Naombeni mnijibu kwa kina
kwanini wanaume wengi wakitaka kumtongoza mwanamke siku hizi hili swali ndo no moja?
akikuuliza Jina lako swali linalofuatia Unafanya Kazi wapi? kama huna au jibu ni mimi mwanafunzi,mawasiliano kwisha!
mbili...
tunakoelekea Pesa au majumba na Magari ndo 1st priority ktk kuolewa na sio someones Heart..! ndo maana hata ndoa nyingi zinavunjika maybe!
in short kwa nini katika kuoa/kuolewa watu wengi siku hizi wanaangalia uwezo wa muoaji/muolewaji na sio mapenzi mioyoni mwenu?
ni maisha kuwa magumu ? au ni tamaa au ni wanaume kuwa wavivu na kuogopa majukumu au ni nini haswa?