Wanaume mabahili acheni bwana hii ilishapitwa na wakati, kama umeishiwa si useme tu??

Status
Not open for further replies.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Imenikera sana tena sana, juzi nimetoka na jamaa yangu tumezoea kupanda tax eti kanitembeza kwa mguu, hlf tulipofika akaagiza soda kumuuliza baby vp leo kaanza ooh! Unajua ATM yangu ina matatizo mara imefungiwa mara imekuwa ghafra jana sikwenda benki mi nikatulia.

Sasa leo namtumia plz recharge me ananipigia simu ooh! Baby si unajua niko site? Yaani huku ni porini na vocha hakuna. Sasa unamdanganya nani?

Siku hizi kuna SIMBANKING, kuna MPESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY, sasa hapa inakuwaje unaniambia mara ATM mbovu si ufanye transaction uingize kitu mpesa tuendelee kutanua? Au kama umefulia si useme coz najua mshahara mpaka next week, aaagh uongo wote wa nini?

Kama umo humu naomba uione, umenikera sn mambo ya site mimi hayanihusu na ukikuta umeibiwa uanze kulalamika.
 
sio lazima nkwambie nmeishiwa vngine unajiongeza mwenyewe.. Na bora umelijua ka huiwez hyo hali basi
 
Ukiona hivyo ujue keshakuchoka,na tegemea kupinduliwa hivi punde,
hata hivyo unajishaua tu huna lolote unategemea hicho kipochi chako ndio kikuletee maisha ,
anyway wewe sikutofautishi na changudoa
 
Unampenda kwa dhati huyo baby wako?.. Sio vizuri kuja kumsema huku, maisha kuna kupata na kukosa sasa wewe wataka apate kila siku? Wewe pia sio vibaya ukimpa ofa wakati ameishiwa.
 
we mbona Nitonye una mbomu?
 
Tatizo sio pesa hamna, pesa ipo nyingi tu sema iko very budgeted, yaan nikuonge kisa kipoch wakat kuna wadada kibao wazur kuanzia tabia hadi kipato wapo desparate wanatafuta watu,

Yaani kama ni mimi nakubwaga halafu nakualika harusini bila mchango uone anaechukua nafasi yukoje, siku hizi tumeshawajulia wadada msio wastaarabu tuna wadate hata 3 years na kuwapa hope zote na siku atakapopatikana anaefaa tunatafuta sababu ya kuwaacha na wakati unajua tutarud kuomba msamaha unasikia unaalikwa harusini wakati hata miezi haijaisha toka tuzinguane, unakuja kulalamika jamvini ooh kanivisha hadi pete lakini kaoa mwingine sabab ya ujinga kama huo, na nina imani huyo kakuweka boya utakuja kuona atavyokupoteza
 
Imenikera sana tena sana, juzi nimetoka na jamaa yangu tumezoea kupanda tax eti kanitembeza kwa mguu, hlf tulipofika akaagiza soda kumuuliza baby vp leo kaanza ooh! Unajua ATM yangu ina matatizo mara imefungiwa mara imekuwa ghafra jana sikwenda benki mi nikatulia.

Sasa leo namtumia plz recharge me ananipigia simu ooh! Baby si unajua niko site? Yaani huku ni porini na vocha hakuna. Sasa unamdanganya nani?

Siku hizi kuna SIMBANKING, kuna MPESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY, sasa hapa inakuwaje unaniambia mara ATM mbovu si ufanye transaction uingize kitu mpesa tuendelee kutanua? Au kama umefulia si useme coz najua mshahara mpaka next week, aaagh uongo wote wa nini?

Kama umo humu naomba uione, umenikera sn mambo ya site mimi hayanihusu na ukikuta umeibiwa uanze kulalamika.

kahaba mkubwa wewe!
Sasa kama unajua kuna Mpesa na Simbanking na zote hizo, kwanini usijiwezeshe?
Una spirit ya kichangudoa wewe dada... Na utaja pigwa mtungo kwa kuendekeza kuhudimiwa.
 
Imenikera sana tena sana, juzi nimetoka na jamaa yangu tumezoea kupanda tax eti kanitembeza kwa mguu, hlf tulipofika akaagiza soda kumuuliza baby vp leo kaanza ooh! Unajua ATM yangu ina matatizo mara imefungiwa mara imekuwa ghafra jana sikwenda benki mi nikatulia.

Sasa leo namtumia plz recharge me ananipigia simu ooh! Baby si unajua niko site? Yaani huku ni porini na vocha hakuna. Sasa unamdanganya nani?

Siku hizi kuna SIMBANKING, kuna MPESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY, sasa hapa inakuwaje unaniambia mara ATM mbovu si ufanye transaction uingize kitu mpesa tuendelee kutanua? Au kama umefulia si useme coz najua mshahara mpaka next week, aaagh uongo wote wa nini?

Kama umo humu naomba uione, umenikera sn mambo ya site mimi hayanihusu na ukikuta umeibiwa uanze kulalamika.

Mapenzi ya pesa si mazuri oh mama oh mama,hiv nani aliimba huu wimbo?
 
:juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom