wanaume kwa nini mmeamua kufanya mambo hivi?

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Naombeni mnijibu kwa kina
kwanini wanaume wengi wakitaka kumtongoza mwanamke siku hizi hili swali ndo no moja?
akikuuliza Jina lako swali linalofuatia Unafanya Kazi wapi? kama huna au jibu ni mimi mwanafunzi,mawasiliano kwisha!
mbili...
tunakoelekea Pesa au majumba na Magari ndo 1st priority ktk kuolewa na sio someones Heart..! ndo maana hata ndoa nyingi zinavunjika maybe!
in short kwa nini katika kuoa/kuolewa watu wengi siku hizi wanaangalia uwezo wa muoaji/muolewaji na sio mapenzi mioyoni mwenu?
ni maisha kuwa magumu ? au ni tamaa au ni wanaume kuwa wavivu na kuogopa majukumu au ni nini haswa?
 
pesa/mali zina nafasi yake.

Ukiachia mapenzi ya kihindi na tamthilia, mezani hamtatenga moyo, ada za watoto hamtalipa kwa moyo, bado huduma za malazi na nguo.

Siku hizi ni kupenda blindlessly.
 
Jamani kuna lingine zaidi ya lile "50 kwa 50".

"Wanawake tunaweza, Haki sawa kwa wote, Mfumo dume tena basi, miss indipendent."

Yote haya yanatuaminisha kwa namna moja hama nyingine mtakuwa na shughuli za kufanya, ndio maana wanaume wengi tunapenda kujua mapema ili tuepushe ile hali ya utegemezi.
 
Kwani hujasoma katika 1 Timotheo 3:2 inayosema hivi maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujusifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi.
 
pesa/mali zina nafasi yake.

Ukiachia mapenzi ya kihindi na tamthilia, mezani hamtatenga moyo, ada za watoto hamtalipa kwa moyo, bado huduma za malazi na nguo.

Siku hizi ni kupenda blindlessly.
hata kama jamani hela si inatafutwa tu? Ndo iwekwe mbele hivo?
 
Kwani hujasoma katika 1 Timotheo 3:2 inayosema hivi maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujusifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi.
asante mtumishi kwa andiko...ubarikiwe sana kweli umenifungua macho
 
Aaah... Kwangu mie gari sijui nyumba sio ishuu ki vile, ila ninachotazama ni je mbeleni maisha na huyu mwanaume yatakuwaje? Inawezekana leo akawa hana gari lakin kwa pamoja twaweza nunua hilo gari na kujenga nyumba yetu... Ila kwa mwanaume ambaye namuona haeleweki, hana kazi kwa kweli atanisamehe.. Sitaki kupata presha ya kulea mwanaume mie..!
 
HAKUNA MAPENZI BILA PESA!!! BAAAAAASI! Wewe fikiria mtu akiwa hana pesa ataexpress vipi upendo? NO MIZAWADI, NO OUTINGS,NO SHOPPING, NO KUPIGIANA SIMU(bajeti atiii), NO MDA WA KUCHEZEA. Yaani mi sioni a way out, maybe ukubali kuishi a boring life! Tatizo hata ukimkubali bila pesa,siku akipata anakuona si SIZE YAKE atii anaanza kuifuata MIGUBELI YA JIJI @ bongo movies. ponda mali kufa kwaja!!!!!
 
soo kwako dear pesa ndo mpango mzima sio?
 
Aaah... Kwangu mie gari sijui nyumba sio ishuu ki vile, ila ninachotazama ni je mbeleni maisha na huyu mwanaume yatakuwaje? Inawezekana leo akawa hana gari lakin kwa pamoja twaweza nunua hilo gari na kujenga nyumba yetu... Ila kwa mwanaume ambaye namuona haeleweki, hana kazi kwa kweli atanisamehe.. Sitaki kupata presha ya kulea mwanaume mie..!
so wewe upo kisalary slip zaidi sio?
 
Aaah... Kwangu mie gari sijui nyumba sio ishuu ki vile, ila ninachotazama ni je mbeleni maisha na huyu mwanaume yatakuwaje? Inawezekana leo akawa hana gari lakin kwa pamoja twaweza nunua hilo gari na kujenga nyumba yetu... Ila kwa mwanaume ambaye namuona haeleweki, hana kazi kwa kweli atanisamehe.. Sitaki kupata presha ya kulea mwanaume mie..![/QUOT

inamana unawez kuolew na m2 ambae ana pesa lkn tru love hana?
 
soo kwako dear pesa ndo mpango mzima sio?

Pesa kwangu ni kama ENGINE kwenye gari! Sipendi dhambi mwenzio, unamkubali mtu mnonge alafu hela ya shopping unachukua kwa SUGAR DADY,akikufuata kwa miguu ukiwa na mashosti zako unadangany YULE SHAMBA BOY wetu, au MSHKAJI TUU!! Akuuuu! Mie staki chozi la mnyonge lalipwa kwa Mungu!
 
Aaah... Kwangu mie gari sijui nyumba sio ishuu ki vile, ila ninachotazama ni je mbeleni maisha na huyu mwanaume yatakuwaje? Inawezekana leo akawa hana gari lakin kwa pamoja twaweza nunua hilo gari na kujenga nyumba yetu... Ila kwa mwanaume ambaye namuona haeleweki, hana kazi kwa kweli atanisamehe.. Sitaki kupata presha ya kulea mwanaume mie..![/QUOT

inamana unawez kuolew na m2 ambae ana pesa lkn tru love hana?

Hujanielewa... Ninachomaanisha ni maisha ya kusaidia mwanaume na mwanamke... Nataka niolewe na mtu ambaye najua kwa pamoja tutajenga familia yetu kwa vipato vyetu vidogo.. Sijaongelea mwenye mipesa... Unampata mwanaume asiye na kazi wala hana ndoto ya kupata kazi unadhani shida zitakazo kuwepo humo ndani hiyo true love yako itaendelea kuwepo??
 
pesa kwangu ni kama engine kwenye gari! Sipendi dhambi mwenzio, unamkubali mtu mnonge alafu hela ya shopping unachukua kwa sugar dady,akikufuata kwa miguu ukiwa na mashosti zako unadangany yule shamba boy wetu, au mshkaji tuu!! Akuuuu! Mie staki chozi la mnyonge lalipwa kwa mungu!
mmmh una hatari balaaa,unaogopa mashosti?
 
Back
Top Bottom