Wanaume Ili awe chombezo la moyo wako pekee ni sifa zipi mnazitaka awe nazo ??

Ha ha ha ha kazi ipo, itabidi uwe unavua miwani maana ukivaa zitakumiss lead, ni hayo tu.

Nikivaa miwani, hiyo red inasomeka zitakumis lidi. Nikiivaa inasomeka zinakulidi vizuri. My mawani bwana. Siwezi kuipoteza
 
Hujatangaza kama FL yupo free ili akina nanilii waanze kuingia uwanjani, si unajuwa wanapiga jalamba....by the way mkuu chrispin wote (she) humu wanaweza wakawa wako kama inawezekana? Maana kaka unatisha
 
Kweli kabisa wanaume ndivyo MLIVYO period, nikifikiria kuolewa I question myself so many questions till I quite the idea. Mama yangu.

Lily, the reason you have so many questions is that you are trying to even question the answer..and I guess it is that you are NOT ready, not least the fact that the institution is not for everyone.....

The only thing you have to fear is fear itself, ceteris paribus
 
Nikivua miwani, hiyo red inasomeka baba. Nikivaa miwani inasomeka darling. Ndio maana huwa naipenda sana miwani yangu.

Nikivaa miwani, hiyo red inasomeka zitakumis lidi. Nikiivaa inasomeka zinakulidi vizuri. My mawani bwana. Siwezi kuipoteza

Hujatangaza kama FL yupo free ili akina nanilii waanze kuingia uwanjani, si unajuwa wanapiga jalamba....by the way mkuu chrispin wote (she) humu wanaweza wakawa wako kama inawezekana? Maana kaka unatisha

I told you, mi tabibu wako. Si umeona umecheka. Tangu uamke hukupata bahati hiyo. Na huo ni mwanzo tu.

LOL..Talk of CR9.......
 
Lily, the reason you have so many questions is that you are trying to even question the answer..and I guess it is that you are NOT ready, not least the fact that the institution is not for everyone.....

The only thing you have to fear is fear itself, ceteris paribus
Its true Kaizer, FEAR ya kujeruhiwa, only that, surroundings say alot kwenye kila ndoa 10, 9 ziko juu ya mawe, hiyo static inatisha.
 
Umefanya research darling au umeamua tu kuimwaga hiyo data ili kuonesha uadui wako na maisha ya ndoa?
 
Hahaha! Mkuu inaelekea ulikuwa mkali sana wa kufanya homework enzi za primary school.

Mkuu ndo maana nachukia homeworks hadi leo....mi nimesoma primary zile za kina Kayumba, hakuna homework! Nimekuja kuzifahamia ukubwani...ndo maana hadi sasa napendaga kumaliza kazi papo kwa papo kiongozi....hakuna kusubiri...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom