Wanaume bwana..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,970
1,396
Inakuwaje mwanaume mwenzio anakupigia simu anakwambia mambo vipi mpenzi?au shost au mtu wangu,au utasikia anakwmbia nimekumiss.....bila kujarisha huko katika mazingira gani hata usiku au huko na mama watoto?baada ya hapo utasikia see you later and take care..
 
:A S 20::A S 20::laugh::laugh::roll::roll::coffee::coffee:

Udhungu mwingi au ana jua anakotaka kwenda na wewe,he might be playing with your feelings......inakera in short.:twitch:
 
Wanaume siku hizi wanaiga mambo yetu.
Kuna siku nilimuona mwanaume amevaa skin jeans, lol!
Nilichoka.
 
wanaume siku hizi wanaiga mambo yetu.
Kuna siku nilimuona mwanaume amevaa skin jeans, lol!
Nilichoka.

we unachoka na skin jeans..
Huwaoni wanaopaka poda na hereni masikio yote mawili?
Na kujichubua juu?
Tazama kina kanumba ray na wasanii wengine....
 
we unachoka na skin jeans..
Huwaoni wanaopaka poda na hereni masikio yote mawili?
Na kujichubua juu?
Tazama kina kanumba ray na wasanii wengine....

hivi unazijua hizi skin jeans tunazovaaga wadada?
Hayo mapoda cha mtoto.
Kha!
 
Inakuwaje mwanaume mwenzio anakupigia simu anakwambia mambo vipi mpenzi?au shost au mtu wangu,au utasikia anakwmbia nimekumiss.....bila kujarisha huko katika mazingira gani hata usiku au huko na mama watoto?baada ya hapo utasikia see you later and take care..
Haiwezekani mtu akaanza tu kukwambia I miss you bila kuzoeana au kuwa na namna fulani ya kuwasiliana naye...sema kina dada wengi mnapenda kuoperate according to weather....ukiwa na mimi unakuwa free kabisa....ukinimabia leo umechoka unalala nikakukuta na jamaa sehemu nyingine unakuwa mtu tofauti. What is the problem? Kama unaliona hilo ni tatizo usitaniane kabisa na wanaume maana wengine tunaoperate free ili mradi hatuvunji sheria
 
mimi kuna m.me mmoja{jinsia yangu ni ya kike}namuheshimu mno,hunitumia msg na huandika honey mambo,au mpenzi au sweetie.naona kama kinyume ila heshima yangu kwake,kumuuliza huwa nashindwa hujaribu kumjibu ki mkato,sasa sijui ndio mambo ya sasa ila mimi sielewi?
 
Labda sijaelewa, ina maana anayeambiwa maneno hayo naye ni mwanaume?
 
Back
Top Bottom