Wanaume kulizwa na TV episodes.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Wadau,nimepata kuskia katika kituo flani cha redio nchini kenya wanaume wakipiga simu na kukiri kuwa walibubujikwa na machozi baada ya kuangalia hatma ya kipindi almaarufu kwa jina IN THE NAME OF LOVE na kiupande wangu nimewaona ma pumba sana waliokiri hayo.Hivi kama dume zima limekaa na wanawe wanaangalia hicho kipindi na linalia ni ishara gani linatoa? Mh! Wadau,sikubahatika kuona hicho kipindi na kama kuna ndume imewahi kukiona atoe hisia zake.nawasilisha nikiwa full huzunishwa na hio tabia.
 
Hapo labda PM wako anaweza kujibu kwa ufasaha zaidi maake ndio zake hizo....
 
kuna moja nalikumbuka lilikuwa linaangalia kuch kuch hotahai linalia hilo,halafu likitembea linajibinua na kulegeza macho,kiujumla mwanaume anatakiwa awe mgumu bwana sio :rain:
 
Mie nilikiona ni kizuri kilikuwa kinarushwa Citizen lakini hakikunitoa machozi ...hao wanaume cjui walilizwa na nini?
 
a! hawa ndo wale huangalia muvie then wanpata woga wakulala et kisa muvie ilikua inatisha.
 
Hee!
, hata mimi sehemu kama inahuzunisha sana chozi linanitoka. Lol.
 
Hahahaaa... Sasa ndio nini dume kulilia kisa kipindi bwanaaaa! Labda asilie mbele yangu, nitamnasa vibao ili alie vizur...!
 
Ivi unajua kwanini wanaume wanakufa kwa mawazo haraka zaidi kuliko wanawake'?
Ukipata jibu SAHIHI then hauna haja ya kuuliza tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom