Wanaume kinachotuhangaisha nini??

Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na ukufika pale Mwanamke anakuomba lift umpeleke Sinza saloon na hauoni kama nigharama wala nini !!Je nini kitusumbua cho??Je Ni umbile Je ni Vyombo??Kama ni Maumbile mbona hatuhangaiki nayo wakati majambozi??Je kama ni vyombo mbona vyote muundo wake niulule hata harufu asilia niileile??Kwa nini tusibaki na tulionao??Najitahidi kupingana na matakwa yangu nimeshindwa nauliza kwenu!!

Ni umbile..na ilianza tangu enzi za Biblia..kumbuka chabo ya kwanza kurekodiwa katika kitabu? Ya mfalme daudi akimpiga chabo mke wa kamanda wa jeshi lake akioga? Hii kitu ipo ilikuepo na itakuepo..hata mwanamama ajifunike buibui kila sehem bado maumbile yataku2ma kumkagua na kumtamani.
 
twende nyuma turudi mbele mwanamke ambae hujamtumia anaraha yake jaman,hata utam ni tofauti na unayemla kila sikuuu
 
Kwanza kamata thanks kwa kuleta mada inayoweza kujadiliwa sio zile eti nimtongozaje rafiki wa dadangu,kuna jamaa alikuwa na rafiki wa kike ambaye alidhamiria kumuoa akapata hela na kwakuwa alikuwa mtu wa kusafiri na alimwamini sisteri akanunua nyumba na kumuandikisha.Aliporudi akakuta bidada ana mwanamme ndani na kuambiwa atoke haraka au ataitiwa polisi hana chake pale,jamaa alilia kama mtoto na kuanza upya kutafuta hela.
Nimeipenda!!
 
Back
Top Bottom