Wanaume: hii ni tabia mbaya, na ni uchafu!

Homu boi jamaa wanataka ligi tu za mchangani.....wanajua exactly unataka kusema nini hapa........!
 
hahahahah!
jamani mbona mmekuwa wagumu kuelewa....!
mimi ni daktari wa binadamu na ni bingwa wa magonjwa ya watoto
Dr gani huyu anayeleta maada za ki-layman kiasi hiki? Halafu na kuugua mtoto zina uhusiano gani? Badala ya kuwashauri waache infidelity unatafuta angle ya kujustify uchafu huu!
 
simpo....nunua sabuni (specially mbuni).....ingia gesti....infidelise....jiswafi....rudi home.....anza tena mwanzo kesho yake


usisubutu enzi zangu nilkutwa na revola kama ulizikuta kipindi hicho nikaulizwa mbona unasabuni nikasema nimekununulia sikukumbuka nilikuwa naitumia akafungua akakuta box kubwa sabuni inakaribia kuisha...mwenye akili akaelewa nikamwambia wamenibambikia bahati lile box nilikuwa na limeintein likawa jipya sasa sijui aliamini ama lah nashukuru bado niko nae
 
jibu la kitamaduni linasema utampa madhara mtoto wako mchanga ................kwa hiyo hapo Do at your own risk :smile:


mi sijawahi sasa na hii sio mara ya kwanza


teamo aje atupe hakikisho lisilo na chembe ya mashaka hapa!
 
mi sijawahi sasa na hii sio mara ya kwanza


teamo aje atupe hakikisho lisilo na chembe ya mashaka hapa!

teamo kaboogie kwenye hili .......................ushahidi ni wa kimaduni na chembe za mashaka zimejitokeza baada ya watamaduni wengine kutilia shaka :hippie:
 
teamo kaboogie kwenye hili .......................ushahidi ni wa kimaduni na chembe za mashaka zimejitokeza baada ya watamaduni wengine kutilia shaka :hippie:


mwenyewe kadai anakimbia isije kuwa ya SIMBA na YANGA...sasa sijui akimaanisha nini hapo au ndio kiutamaduni tena?
 
Kaka/Dada Teamo
msg yako haijafika, lete habari kamili kwa mujibu wa story za mitaani, nadhAni hii ikiisha utakuja na ya KUBEMENDA MTOTO?
 
samahani kidogo kwa kutumia lugha kali............
lakini naomba tuelezane ''ukweli''.hoja ya kwamba infidelity is there to stay NAIKUBALI SANA......

lakini kuna hili swala la mwanaume kutoka ''guest-house'':
1-bila kuoga
2-unarudi nyumbani fasta halafu unalazimisha au unapewa mtoto mchanga um-bebe!

wakuu,
hii kitu naomba tuiavoid sana maanake WATOTO WANAIMMUNITIES AMBAZO ZIPO CHINI SANA!ile harufu tu ya mashuka ya gest,harufu ya ile habari,na harufu ya ile nyingine ile vyote ni TATIZO KUBWA SANA KWA WATOTO WETU WACHANGA!

Are you talking from experience?
 
noted!
umenifurahisha sana lakini umeongea UKWELI

sasa basi:
1-swala la watu kuzini/kutozini tumwachie askofu
2-mimi concern yangu ni yule mtoto mdogo ambae unakuja unamnukia na miharufu ya ajabu ajabu!kuna hili swala limekuja hapa hospitalini kwangu MICO-DISPENSARY kwamba jamaa kila akirudi jioni akimbeba mtoto analia sana,na anapata homa za usiku,na anaharisha smtmz.baadae ilinibidi kukaa na mzaqzi mmoja mmoja na kuwahoji...!nilikuja kugundua kitu cha ajabu sana kwa mwanaume........

Has this thing been scientifically researched and biologically proven? Is it real that hiyo harufu tunayozungumzia na hiyo miuchafu ya mikono inaweza kweli kuleta homa kwa mtoto? Mimi ni zero kwenye mambo ya utabibu lakini i have a lot of doubts kuhusu hii. I am not condoning fornication, lakini nina shaka sana na ukweli kuhusu hii.
 
Teamo!

Siku hizi una mambo!! Naona si muda murefu tutapata mtaalamu wa ushauri nasaha. Labda tusikilize wazoefu nao watuleze!

Ila kwa upande wangu baada kujipatia msosi (equivalent to >7km distance) siwezi kudisturb usingizi wangu kwa kwenda bafuni hata ulete FFU! Hata hivyo watoto wapo na wanadunda. Na wala hawajawahi kupata infections za hovyo. Ninavyojua, kama ilibidi kuandaa maziwa ya mtoto usiku basi mwandaaji (mimi au wife) aliosha mikono vizuri. Ila kama mama ananyonyesha hakuna hata muda wa kuosha mikono.

Hata hivyo wale wanaokwenda kusomba mizoga huko nje basi wajitahidi kunawa vizuri (siyo lazima kuoga kabisa, passport size inatosha) ili wasilete uchafu na harufu home. Ila mambo ya baba na mama huwa hayana harufu, kwa sababu yamebarikiwa na God!

........Dark City umenichekesha sana hapo kwenye nyekundu.........inaelekea ukimaliza libeneke tu ni hoi na kukoroma juu yake :roll:Eti hata wakuletee FFU na mtutu wake wewe kuoga ni NO.
 
ile aspirin ipo au iko out of stock ? ishauzwa yote
Nipo mwanachama mwenzangu wa tiba.....angalia hapa



The Following 2 Users Say Thank You to klorokwini For This Useful Post:

Asprin (Today), Teamo (Yesterday)


Halafu kuna Kwinini namuona humu ndani, anataka kukutoa sokoni?
 
Nilikwisha sema mtumie self contained rooms kufunya ufuska wenu. Nafikiri ili ni tatizo la baadhi ya wanaume na sio wote - kwani mimi siko kwenye kundi hili! Mama mwenye mtoto ukigundua suala hili mweleze mumeo au make sure anaoga kwanza! Afya ya mtoto mchanga haiathiriwi na li-baba la type hii tu, hata watu wengine - usimpe mtoto wako mchanga mtu yeyote bila baby show au mwambie akanawe mikono yake kwanza (wanaokuja kulea mtoto unawapa taarifa hii kabisa au unaweka maji ya kunawa sebuleni kama vile chakula tayari - ila jiandae kwa maneno mbovu mbovu!).
 
samahani kidogo kwa kutumia lugha kali............
lakini naomba tuelezane ''ukweli''.hoja ya kwamba infidelity is there to stay NAIKUBALI SANA......

lakini kuna hili swala la mwanaume kutoka ''guest-house'':
1-bila kuoga
2-unarudi nyumbani fasta halafu unalazimisha au unapewa mtoto mchanga um-bebe!

wakuu,
hii kitu naomba tuiavoid sana maanake WATOTO WANAIMMUNITIES AMBAZO ZIPO CHINI SANA!ile harufu tu ya mashuka ya gest,harufu ya ile habari,na harufu ya ile nyingine ile vyote ni TATIZO KUBWA SANA KWA WATOTO WETU WACHANGA!

Kutoka guest house, kwa nyumba ndogo, wherever bila kuoga ni kukosa nidhamu. Unless mazingira (mfano guest ya uchochoroni ambako mabafu yako mbali, probably na maji ya kupima, au umefanyia mazingira ambayo hayakuruhusu kuoga mf kwenye gari). Kwenda kwa wife na wanao ukiwa na janaba mimi siikubali kabisa, hata kama haina madhara kiafya!
 
Back
Top Bottom