wanaume! hivi ukimkuta mwanamke ana jinsia mbili utadil nae au utakimbia?

hakuna kiumbe mwenye jinsia mbili kama unavyosema na zote zinafanya kazi....huu ni uvumi tu wa wanaotaka kuhalalisha ushoga.
Ndugu yangu mungu ndiye muumba amini usiamini sio uvumi yupo kabisa na nilimshuhudia kwa macho yangu
 
Mbona Kongosho anazo mbili lakini bado kuna wakware humu wanamsanrandia?
Ingawa akishakuwa nazo mbili utawezaje kumdefine kama ni me- au Ke-?
 
Last edited by a moderator:
umesema kuwa

halafu

ukamilizia kwamba

swali langu ni, ilikuwaje mpaka mkavuliana nguo wakati wote ni wanawake?
nilisikia tetesi kwamba rafiki yangu ana jinsia mbili, sikuamini! nikamuhuliza akakataa nilipombembeleza aniambie ili nijue jinsi gani ya kumsaidia ndipo akakubali kunionyesha na ni kweli ana jinsia mbili
usiombe kuona unaweza ukazimia kwa mshangao
 
ok. Mwambie aende hospitali na atoe nyeti asiyoipenda, mpe moyo wakati wa hiki kipindi kigumu.
 
nilisikia tetesi kwamba rafiki yangu ana jinsia mbili, sikuamini! nikamuhuliza akakataa nilipombembeleza aniambie ili nijue jinsi gani ya kumsaidia ndipo akakubali kunionyesha na ni kweli ana jinsia mbili
usiombe kuona unaweza ukazimia kwa mshangao

Mlete kwangu huyo ni deal nae papendikula by sekta!
 
Back
Top Bottom