Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Wanawake mnao weka miguu pande mbele ya hawa madume mnatekenywa mpaka mnasinzia hii imekaaje kuna mmoja hapa mwenge yaani mabinti wapo wamejaa kwake ndo najiuliza kuna kitu zaidi ya rangi kwenye miguu wanapata hawa wenzetu?
 
hivi wewe unafikiri mwanaume wa kweli kweli atafanya kazi ya kupaka kucha wadada???????

hao kazi yao ni kujiongezea hamu tu,kula wanakula wengine....
 
si wamempa kucha za miguu mkuu?
ni za miguu ila kuna namna anavyoishika miguu ya hawa warembo hapa kwa namna ya tofauti na wenzake coz wamejiachia sana sketi ziko juu ya mapaja mm nashindwa kuendelea kuangalia coz SOSPA inaweza fanya kazi yake
 
ni za miguu ila kuna namna anavyoishika miguu ya hawa warembo hapa kwa namna ya tofauti na wenzake coz wamejiachia sana sketi ziko juu ya mapaja mm nashindwa kuendelea kuangalia coz SOSPA Act inaweza fanya kazi yake

huwa wanajua kupaka rangi sana na kuchora........wanawake wengi hawajui kuchora..........sijui nimekujibu?
 
Na hao wanaume nao wamekosa kazi kusugua miguu ya wanawake na kutia rangi ya kucha wengine mikono yao imekoomaa.
 
wanapata aisee, hasa wale wamama wa nyumbani, waume zao wakiwa wameenda kazini, utakuta mme wake mwnyewe kitambi kutupu kazi jana yake hakuiweza vizuri, maza akijashikwashikwa vidole analegea anamwingiza mpaka kucha ndani wanamaliza kiulainiii, father yuko posta ofisini anatafuta hela ya watoto, akirudi, maza anataka hata kidogo tu, kwasababu faza naye kitambi kinamsumbua, cha kwake ni kimoja tu hoi..hivyo balance inakuwa safiii hapo...nakwambia wanakula ile mbaya, ukizingatia wanawake husisimka zaidi kwa kushikwashikwa,,sio kuona kama sisi wanaume.
 
acha wanaopaka rangi kucha.. mimi nikifanikiwa kuoa mke wangu hatokwenda hata kwa masai kusuka .. labda masai wa kike
 
ni za miguu ila kuna namna anavyoishika miguu ya hawa warembo hapa kwa namna ya tofauti na wenzake coz wamejiachia sana sketi ziko juu ya mapaja mm nashindwa kuendelea kuangalia coz SOSPA Act inaweza fanya kazi yake
hahaha kama una moyo wa plastiki tazama tu. Na kwa hlo sidhani kama unaweza ruhusu mwenzi wako kupata ukarabati wa miguu na kucha, unaweza rusha ngumi. Ila kuna kazi nyingine zinataka moyo!
 
Ila jamani hao wapaka kucha rangi hapo ndio ofisini kwao na wanapata kipato chao,na mtu ukiwa ofisini
unatakiwa kupenda ofisi yako na kuweka manjonjo ili kupata wateja wengi.
 
shida ipo bana hivi hamna wanawake wanajua kupaka rangi mabinti mpaka midume imakalia kigoda
Kwani nyie mnajifanya “NDIO WANAUME HASWA“ tatizo lenu nini haswa?!Kama wanaofanya hiyo kazi na wanaofanyiwa hawalalamika iweje nyie mnaumia sana?!
 
Kwani nyie mnajifanya “NDIO WANAUME HASWA“ tatizo lenu nini haswa?!Kama wanaofanya hiyo kazi na wanaofanyiwa hawalalamika iweje nyie mnaumia sana?!
kupaka rangi kucha wanawake sio kazi ya kiume kabisa mapori yamejaa hii nchi halafu tunashika vidole na mapaja ya akinamama hii ni laana unajua??, waje huku tulime bana waache ujinga kabisa
 
na wanao chora tatoo na piko wanawake??????

unakuta mkeo kakuchorea picko kwenye wowowo...lol
umewahi uliza kachorwa na nani??????

ukichunguza sana mwanamke utaishia uchizi lol
 
Back
Top Bottom