Wanaume bwana..

no no...thats not normal..infact iliwahi kunitokea kitu kama hicho ila nilimpotezea mshkaji..maana ilikuwa too much.
 
Huyo mwanaume anayesema maneno hayo inawezekana siyo mzima kimwili na kiakili!
 
HII tabia inakeraa sanaa...kuna mjinga mjinga mmoja tunafanya nae anatabia hizo za kipumbafu, MARAAA HULLO sweety.dear...miss u, maraa love u.kunaa siku alimpigiaa jamaa mwingine usiku akiwa na wife....yani bilaa hata kujua nani kapo kea akaanza hullo sweety mambozzz...miss u dear,dar wife kuonaa number niyaa shemeji...sindo kukata cm na kumuuliza jamaaa,vipi mbonaa mnaitana majinaa ya ajabu na flaniii....au????????dah!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom