Wanaume mabahili acheni bwana hii ilishapitwa na wakati, kama umeishiwa si useme tu??

Status
Not open for further replies.
Kwani Dorry kadai Mwamvita ni role model wake? Au sjakupata mkuu...

Fasihi tu mkuu!!!sikiliza pini jipya la CPWAA kuna sehem anakuambia "anaonekana wa masaki!!!tabia za kiswazi!!!!"....utafiti wangu unaonyesha wanaume wanatuhumiwa kwa ubahili ndo wajanja!vimwaga makono wazee wa kumwaga sembe wamwagaji pakee ndo wanaenda kama madezoo!wajinga...ukiitwa bahili na madem hawa wa mjini jijue we mjanja!!!umesananuka!unaila mizigo kwa sound na mauzo kiaina!
 
hahah,nimenunuliwa a nice dress and a purse ya silver ya kwendea out this weekend lol.


jamani kabakabana umenionea wapi Dorrice wangu?nina hamu ya kuchunwa leo wajameni.............................lol...
 
Fasihi tu mkuu!!!sikiliza pini jipya la CPWAA kuna sehem anakuambia "anaonekana wa masaki!!!tabia za kiswazi!!!!"....utafiti wangu unaonyesha wanaume wanatuhumiwa kwa ubahili ndo wajanja!vimwaga makono wazee wa kumwaga sembe wamwagaji pakee ndo wanaenda kama madezoo!wajinga...ukiitwa bahili na madem hawa wa mjini jijue we mjanja!!!umesananuka!unaila mizigo kwa sound na mauzo kiaina!



it sounds good..........................
 
wewe sweetie, huyo bidada Dorrice mwambie yeye kuja pande hii, mbona anauweka?

au hapendi shopping yeye?
Nini shopping??? Vocha tu anakuja pande zako... Ngoja nimtafute nimwambie wamtafuta!
 
Imenikera sana tena sana, juzi nimetoka na jamaa yangu tumezoea kupanda tax eti kanitembeza kwa mguu, hlf tulipofika akaagiza soda kumuuliza baby vp leo kaanza ooh! Unajua ATM yangu ina matatizo mara imefungiwa mara imekuwa ghafra jana sikwenda benki mi nikatulia.


Sasa leo namtumia plz recharge me ananipigia simu ooh! Baby si unajua niko site? Yaani huku ni porini na vocha hakuna. Sasa unamdanganya nani?


Siku hizi kuna SIMBANKING, kuna MPESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY, sasa hapa inakuwaje unaniambia mara ATM mbovu si ufanye transaction uingize kitu mpesa tuendelee kutanua? Au kama umefulia si useme coz najua mshahara mpaka next week, aaagh uongo wote wa nini?

Kama umo humu naomba uione, umenikera sn mambo ya site mimi hayanihusu na ukikuta umeibiwa uanze kulalamika.

We boya kweli kwani kuwa na uhusiano nae ndo umtegemee kama baba yako badala ya kujishuhulisha na wewe ili msaidiane inaelekea kakuchoka kwa kuwa matonya wa kila siku kwake embu mabinti wa aina hii mbadilike
 
Unampenda kwa dhati huyo baby wako?.. Sio vizuri kuja kumsema huku, maisha kuna kupata na kukosa sasa wewe wataka apate kila siku? Wewe pia sio vibaya ukimpa ofa wakati ameishiwa.

Well said mamaa.. Mmeo/jamaa ako ana bahati sana kupata mw/mke kama wewe.. Hili ni tatizo kwa most of wadadaz wanapenda kulipiwa na kufayiwa makubwa wao wasifanye hata hayo madogo.. Hivi kuna mkataba unaoandikwa kwamba vidume wagharamike kila kitu na hamjaoana bado!!??
 
Ameshanitumia vya kutosha, ameichezea sn K... yangu sasa akaendelee na mke wake mimi sasa basi.
 
hongera kwa kutambua na kukubali kuwa unachezewa...ni pm me ntakupa utakazo,natumai mashart yangu hayatakushinda..
 
Dorrice,kweli uzuri wa jina sio uzuri wa tabia. Hii ni tabia chafu ambayo ni 'makahaba' pekee wanaimiliki.makosa ya huyo unayetuambia bebi wako unayaleta hapa? JF isingekuwepo bila shaka ungeenda kumwandika huyo bebi wako kwenye ukuta wa chooni!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom