Wanaume kwa kupenda Chaboo

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
558722_464643060233362_2138611387_n.jpg
 
Nimependa heels za huyo dada wa mwanzo....halafu kwanini wazungu wengi huwa wana miguu mizuri?
 
Nimependa heels za huyo dada wa mwanzo....halafu kwanini wazungu wengi huwa wana miguu mizuri?

hapo kwenye blue karibia 90% ya ambao nimeishakutana nao miguu yao bomba kweli,ngoja nitawuliza
 
Hapo hata kama jamaa anavunja haki za binadamu ukigeuka kumwambia kitu imekula kwako. Ila huyu mwanaume, kuangalia kwa chini na kupiga picha ndio nini tena???
 
Nimependa heels za huyo dada wa mwanzo....halafu kwanini wazungu wengi huwa wana miguu mizuri?
MadameX umeona eeeehhhhhhhh?Yaani mi mwenyewe mpaka sahivi naitafakari hiyo miguu.miguu utafikiri hawakanyagi chini.kweli Mbuzi Mzee mkali sijui amewatolea wapi hawa viumbe.
 
Last edited by a moderator:
huku kwetu wasilete hivyo vimini, watu wamekula magimbi wamepata migando kwenye mapaja, na mikorogo imeharibu, michirizi mapajani utasema contours! kwetu wavae labda madera tu! lol, they look stunning kwa kweli na vimwili vyao vidogodogo, lol! amazing!
 
Madame kila kabila limejaaliwa,
Wachaga-sura nzuri,makalio hakuna
Wahaya-makalio mazuri sura mbaya

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nimependa heels za huyo dada wa mwanzo....halafu kwanini wazungu wengi huwa wana miguu mizuri?

Well, kwasababu miili yao inko Flat.(namaanisha kuwa suo Curvy kama ya Waafrika au Hispanick) na ndio sababu miguu yao inaonekana kuwa proportional na miili yao. This applies also to Chinese, Japanise and some Indians. Lakini ni vigumu kuona hasa kwa wahindi kwasababu muda wote hufunika sehemu kubwa za miili yao.
 
Wachina nakubaliana nawewe
 
Hao siyo Wazungu bana. Hao ni WARUSI eti.

Muulize saint Ivunga wa Jamiiforums atakupa habari zao, hahahahaaa.

Polisi Wa Kirusi na Watoto wa Kishoka (Kidevu cha Lennin) kwa ujumla huwa hawana noma, HARASHOO!!!!

Check Chupa ya Bia hiyoo kwenye Miguu ya bibie wa kulia.

1.jpg

Nimependa heels za huyo dada wa mwanzo....halafu kwanini wazungu wengi huwa wana miguu mizuri?
 
Nimependa heels za huyo dada wa mwanzo....halafu kwanini wazungu wengi huwa wana miguu mizuri?
Sio wote. Mfano waingredha hawako kivileee. Nadhani waholanzi wanaongoza si tu miguu bali hata uzuri kwa ujumla...maumbile bomba, rangi sio ile weupe wa papai. Yaani kama mixa flani ya kibantu na kidhungu hivi. Bomba mbaya.
 
Back
Top Bottom