wanaume kwa nini mmeamua kufanya mambo hivi?

Siwezi kuishi na mwanaume ambaye hawezi kuchangia hata pesa ya kununua mkate... Naomba niwe mkweli kwa hili..
nikuambie kitu pesa si kitu maishani...unaweza kupata mtu mwenye hela na uteseke maisha yako yote
 
nikuambie kitu pesa si kitu maishani...unaweza kupata mtu mwenye hela na uteseke maisha yako yote

Pia unaweza ukapata huyo asiyekuwa na pesa na bado ukatesa maisha yako yooote... Mi ni bora nipate huyo wa kiasi ili twende tuu sambamba..! Maisha yenyewe yamejaa dhiki, tena upate mtu wa kukuongezea umasikini... Mweeee..
 
HAKUNA MAPENZI BILA PESA!!! BAAAAAASI! Wewe fikiria mtu akiwa hana pesa ataexpress vipi upendo? NO MIZAWADI, NO OUTINGS,NO SHOPPING, NO KUPIGIANA SIMU(bajeti atiii), NO MDA WA KUCHEZEA. Yaani mi sioni a way out, maybe ukubali kuishi a boring life! Tatizo hata ukimkubali bila pesa,siku akipata anakuona si SIZE YAKE atii anaanza kuifuata MIGUBELI YA JIJI @ bongo movies. ponda mali kufa kwaja!!!!!

Je kama alikuoa wakati pesa anazo halafu mna watoto 3 pesa zimeisha? Utasepa na kmwachia watoto? Tambua pesa hazitabiriki!
 
Naombeni mnijibu kwa kina
kwanini wanaume wengi wakitaka kumtongoza mwanamke siku hizi hili swali ndo no moja?
akikuuliza Jina lako swali linalofuatia Unafanya Kazi wapi? kama huna au jibu ni mimi mwanafunzi,mawasiliano kwisha!
mbili...
tunakoelekea Pesa au majumba na Magari ndo 1st priority ktk kuolewa na sio someones Heart..! ndo maana hata ndoa nyingi zinavunjika maybe!
in short kwa nini katika kuoa/kuolewa watu wengi siku hizi wanaangalia uwezo wa muoaji/muolewaji na sio mapenzi mioyoni mwenu?
ni maisha kuwa magumu ? au ni tamaa au ni wanaume kuwa wavivu na kuogopa majukumu au ni nini haswa?

kwani wewe unafanya kazi wapi na unamiliki nini?
 
its being realistic. maisha ya ndoa yanahitaji pesa ili yaende kodi,ada,chakula,fuel etc so kazi zinahusika. kama nataka kufunga ndoa then mwanafunzi au dada asiye na kazi wa nini?? atakuwa coin sink and i dont want that. sitegemei dada uwe na mamilioni au uendeshe vogue but u should be able to afford the basics. its not asking for too much, its just the standard of life I'm comfortable with.
 
pesa/mali zina nafasi yake.

Ukiachia mapenzi ya kihindi na tamthilia, mezani hamtatenga moyo, ada za watoto hamtalipa kwa moyo, bado huduma za malazi na nguo.Siku hizi ni kupenda blindlessly.

that's right ndugu.. tutazunguka weeee mwisho wa siku tutarudi palepale.. pesa/mali ni force behind love
 
hata kama jamani hela si inatafutwa tu? Ndo iwekwe mbele hivo?

ndoa za kileo zinaongozwa na tamaa si upendo. wanawake hutamani zaidi nafasi ya mwanamme yaani mali, cheo, umaarufu n.k. wanaume hutamani mambo ya mwili na hata nafasi pia. hivo mwanamme akidrop kidoga kasheshe tayari. kadhalika mwanamke akichoka/akichuja kidogo tu mwanamme tayari huanza kuangalia pembeni cheupe wa ... cheupe wa ... tamaa na mapenzi si kitu kile kile pamoja na kwamba mwanzo wa kumpenda mwenzi ni kutamani.
 
that's right ndugu.. tutazunguka weeee mwisho wa siku tutarudi palepale.. pesa/mali ni force behind love

nani wanaweza kupenda kama watoto wadogo? ule ni upend wa kweli maana hauna vigezo vya pesa au kitu kama hicho. ndiyo maana hata Yesu akasema 'waacheni ... waje kwangu ...
upendo kama wa yesu ndio uitwao Agape. love beyond love; extra ordinary love. It is not beach love
 
HAKUNA MAPENZI BILA PESA!!! BAAAAAASI! Wewe fikiria mtu akiwa hana pesa ataexpress vipi upendo? NO MIZAWADI, NO OUTINGS,NO SHOPPING, NO KUPIGIANA SIMU(bajeti atiii), NO MDA WA KUCHEZEA. Yaani mi sioni a way out, maybe ukubali kuishi a boring life! Tatizo hata ukimkubali bila pesa,siku akipata anakuona si SIZE YAKE atii anaanza kuifuata MIGUBELI YA JIJI @ bongo movies. ponda mali kufa kwaja!!!!!

haya sasa ni maisha si mapenzi. maisha hayaendi bila pesa. pesa hutengeneza mapenzi bandia. lakini mapenzi ni sehemu muhimu sana ya maisha na mapenzi bila pesa yanawezekana ila maisha bila pesa sijui yatakkuwaje think big
 
haya sasa ni maisha si mapenzi. maisha hayaendi bila pesa. pesa hutengeneza mapenzi bandia. lakini mapenzi ni sehemu muhimu sana ya maisha na mapenzi bila pesa yanawezekana ila maisha bila pesa sijui yatakkuwaje think big

Mzamifu nawe kwa kugumuza mambooo! PESA+MAPENZI=STABLE REATION= HEALTHY MARRIAGE. BAAAAAS! Kama hesabu ya darasa la kwanza.
 
maisha ya binadamu ni mchangayiko wa mambo mengi sana. maana yake kama unaishi unafanya mambo mengi na mengi hufanyi. ukiwa unaishi utasema na watu utachati utafurahi utachukia n.k yaani kuishi kibinadamu ni kuishi na watu na huko ndiko mapenzi hutokea. mapenzi ni jambo unique sana si vema kulitafsiri harakaharaka. wengi tunachukulia harakati za kawaida na kuziita mapenzi. hata kuoa na kuolewa si mapenzi hasa hi harakati tu za maisha. mapenzi hasa hayagawanyiki wala hayabadiliki. mapennzi ni indefinite, complex to define. sehemu kubwa ya kile tunachoita mapenzi ni harakati za maisha tu ambapo ndani yake kuna chembe chembe za mapenzi na si mapenzi yenyewe hasa. bwana yesu aliwahi sema mpende jirani yako kama nafsi yako jambo ambalo hadi sasa sijui kama kuna mtu wa aina hii. mi naona ni yeye pekee.
 
Mzamifu nawe kwa kugumuza mambooo! PESA+MAPENZI=STABLE REATION= HEALTHY MARRIAGE. BAAAAAS! Kama hesabu ya darasa la kwanza.
tatizo la kupitia falsafa linanisumbua. nimeona kama nimechokozwa basi ngoja nipoe. nisamehe bure
 
Lukymito my dear wanaume wa cku hizi hawataki magoli kipper,lakini pia ndo Chanzo cha NDOA nyingi kkuvunjika kwasababu huy mwanamke mwenyewegari na nyumba au kazi Tambua amesha jisimamia mwenyewe kama bahata wengi wao wanapo olewa hawataki kusimamiwa mtu alishazoea anaenda disco anarudi saa nane ya ucku kesho anaamka anajua pakuzitafuta ,leo mtu kama huyo kaa Chini mm mmeo nataka unisikilize ctaki hiki nataka kile na bado akiangalia yeye ndo amebeba sehemu kubwa ya Kipato cha familia hawezi kukusikiliza hata Kidogo ndo hapo mwanaume anaanza kulalamika oho wanawake wa cku hizi hawana heshima mwanamke atakueshimuje wakati huna hadhi ya kuwa mume wake wewe umemjeuza yeye baba mwenye nyumba. Ndo maana NDOA za cku hizi hazidumu kwasababu wanaume wengi hudhani kuwa na mwanamke mwenye Kipato ndo suluhisho. Bora kuoa mwanamke ambaye unaweza Kumiliki kama mume na sio mwanamke anaye kumiliki na kama unataka mwanamke mwenye Kipato cha juu Lazima utii masharti vinginevyo ghutaweza kudumu kwenye NDOA
 
Back
Top Bottom