Wanaume kazi tunayo..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
Mwanamake anajua fika kabisa kuna family nyumbani mke na watoto..shida yake sasa amekwisha kutamani ulalale naye hata siku moja,sasa atakapoanza kukuonyesha mapozi mwanzoni..akitoka hapo atakawambia naombe twende dinner huku akijifanya rafiki wa karibu na mkeo au akijifanya hamjui kabisa mkeo..inshu pale utakapokuwa unashida na unajua ndiye atakayekusaidia ndipo anakutamkia wazi..tafadhari nipe nafasi katika moyo wako japo hata sehemu ndogo niwe na wewe kwa masaa machache..

Wanaume hebu tuwe imara kwenye vishawishi kama hivi kuweka heshima kwenye ndoa zetu na si kila mwanamke unamvulia nguo..

Ebu tubadilishe ule msemo usemao kuwa mwanaume akimtaka mwanamke ana uwezo wa kukataa lakini si mwanamke akimtaka mwanaume uwezo wa kukataa hana..
 
Hii theory nzuri ila tukiifanyia practical sijui kama ita-hold at constant P; T and V
 
Hii theory nzuri ila tukiifanyia practical sijui kama ita-hold at constant P; T and V

aaah nimeshajua kongosho wewe ni mechanical engineer...! hahahahaaa sasa kama hujaelewaaa..! ni theory ipi uneizungumzia...?
japo mimi ndio nipo kapa kabisaaaaaaa...! labdaaa weeewewe nani weeeeeee jamii01 hebu rudi tena jamvini utuweke sawa bana maana hatukuelewi elewi huku umesikia weeewe eeeeeh unasemaaaah.... hebu njooo huku kung*ni weee..!
 
si kila mtu anaweza changanya hizi a, b, c up to z kwa mtindo uloufanya na kupata maana.

Si unakumbuka yale ma permutation and combination, sio wote tuliyaelewa.

Tunaomba kueleweshwa.
hamwelewi nini?
 
Neema sasa hivi nawaheshimu wanawake hasa ambao hajaolewa au wameachika ni balaa..bora ambao wameolewa wanakuwa na wasiwasi kidogo mguu mmoja ndani mwingine nje..
 
Neema sasa hivi nawaheshimu wanawake hasa ambao hajaolewa au wameachika ni balaa..bora ambao wameolewa wanakuwa na wasiwasi kidogo mguu mmoja ndani mwingine nje..

usiogope bwana,wewe mwanaume....ila ndio hivyo inabidi kuchukua precautions ukimwi upo... ni vizuri umewakumbusha wanaume wenzio
 
Nyie nanyi wagumu kuelewa.

Mshkaji anaongelea wanawake ambao wanavutiwa na kutaka kutembea na wanaume ambao wanajua fika wana watoto na familia nyumbani. Gia yao ni kujifanya rafiki mkubwa sana wa mkewe au hamjui kabisa, alafu siku mwanaume akiwa na shida ambayo huyo mwanamke anaweza kumsaidia nayo anamkamatia hapo.
 
kumbe wapo diazini hizo?
wapi huko?
 
hapo ndo hapaeleweki kabisa, is it not sharing is caring anymore?

Mwenge umeacha kupita kila kijiji lini?
Nyie nanyi wagumu kuelewa.

Mshkaji anaongelea wanawake ambao wanavutiwa na kutaka kutembea na wanaume ambao wanajua fika wana watoto na familia nyumbani. Gia yao ni kujifanya rafiki mkubwa sana wa mkewe au hamjui kabisa, alafu siku mwanaume akiwa na shida ambayo huyo mwanamke anaweza kumsaidia nayo anamkamatia hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom