamlipa pesa..
unaweza huyo kukuta huyo mwanamke mpaka anakuvulia nguo
ulitumia pesa nyingi,,,,
yeye anavuliwa bure na kulipwa juu...
inaumaaa....
Mkuu unafikiria mbali sana, itabidi usomee udoc maana wale wake zako wanne uwe unawa examine mwenyewe tu
inaonekana una wivu sana na hupendi vyako viliwe
 
Back
Top Bottom