Wanaume: hii ni tabia mbaya, na ni uchafu!

The Following User Says Thank You to Teamo For This Useful Post:

klorokwini (Today)

jamaa yuko serious utazani watu wamechoma moto katiba ya nchi!
The Following User Says Thank You to klorokwini For This Useful Post:

Teamo (Today)

yaani huyu hafuatilii kabisa yaliyomkuta mwakalinga
 
Teamo kubali kama hoja yako leo ina holes za kumwaga ......................but i will give u a break since umekubali kama huwezi kuprove kisayansi :smile:
 
I HAVE THE FINDINGS,i have the supporting docs also.i can not prove myself right just to please GAIJIN au NONAME.unajua kwanini?

1)i am married to a WOMAN
2)i respect a WOMAN becoz my mom is a WOMAN

mimi nimepost kitu kama changamoto tu!lakini going into detail of it itakuwa kama kum-humiliate mwanamke!...kitu ambacho siko tayari kufanya
 
hehehe kesi ikiwa ngumu nitabeba hili faili, hapa mitaani wananiita Mr Archmede's mzaliwa wa Principles. ni mwansayansi pekee wa afrika mashariki na kati ambae naweza kujua DNA ya mtu bila kutumia kifaa chochote.
 
Watakamatwa wengi majumbani maana mtoto ujamuona kutwa unapewa na mama watoto unjifanya bize lazima ujikaange mwenyewe maana hapo sijui ngoja tusikie!!
 
I HAVE THE FINDINGS,i have the supporting docs also.i can not prove myself right just to please GAIJIN au NONAME.unajua kwanini?

1)i am married to a WOMAN
2)i respect a WOMAN becoz my mom is a WOMAN

mimi nimepost kitu kama changamoto tu!lakini going into detail of it itakuwa kama kum-humiliate mwanamke!...kitu ambacho siko tayari kufanya
ouch dude i thought u will consider my feelings...u r so mean and rude Teamo....
 
Cha muhimu ukisha mega kuoga muhimu jamani.
Maana kuna mashine zingine zinashombo balaa.
ai unaona mkuu!
mi kwenye tukutuku langu nimeichimbia sabuni ya protex samuwea!
 
siwezi kuwa nimemaliza staarehe na baba watoto ..........mtoto akalia tusimbebe kwa kuwa hatujaoga! hiyo scientifically not proven kuwa ina madhara.

kusema mtu ujitahidi usiwe na vumbi au bacteria na virus kabla ya kumbebe mtoto nakubali sana, ila kwenda speciafically kwenye tendo la ndoa, ambalo ni tendo safi, nakataa

G inaelekea hujamwelewa Teamo, anasema ukitoka guest kulala na kimada
 
I HAVE THE FINDINGS,i have the supporting docs also.i can not prove myself right just to please GAIJIN au NONAME.unajua kwanini?

1)i am married to a WOMAN
2)i respect a WOMAN becoz my mom is a WOMAN

mimi nimepost kitu kama changamoto tu!lakini going into detail of it itakuwa kama kum-humiliate mwanamke!...kitu ambacho siko tayari kufanya

umemheshimu mwanamke au mtoto?

kukubali kuwa infidelity iendelee lakini watu waoge tu kuondoa madhara kwa mtoto umemstahi mwanamke hapo kweli?

by the way........if we go to the higher powers katika mjadala na kuwajumuisha mama na wake zetu, tunaweza kufika kwa mungu, na suala likawa Mungu jee humuheshimu? alokuumba? alokupa power ya kufikia hapo ulipo and then unahalalisha kile yeye alichokataza?

sikutaka kufika huko ndio nikaomba ushahidi wa kisayansi tu ................... na kwa nini iwe ngumu kukubali kuwa hoja ina holes? i wonder!
 
ai unaona mkuu!
mi kwenye tukutuku langu nimeichimbia sabuni ya protex samuwea!

Hahahahaha ukitumia protex huwezi shtukiwa lakini ukitumia zile sabuni ndogo zile lazima ukunjwe umetokanje.
 
G inaelekea hujamwelewa Teamo, anasema ukitoka guest kulala na kimada

harufu ya sex kama ina madhara ukilala na kimada basi scientificaly speaking lazima harufu ya sex uliyofanya na mkeo pia ina madhara pia

mimi suala langu lilikuwa dogo tu, ...........hii harufu kwanini ya kulala na kimada tu iwe na madhara?

ningejibiwa INAMADHARA hiyo ya mke wa ndoa pia (kama huo ndio ukweli wenyewe) ..............ningeridhika

lakini hizi theories zinazo apply upande mmoja tu ndio nimeshindwa kuelewa :nono:
 
sawa sawa!
gaijin point yake ni kumpa a ''SCIENFIFIC DERIVATION'' kwa sababu yeye anaamini kwamba manamke ni MWANAMKE katika sense ya kwamba nikilala na eliza ni sawasawa nikilalana suzana.kitu ambacho SIO KWELI!

gaijin anataka kuukatalia UMA kwamba kila mwanamke ana ''SCENT YAKE'' ina each and every type of fluid mwilini

gaijin anataka kuukatalia UMA kwamba mtoto hajajenga immunities za kuizoea/kuikabili scent ya mama yake mzazi/hata baba yake mzazi

anyways....

niliahidi kutoliongelea hili kwa sasa
 
umemheshimu mwanamke au mtoto?

kukubali kuwa infidelity iendelee lakini watu waoge tu kuondoa madhara kwa mtoto umemstahi mwanamke hapo kweli?

by the way........if we go to the higher powers katika mjadala na kuwajumuisha mama na wake zetu, tunaweza kufika kwa mungu, na suala likawa Mungu jee humuheshimu? alokuumba? alokupa power ya kufikia hapo ulipo and then unahalalisha kile yeye alichokataza?

sikutaka kufika huko ndio nikaomba ushahidi wa kisayansi tu ................... na kwa nini iwe ngumu kukubali kuwa hoja ina holes? i wonder!
huu mjadala nimeufuatilia kwa undani sana , wewe mdada (i hope siko wrong) umeniimpress sana ! , kukitokezea nafasi za kazi hapa ofisini nitakuPM.
 
hii topiki imenivutia nitachangia kesho usubuhi na mapema ngoja niwahi sehemu sehemu
 
harufu ya sex kama ina madhara ukilala na kimada basi scientificaly speaking lazima harufu ya sex uliyofanya na mkeo pia ina madhara pia

mimi suala langu lilikuwa dogo tu, ...........hii harufu kwanini ya kulala na kimada tu iwe na madhara?

ningejibiwa INAMADHARA hiyo ya mke wa ndoa pia (kama huo ndio ukweli wenyewe) ..............ningeridhika

lakini hizi theories zinazo apply upande mmoja tu ndio nimeshindwa kuelewa :nono:

sawa sawa!
gaijin point yake ni kumpa a ''SCIENFIFIC DERIVATION'' kwa sababu yeye anaamini kwamba manamke ni MWANAMKE katika sense ya kwamba nikilala na eliza ni sawasawa nikilalana suzana.kitu ambacho SIO KWELI!

gaijin anataka kuukatalia UMA kwamba kila mwanamke ana ''SCENT YAKE'' ina each and every type of fluid mwilini

gaijin anataka kuukatalia UMA kwamba mtoto hajajenga immunities za kuizoea/kuikabili scent ya mama yake mzazi/hata baba yake mzazi

anyways....

niliahidi kutoliongelea hili kwa sasa
heheh huu mjadala kama ningelikuwa namiliki kituo cha TV aka luninga , ningehakikisha unarushwa live . tuendeleeni jamani.
 
mimi suala langu lilikuwa dogo tu, ...........hii harufu kwanini ya kulala na kimada tu iwe na madhara?
1-harufu za binadamu zinatofautiana(scent),which means hata glands na fluid zinaenda zikitofautiana
2-automatically harufu za wanawake zinatofautiana,hata glands zao na UTE UTE ZAO PIA
3-mama anaweza kuizoea scent ya mama yake(infact anaizoea the very day anazaliwa)
4-kimada hata kaa awe MAMA WA MTOTO MCHANGA....unabisha?
 
nikiwa kama mwanasayansi wa kujitolea , naomba nithibitishe nambari 1 na nambari 2. tumsubiri gaijin ajibu mashtaka
 
Back
Top Bottom