Wanaume huwa mnajisiakiaje unapomwona mkeo analia?

Mimi mama Ngina mpaka afikie kulia basi ujue hapo pamechimbika mbayaaaaa...................... Maana yeye anayo teamwork yake, Ngina Ngano na Ngadu wakiungana hao, siku hiyo Maji nitayaita MMA.......................LOL

hahahaaa thats sounds funny uh
 
Mimi mama Ngina mpaka afikie kulia basi ujue hapo pamechimbika mbayaaaaa...................... Maana yeye anayo teamwork yake, Ngina Ngano na Ngadu wakiungana hao, siku hiyo Maji nitayaita MMA.......................LOL
teh! teh! teh! teh!
 
huwa namchunia naenda piga kinywaji halafu baadaye roho inanisuta naenda omba msamaha
 
Dah! Hapo akilia huwa ananiboa sana natamani kama ni usiku nitoke niende nikazunguke nirudi nimkute ameshalala. Kwa nini mimi silii sasa wakati tunabishana wote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom