Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

Sasa hapo unanipa mtihani dada! Nafikiri hii siyo sehemu sahihi kwa kuelezea hicho kitu....sisi wengine tunafuata miiko ya kazi....lakini kama umewahikuvaa zile ch**p za bikin nakuomba jaribu kuumiza ubongo wako na kisha utapata jibu
acha kunibania bwana. Mi sina ubongo wa kuumiza.
 
Kumbe tuko wengi............................halafu hapo nilipobold ndio kawaida yao kumbe.....................mi nahisi hawa ukionyesha kupenda na kuchekacheka nao...................mmhn!....................watataka kuingia mpaka chumbani!
washxxyz sana, mi mwenyewe nimeona bora huduma zingne nijifanyie mwenyewe. Nasave time na pesa.
 
Mi sikufichi......................saluni nimeshaenda sana tu....................kwa huduma zote..........kucha na nywele pia........................nikaishia kununua dryer na vifaa vya kucha!....................ukinikuta mwenge ujue naenda kusuka rasta tu!

Kwanza saluni zetu hizi za kike.............kumejaa umbea................huduma mbovu...........na mengine ya ajabu ajabu tu.......muda mwingi uapotea huko..............

Halafu......................kuna sehemu nyingine nyingi unaweza kwenda na kutuliza ubongo zaidi ya saluni....................sijajua kinachokuburudisha huko saluni ni nini hasa?

Tafuta vikundi vya kimaendeleo vya wanawake..............viko vingi tu tena hawabagui umri........................kama unatafuta pa kupotezea muda
Humo kwenye red mkuu....na ndiyo maana ukakuta kuna hospital za hali ya chini na hospital za hali ya juu spesho kwa watu fulani....na pia kuna Hotel za hali ya juu kama kempsiky nk....huko huwezi kuta porojo za uswazi wala umbea. So kuna salon hapa mjini zina mazingira kama ya mifano hiyo hapo....yaani ukiingia tu kwenye hiyo salon mwenyewe unajishtukia kiaina....unakuta kila kitu kiko cool na watu wako kikazi zaidi! hakuna cha umbea wala huduma mbovu....yaani hapo utashindwa bei tu. Je unaweza kulipa wash and set tsh 20.000? just wash and set and no more
 
haya hayaaaa wenye wivu na wapaka rangi kucha haooooo msije mkawatoa roho vijana wa watu barabarani huko wanatafuta pesa ili waweze kuishi town hapa. km wewe unavyofurahi ukihudimiwa kwenye basi ndege hospitalini hotelini na msichana mreeembo na kuahidi kurudi tena ndivyo wenzenu nao wanavyosuuzika wakitomaswa tomaswa na mpaka rangi sababu hamjitumi!! akikuita darling nikune mgongoni au nifanyie masaji mguu wangu unajidai uko biize na TV au JF au MAN U vs CHELSEA. niambie hapo ndani kwenu lini mmekaa kochi moja angalau hata mkeo akakuegemea kidogo akasikilizia mapigo ya moyo wako? ukiona hayo hujafanya usimlaumu mpaka kucha rangi
Ahsante kwa kuliona hilo mkuu....lakini najaribu kuelezea kile ambacho nakiamini kutokana na kazi hii na uwenda baadhi ya watu wakaanza kuielewa
 
mbona mi sioni tatizo wanaojiachia na kuweka sketi hadi kwenye mapaja wana lao wengine tunajiheshimu tunajivalia zetu suruali na siwezi kuacha kwenda sbb kupendeza napenda
Dada Aisha ahsante sana kwa kujitambua.....how unamuona mtu anakuhudumia kihuni huni na wewe unamchekea unafikili hatma yake ni nini?....lakini hata hivyo siyo salon zote unakutana na mambo kama hayo.....kuna salon ukiingia tu wala utamani hata kutoka nje....yaani unajisikia kama uko katika ya serengeti national park unaangalia wanyama live na huku helcopita inakusubilia pembeni tayari kurudi bongo. Hapo ni pesa yako tu.....kama ni costumer care,huduma mzuri nk....hapo ndiyo umefika! unaulizwa kinywaji chochote utakacho na utapewa tena ni bure
 
Kupakwa rangi kucha na dume ni aina mpya ya ngonohisia kwa wanawake kujitosheleza kimapenzi
 
jamani mbona nyie mnashikwashikwa na wadada saluni mkienda kunyoa tena mnapenda kweli kweli na mnatoa na zawadi kama mkiwapenda,ahaaaaaaaaaa.....mkuki kwa nguruwe....... acheni bana tena ngoja niwahi zangu mwenge mie foleni kubwa
 
Kupakwa rangi kucha na dume ni aina mpya ya ngonohisia kwa wanawake kujitosheleza kimapenzi
Hata utembeapo barabarani na ukapishana na mwanamke kisha ukageuka na kuangalia makalio yake'pia ni hisia ya ngono kwa baadhi ya wanaume kujitosheleza kimapenzi.
 
Humo kwenye red mkuu....na ndiyo maana ukakuta kuna hospital za hali ya chini na hospital za hali ya juu spesho kwa watu fulani....na pia kuna Hotel za hali ya juu kama kempsiky nk....huko huwezi kuta porojo za uswazi wala umbea. So kuna salon hapa mjini zina mazingira kama ya mifano hiyo hapo....yaani ukiingia tu kwenye hiyo salon mwenyewe unajishtukia kiaina....unakuta kila kitu kiko cool na watu wako kikazi zaidi! hakuna cha umbea wala huduma mbovu....yaani hapo utashindwa bei tu. Je unaweza kulipa wash and set tsh 20.000? just wash and set and no more

Nikweli zipo saluni nyingi tu za namna hiyo unayoongelea.......nafikiri wakati wa mimi kutumia saluni hizo haujafikia ............................yaani kipato changu chooote nikamalizie kwenye urembo?...............ebo!..........................

Hizo nywele tu.........bado kucha......viatu vizuri.............mavazi........pochi....................lotion................perfume..........n.k.............Ziko huduma za bei ya kati ambazo wengi tulikimbilia huko.........yamenishinda nimetafuta mbadala...................siwezi osha nywele kwa 20,000/- (labda siku ya sikukuu)......teh teh teh........................................................kisa fulani na fulani ofisini wanaosha hapo!

Ndio maana nikafanya maamuzi yanayo endana na uwezo..................................kikubwa zaidi..........naokoa muda pia...................
 
washxxyz sana, mi mwenyewe nimeona bora huduma zingne nijifanyie mwenyewe. Nasave time na pesa.
kwa taarifa yenu kutoka kwa Mr kucha wale wanaume hawawapaki rangi tu ila wanawatomasa na mnangonoka kihisia,
 
Hata utembeapo barabarani na ukapishana na mwanamke kisha ukageuka na kuangalia makalio yake'pia ni hisia ya ngono kwa baadhi ya wanaume kujitosheleza kimapenzi.
hahaaa ugonjwa mbaya saaana umeiingia jamii yetu. sasa hata wao kwa wao wanageuka kuyatizama. km msichana hana hiyo issue anakuwa hana confidence(si wote plse) tumeweka hisia zaidi kuliko uhalisia.
 
Sijasema watu wasiende saluni jamani.......................kama hakuna kinachowakera..............waendelee kwenda...............na huko mwenge ....................wapo wanaopenda burudani hiyo ya kutekenywa makusudi na wapaka rangi waendelee kuburudika..............................................na wale wanaoenda kwa lengo la kupaka tu na wakapata mpaka rangi mwenye lengo la kutafuta pesa na si mengineyo................waendelee kupata huduma


Si vijana wote wanatabia hiyo........................ila siku ukikutana naye...............................hakika hutathubutu kumpa mwingine miguu yako aiguse zaidi ya kuwahama kabisa.....................
 
Hata utembeapo barabarani na ukapishana na mwanamke kisha ukageuka na kuangalia makalio yake'pia ni hisia ya ngono kwa baadhi ya wanaume kujitosheleza kimapenzi.
kuliona kalio la mwanamke ni tofauti na kulishika ,nahakika mshikachuma kwenye hii saluni yangu nkakushika with intention of sex desire kwenye miguu yako utafika peak tu, hawa mr kucha huwa wanatuambia leo nimek¤j¤lesha watano ,sita.....
 
hahaha! Kuna mwingine ubungo nilijitosa kuscrub miguu nashangaa mtu analeta mikono hadi kwenye mapaja huku ananiangalia usoni aone narespond vipi. Nikamuuliza we vipi huku nimekunja uso, akaniambia wenzio huwa nawascrub hadi huko. Khaa!Ukiwa mwepesi mnabakana ndani.

khaaa......ndo maana siku hizi mimi sikubali kabisaa ruhusa za kwenda kufanyiwa massage ..(sijui manicure whatever) kwa sababu hizi hizi

bikin line ndio ipoje hyo nikajaribu?

shindwa na ulegeee....umepatwa moshi wataka na moto kabisa.....utaungua...
 
Back
Top Bottom