Wanaume kazi tunayo..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,399
Mwanamake anajua fika kabisa kuna family nyumbani mke na watoto..shida yake sasa amekwisha kutamani ulalale naye hata siku moja,sasa atakapoanza kukuonyesha mapozi mwanzoni..akitoka hapo atakawambia naombe twende dinner huku akijifanya rafiki wa karibu na mkeo au akijifanya hamjui kabisa mkeo..inshu pale utakapokuwa unashida na unajua ndiye atakayekusaidia ndipo anakutamkia wazi..tafadhari nipe nafasi katika moyo wako japo hata sehemu ndogo niwe na wewe kwa masaa machache..

Wanaume hebu tuwe imara kwenye vishawishi kama hivi kuweka heshima kwenye ndoa zetu na si kila mwanamke unamvulia nguo..

Ebu tubadilishe ule msemo usemao kuwa mwanaume akimtaka mwanamke ana uwezo wa kukataa lakini si mwanamke akimtaka mwanaume uwezo wa kukataa hana..
 
mmmmmmmmhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!
'Sisi wanaume bana' (source:aspirin n the gang)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom