Wanaume hii maana yake nini?!

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,222
36,239
Habari zenu,
Naombeni mnisaidie hii kitu siielewi vizuri. Hivi mtu mwenye jinsia ya kiume anapofanya mambo ya kike huwa mnamuitaje?
Je kutambua mtu mwenye jinsia ya kiume anafanya mambo ya kike na kuitwa jina maalum (....) ni hadi afanye mambo mingapi ya kike?
Je akifanya jambo moja tuu la kike kwa mara ya kwanza je huyu mtu utasema anatabia za kike au anajifunza (u....)?
Mfano mkaka anapofanyiwa manicure na pedicure baa na wale vijana wanaotembea na vikapu vya kupaka rangi kisha anakatwa kucha na kupakwa rangi ya colourless..... hapo mnasemaje? Imekaa sawa hii?
Je huo sio mwanzo wa kesho kwenda saluni kutinda nyusi na kuanza kupaka lips shine?
Hivi huo ni usharobaro au ndo style za mjini? Nisaidieni wanaume hizi tabia za wanaume kwa wavulana kufanya tabia za urembo wa kike ni sawa?
Au ndo atari za umagharibi? Kweli jamani.... mmmh mie naona haijawa sawa ila naombeni maelezo yenu.
Mlale unono na wote.

Kasie.
 
Doooh inasikitisha sana. Hivi wanaume wanaowahudumia wanaume wenzao kimapenzi walishawahi kuwaza kuwa iko siku watoto wao wa kiume nao watafanyiwa hivo au wadogo zao wa kiume nao watafanyiwa huo umajinuni?
Inasikitisha sana, kaka mwenye staha zake ila
daah..... matendo yake ......
Dunia iko uchi Mkuu, sa hivi watu wanatafuna ass za Wenzao. Kuna dogo m1 hapa arusha anajifanyaga dalali wa magari, Mara yuko mererani kwny madini kumbe chenga tupu waarabu wanamtafuna mpk wamempangishia nyumba Njiro. Mpk wamtoe puru ndo ataelewa
 
Japo sikubaliani na swala la mtoto wa kiume kujiremba lakini sio wote wanaojipodoa wanachapwa nao au wanaelekea huko..Wengine ni marijali wazuri tu lakini wanajipodoa
Wanajipodoa ndipo wanahamasisha mende kuanza kuwafuata fuata
 
Doooh inasikitisha sana. Hivi wanaume wanaowahudumia wanaume wenzao kimapenzi walishawahi kuwaza kuwa iko siku watoto wao wa kiume nao watafanyiwa hivo au wadogo zao wa kiume nao watafanyiwa huo umajinuni?
Inasikitisha sana, kaka mwenye staha zake ila
daah..... matendo yake ......
Hivi kwa Nini mwanaume umfire mwanaume mwenzio wakati wanawake wapo kwaajili yetu?
 
Mkuu kwa kiasi kikubwa ushoga ni hisia..Na mara nyingi wengi wanakuwa nazo..Wachache ndo zinaanzia ukubwani..Mtu kama hana hisia hizo ni ngumu sana kugongwa haijalishi anajipodoa au Lah..
Ushoga wanajifunza Mkuu, masuala ya kwamba ni hisia siamini Mkuu. Unataka kuniambia watoto wadogo wa kiume wanaolala shule za boarding na kuanza kugongwa na vijana wakubwa wakiume wakiwa huko shuleni, Hao watoto wadogo wanakua na hisia za kishoga mpk kugongwa na wenzao? Mfano mzuri vijana wengi wa kiume walioenda kusoma Uganda shule za boarding wakiwa wadogo miaka Ile sa hivi hapa town ndo wanakimbiza kwa Ushoga Mkuu.
 
Habari zenu,
Naombeni mnisaidie hii kitu siielewi vizuri. Hivi mtu mwenye jinsia ya kiume anapofanya mambo ya kike huwa mnamuitaje?
Je kutambua mtu mwenye jinsia ya kiume anafanya mambo ya kike na kuitwa jina maalum (....) ni hadi afanye mambo mingapi ya kike?
Je akifanya jambo moja tuu la kike kwa mara ya kwanza je huyu mtu utasema anatabia za kike au anajifunza (u....)?
Mfano mkaka anapofanyiwa manicure na pedicure baa na wale vijana wanaotembea na vikapu vya kupaka rangi kisha anakatwa kucha na kupakwa rangi ya colourless..... hapo mnasemaje? Imekaa sawa hii?
Je huo sio mwanzo wa kesho kwenda saluni kutinda nyusi na kuanza kupaka lips shine?
Hivi huo ni usharobaro au ndo style za mjini? Nisaidieni wanaume hizi tabia za wanaume kwa wavulana kufanya tabia za urembo wa kike ni sawa?
Au ndo atari za umagharibi? Kweli jamani.... mmmh mie naona haijawa sawa ila naombeni maelezo yenu.
Mlale unono na wote.

Kasie.

Hapa kuna hila. Hawa vijana wanaopaka rangi wanawake wengi wao huwa wana dawa za kienyeji za kuchapa kina mama kwa kuwarubuni. So kama mkaka anashabikia kunyanyuliwa miguu na kupapaswa papaswa kwa kweli yabidi kumchunguza huenda akawa na fani fulani ya kushika na kunusa kuta za watu huku akipuliziwa feni kisogoni. Je, boyfriend wako yuko hivi?
 
Habari zenu,
Naombeni mnisaidie hii kitu siielewi vizuri. Hivi mtu mwenye jinsia ya kiume anapofanya mambo ya kike huwa mnamuitaje?
Je kutambua mtu mwenye jinsia ya kiume anafanya mambo ya kike na kuitwa jina maalum (....) ni hadi afanye mambo mingapi ya kike?
Je akifanya jambo moja tuu la kike kwa mara ya kwanza je huyu mtu utasema anatabia za kike au anajifunza (u....)?
Mfano mkaka anapofanyiwa manicure na pedicure baa na wale vijana wanaotembea na vikapu vya kupaka rangi kisha anakatwa kucha na kupakwa rangi ya colourless..... hapo mnasemaje? Imekaa sawa hii?
Je huo sio mwanzo wa kesho kwenda saluni kutinda nyusi na kuanza kupaka lips shine?
Hivi huo ni usharobaro au ndo style za mjini? Nisaidieni wanaume hizi tabia za wanaume kwa wavulana kufanya tabia za urembo wa kike ni sawa?
Au ndo atari za umagharibi? Kweli jamani.... mmmh mie naona haijawa sawa ila naombeni maelezo yenu.
Mlale unono na wote.

Kasie.
Huo ujinga unapatikana kwa wingi mjini Daresalama! Huku mikoani usijaribu!
 
Siku nilipoona mwanaume anasuguliwa gaga na kucha nilichoka mwili wote. Nikauliza, nikajibiwa "acha ushamba", nikanyamaza kimya!
Watu walianza na facial scrubbing ikawa kitu cha kawaida, kwa sasa scrubbing ni kawaida sana, katu sifanyi hiyo makitu, nibaki tu na machunusi yangu!!!
 
Na sasa imekuwa kama fashion tu wala hawaogopi kabisa eti na yeye anapanga foleni saloon ya kike anasubiri zamu yake ya kusugulia miguu kukatwa kucha na kufanyiwa usoni scrub akimaliza anaingia kwenye massage...Eeeh pata pesa tutakujua tabia yako tu..
 
Habari zenu,
Naombeni mnisaidie hii kitu siielewi vizuri. Hivi mtu mwenye jinsia ya kiume anapofanya mambo ya kike huwa mnamuitaje?
Je kutambua mtu mwenye jinsia ya kiume anafanya mambo ya kike na kuitwa jina maalum (....) ni hadi afanye mambo mingapi ya kike?
Je akifanya jambo moja tuu la kike kwa mara ya kwanza je huyu mtu utasema anatabia za kike au anajifunza (u....)?
Mfano mkaka anapofanyiwa manicure na pedicure baa na wale vijana wanaotembea na vikapu vya kupaka rangi kisha anakatwa kucha na kupakwa rangi ya colourless..... hapo mnasemaje? Imekaa sawa hii?
Je huo sio mwanzo wa kesho kwenda saluni kutinda nyusi na kuanza kupaka lips shine?
Hivi huo ni usharobaro au ndo style za mjini? Nisaidieni wanaume hizi tabia za wanaume kwa wavulana kufanya tabia za urembo wa kike ni sawa?
Au ndo atari za umagharibi? Kweli jamani.... mmmh mie naona haijawa sawa ila naombeni maelezo yenu.
Mlale unono na wote.

Kasie.
Mwanaume wa Dar
 
Kufanyiwa pedicure na Manicure nadhan ni utanashati tu havina uhusiano na ushoga...kuna weñgine hadi wanasuguliwa nyuso zao.Ni kujiweka sawa tu na smart. Japokuwa kwa mkaka aliyeoa ni vizuri akapatiwa huduma hii na Mkewe.
 
Haya mambo yana wenyewe. Mi sishangai mtu nikimkuta anafanyiwa manicure na pedicure let alone massage ! Ndio urembo na utanashati wenyewe ati ! Sasa kama wewe umeona kuwa mwanaume kamili ni lazima uwe na magaga miguuni au chunusi kama Fid Q wa kipindi kile sawa ! But kwa watu wanaojipenda hayo mambo ni kawaida tu..
Mi sijawahi kufanya kwa vile tu pesa yangu ina matumizi mengi so siwezi kuafford some luxuries but kama mpunga unaruhusu nafanya tu ! By the way huo ndio utofauti wenyewe na hata wanawake wana wanayoyapenda kutoka kwa wanaume;
1. Kuna wanaopenda wanaume wanaonuka kikwapa na jasho kali kama beberu !
2. Kuna wanaopenda wanaume wenye sura ngumu na viganya vyenye sugu kama jiwe
3. Na pia kuna wale wanaopenda wanaume wenye standard ya akina ommy dimpoz !

All in all that's diversity bana ! So chill up kidogo bana sio unakuwa kama mtu wa mwaka 1947 !

Ubavu !
 
Tumechoka jamani, kila siku mwanaume kafanya hivi, mwanaume yuko hivi. Nyie wanawake mwatutaka nini sieeeee? sasa natangaza rasmi kuhama dar. period
 
Manicure,pedicure ni facial kwaupande wangu mwanamme akifanya its normal,sema kila mtu na mila za kwao
niko na mkaka wa ki Lebanese tunafanya nae kazi unaweza ukasema ni Shoga,yeye mpaka nyusi anatoa na
uzi, full body waxing lakini ni mkaka anajipenda tuu na hata nilipo kwenda Lebanon Saloon iko wazi saa 12 asubuhi
nilibaki naduawaa,na kule kila mmoja mzuri wanashindana wake kwa waume, lakini utamaduni wa kwetu ukijipenda sana
utaitwa mtoto si rizki au mtu mzima kageuka mumunya ana haribikia ukubwani...
 
Back
Top Bottom