Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

siku hizi sio wakongo tu. Nimetoka saluni sahv mkaka wa kichaga kaniseti. Ukiniona mwenyewe utanitamani. Hahahaha! Siku hz hakuna kazi ya kike wala kiume. Wanawake wenyewe zege tunabeba.
Si umeona enheee! alafu kunawatu wanakuja hapa jamvini na blah blah za kuponda kazi za watu.....wanaona ile kazi ni ya kijinga sana! yaani wangejuwa watu wanajenga na kusomesha watoto kwenye international schoolz wasingethubutu kusema upupu huu
 
Wee unastaajabu wanaopaka rangi kucha? wako wanaowafanyia massage ya mwili mzima na wanalipa juu.

Kwa kifupi haifai kabisa.
Mmh wewe FF unashangaa massage? kunakitu kinaitwa bikin line na ukim-maliza analipa villevile.....hata hivyo naogopa sana kubishana na wewe!maana nakujua sana tunapokutana kwenye mambo yetu yaleeee
 
teh teh teh unaonekana una wivu wewe! unaona jamaa anafaidiiii ile mbaya, basi na wewe fungua ofisi kama hiyo ya jamaaa!
Yes very good sound from u.....lakini kuendesha biashara ya salon au Beauty clinic siyo mchezo! yataka uwe makini sana kuanzia capital,area,furniture na mastaff {wafanyakazi} vinginevyo utashitukia miezi 4 au 6 kitu chali i mean ofisi imefungwa. Yaani inatakiwa uwe very active....hakikisha salon yako isifanane na za uswazi au kama yeboyebo za Sinza,magomeni na kinondoni. Fanya kitu tofauti na uwalenge watu fulani hata kama itakuwa umeifunguwa maeneo hayo niliyoyataja.
 
acha matusi mshika chuma najua kila kitu cha huko beauty clinic nimeamua kuchukua kama sample tu ya kupaka kucha rangi ,say what you say ,man who do that shit job they are already suck!
Sijakutukana mkuu...ila nakuhelimisha tu wangu!.
Hebu nipe tathimini yako kwa madoctor wa kiume wanaofanya uchunguzi kwa wanawake wanaumwa ugonjwa wa kistura au hata kuzalisha kwenye haya maospital yetu
 
Mmhn!............Mi kuna mmoja nilimkimbia hapo mwenge...............yaani wakati anapaka yale mafuta halafu anaanza kumassage kwenye nyayo .............anafanya makusudi kabisaaa............huwezi kuvumilia.......na akishagundua hilo sijui ndio anazidisha?.......................labda umdanganye miguu inakuuma ndio ataacha................wala siwatetei hata kidogo!
 
Unaitwa ugonjwa wa Fistula...................au huo kistura ni mwingine?
 
Alafu hao wanawake walivyowehu akfanya kazi hyo mwanamke mwenzao hawaendi.. Ninao ushahidi wa'waz dada yangu ana'saloon yake lkn wenzake wamemsusia hata hawaendi
Hivi, mbona nanyi mwafanyiwa massage na facial na vibinti kwenye hizo salon zenu hatulalamiki? Wanaume huwa wanatumassage miguu pia; wao wanaenjoy nasi twainjoe pia. Mwanamke mwenzio haenjoy hiyo kazi ni kwa ajili ya shida tu, at the end of the day anakulipua!
 
Hii inapunguza gharama na kuokoa muda pi;

Kama ni binti/mwanamke................nakushauri nunua rangi zako upendazo,remova pamoja na vyoote vinavyohusika na urembo wa kucha zako.........................................................Tafuta katrei kadogo weka vitu vyako ........................na kila unapohitaji kurekebisha kucha zako....................fanya hivyo ukiwa nyumbani.

Mnataka kuniambia hamjui kusafisha kucha...................kufanya scrub...................na kumassage......................... kama wafanyavyo wale wakaka wa mwenge?.....................................wenza wenu/waume zenu wanasafishwa na nani?.................................wanafanyiwa massage na nani?...................................

Hamjawazoesha hata haya ya kawaida....................ndio maana hata mkiwaita kuwapatia huduma ya gillete wanaanza marathon...............
 
Yes kunakitu kinaitwa feeling {hisia}kwa baadhi ya wateja....wanaume waliowengi wanapenda kuhudumiwa na mastaff wa kike na wadada waliowengi wanapenda kuhudumiwa na mastaff wa kiume. Hapa unaweza kuta vitu vitatu -: kwanza mteja anataka kuhudumiwa na staff huyo kwa vile amemzowea tu, pili labda huyo staff anajua how to do that work na tatu utakuta mteja mwingine anamchagua staff kutokana na jinsia yake tu il apate feeling flani hivi.....lakini mie binafsi siamini sana kwenye hizi propaganda za feeling zinazoenezwa na baadhi ya watu
 
Mmhn!............Mi kuna mmoja nilimkimbia hapo mwenge...............yaani wakati anapaka yale mafuta halafu anaanza kumassage kwenye nyayo .............anafanya makusudi kabisaaa............huwezi kuvumilia.......na akishagundua hilo sijui ndio anazidisha?.......................labda umdanganye miguu inakuuma ndio ataacha................wala siwatetei hata kidogo!
hahaha! Kuna mwingine ubungo nilijitosa kuscrub miguu nashangaa mtu analeta mikono hadi kwenye mapaja huku ananiangalia usoni aone narespond vipi. Nikamuuliza we vipi huku nimekunja uso, akaniambia wenzio huwa nawascrub hadi huko. Khaa!Ukiwa mwepesi mnabakana ndani.
 
Mmh wewe FF unashangaa massage? kunakitu kinaitwa bikin line na ukim-maliza analipa villevile.....hata hivyo naogopa sana kubishana na wewe!maana nakujua sana tunapokutana kwenye mambo yetu yaleeee
bikin line ndio ipoje hyo nikajaribu?
 
Hii inapunguza gharama na kuokoa muda pi;

Kama ni binti/mwanamke................nakushauri nunua rangi zako upendazo,remova pamoja na vyoote vinavyohusika na urembo wa kucha zako.........................................................Tafuta katrei kadogo weka vitu vyako ........................na kila unapohitaji kurekebisha kucha zako....................fanya hivyo ukiwa nyumbani.
Mkuu kunawatu walijaribu kuweka vitu vyote hivyo nyumbani including madryer na wameshindwa mchana kweupee.....asikudanganye mtu salon ni salon.....salon ni moja ya sehemu za kupumzisha ubongo wako....na kuhudumiwa kua raha yake kuliko kujitengeneza mwenyewe

Mnataka kuniambia hamjui kusafisha kucha...................kufanya scrub...................na kumassage......................... kama wafanyavyo wale wakaka wa mwenge?.....................................wenza wenu/waume zenu wanasafishwa na nani?.................................wanafanyiwa massage na nani?...................................

Hamjawazoesha hata haya ya kawaida....................ndio maana hata mkiwaita kuwapatia huduma ya gillete wanaanza marathon...............
Mkuu asikudanganye mtu! salon ni salon....kunawatu walijaribu kuweka vitu vyote hivyo nyumbani including dryer lakini mwisho wa siku walishindwa. Pia salon ni moja ya sehemu ya kutuliza ubongo wako.....na kuhudumiwa ni vizuri zaidi kuliko kujihudumia
 
hahaha! Kuna mwingine ubungo nilijitosa kuscrub miguu nashangaa mtu analeta mikono hadi kwenye mapaja huku ananiangalia usoni aone narespond vipi. Nikamuuliza we vipi huku nimekunja uso, akaniambia wenzio huwa nawascrub hadi huko. Khaa!Ukiwa mwepesi mnabakana ndani.

Kumbe tuko wengi............................halafu hapo nilipobold ndio kawaida yao kumbe.....................mi nahisi hawa ukionyesha kupenda na kuchekacheka nao...................mmhn!....................watataka kuingia mpaka chumbani!
 
Hahahaaaa umenivunja mbavu Husninyo.....!
 
Kumbe tuko wengi............................halafu hapo nilipobold ndio kawaida yao kumbe.....................mi nahisi hawa ukionyesha kupenda na kuchekacheka nao...................mmhn!....................watataka kuingia mpaka chumbani!
Yaah for sure unapoenda kwenye huko salon za vichochoroni ni lazima uwe siriaz sometime hasa unapoona au kugundua kua staff anayekuhudumia hayupo kikazi na badala yake anaonekana kuuza sura tu. Yes muwe makini na watu kama hao
 
Mkuu asikudanganye mtu! salon ni salon....kunawatu walijaribu kuweka vitu vyote hivyo nyumbani including dryer lakini mwisho wa siku walishindwa. Pia salon ni moja ya sehemu ya kutuliza ubongo wako.....na kuhudumiwa ni vizuri zaidi kuliko kujihudumia

Mi sikufichi......................saluni nimeshaenda sana tu....................kwa huduma zote..........kucha na nywele pia........................nikaishia kununua dryer na vifaa vya kucha!....................ukinikuta mwenge ujue naenda kusuka rasta tu!

Kwanza saluni zetu hizi za kike.............kumejaa umbea................huduma mbovu...........na mengine ya ajabu ajabu tu.......muda mwingi uapotea huko..............

Halafu......................kuna sehemu nyingine nyingi unaweza kwenda na kutuliza ubongo zaidi ya saluni....................sijajua kinachokuburudisha huko saluni ni nini hasa?

Tafuta vikundi vya kimaendeleo vya wanawake..............viko vingi tu tena hawabagui umri........................kama unatafuta pa kupotezea muda
 
bikin line ndio ipoje hyo nikajaribu?
Sasa hapo unanipa mtihani dada! Nafikiri hii siyo sehemu sahihi kwa kuelezea hicho kitu....sisi wengine tunafuata miiko ya kazi....lakini kama umewahi
kuvaa zile ch**p za bikin nakuomba jaribu kuumiza ubongo wako na kisha utapata jibu
 
mbona mi sioni tatizo wanaojiachia na kuweka sketi hadi kwenye mapaja wana lao wengine tunajiheshimu tunajivalia zetu suruali na siwezi kuacha kwenda sbb kupendeza napenda
 
haya hayaaaa wenye wivu na wapaka rangi kucha haooooo msije mkawatoa roho vijana wa watu barabarani huko wanatafuta pesa ili waweze kuishi town hapa. km wewe unavyofurahi ukihudimiwa kwenye basi ndege hospitalini hotelini na msichana mreeembo na kuahidi kurudi tena ndivyo wenzenu nao wanavyosuuzika wakitomaswa tomaswa na mpaka rangi sababu hamjitumi!! akikuita darling nikune mgongoni au nifanyie masaji mguu wangu unajidai uko biize na TV au JF au MAN U vs CHELSEA. niambie hapo ndani kwenu lini mmekaa kochi moja angalau hata mkeo akakuegemea kidogo akasikilizia mapigo ya moyo wako? ukiona hayo hujafanya usimlaumu mpaka kucha rangi
 
Back
Top Bottom