Wanaume kujikunakuna hadharani!

Natokea wapi? natokea kijiji kinaitwa Katerero,Wilaya ya Bukoba vijijini. Na wewe?
ps: By the way Shishi ulisema uta ni pm kuhusu kuhusu angaza,halafu ikawaje tena? na neno 'midude yao' mbona umelifuta kwenye title ya thread?
Bishanga, kijiji hicho kinasifika sana kwa mengi! Moja likiwa ni walimu kuchapwa viboko na mkuu wa wilaya mwanzoni mwa mwaka huu.
 
Natokea wapi? natokea kijiji kinaitwa Katerero,Wilaya ya Bukoba vijijini. Na wewe?
ps: By the way Shishi ulisema uta ni pm kuhusu kuhusu angaza,halafu ikawaje tena? na neno 'midude yao' mbona umelifuta kwenye title ya thread?

sio mimi nimefuta labda MOds??? hata nilikuwa sijaiona hiyo change!

ahahaha wasnt asking for your village... but thanks nikipitia nitakushtua niko Nbi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom