Wanaume: Dawa ya kumshika mpenzi

Wanawake wengine hawaridhiki..Hata ujitume vipi..Still ataona juhudi zako hazitoshi...Viumbe wengine wazito sana..Hawabebeki
 
Mwanamke ukimpa dudu atataka hela ukimpa hela atataka dudu utampa hela atataka handsome guy akipata handsome guy atataka dudu kubwa akipata dudu kubwa atataka goli 5 mbaya zaidi anataka vyote hivyo kwa just one guy!! Jamani mademu tupumzishane hakuna huyo guy! We mpe hela weeeee uone kama hunagongewa na muuza urembo
 
unaweza kumtimizia mahitaji yake yote ukamfumania na mtu hata mlo mmoja hajiwezi.........na unaweza kuwa na vyote bado akatamani kwingine maisha ya mwanadamu yana kizunguzungu
Hayo tutayajadili kwenye sredi nyingine.....
 
Unajua kuna mambo mengine hayahitaji uchawi wala elimu ya juu kuyafahamu

Pesa mwanaharamu ati
1455026110616.jpg
 
Back
Top Bottom