Wanaume ambao hawajaoa ni WACHAFU

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Nimekuwa nikiongea na marafiki zangu na wengi (mademu) wamekuwa na maoni kuwa wanaume ambao hawajaoa ni wachafu ukicompare na waliooa kwa kurefer observations zifuatazo;

i) Wanaume wengi ambao hawajaoa huoga mara moja tu kwa siku (wengine hata siku mbili au zaidi), hali inayopelekea kunuka majasho, na katika kufunika hili hujipulizia perfume kali. sasa timbwili linakuwa anapoingia kwenye majambo, dk chache tu majasho mapya+ya zamani+perfume unakuta ananuka uvundo...

ii) Wanaume wengi ambao hawajaoa hufua kufuli zao mara 1 kwa saa 24 (au zaidi), na ukiwafuma kwa gafla (kama hamkupanga) unakuta wana kamchirizi keusikeusi sehemu ya chicni ya kufuli kwa ndani. Kufunika hili wengi hupenda kuvaa boxer za rangi isiyoonyesha, hawavai nyeupe
icon12.png

iii) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanafuga mav***

iv) Wanaume wengi ambao hawajaoa kwa kuwa mara nyingi wanakuwa na ukame, ni rahisi kula hata mademu wa chini ya viwango vyao (hata makahaba), hii inasababisha unaweza kukutana nae gafla ukakuta katoka kunyonywa.

v) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanavaa nguo ambazo hazifuliwi mara kwa mara, zinakuwa na kaharufu....

vi) Wanaume wengi ambao hawajaoa soksi zao zinanuka...

vii) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanakuwa na fangasi kwenye korodani (sijui kwa nini!)

viii) Ukiingia gafla kwenye chumba cha mwanaume ambaye hajaoa, mara nyingi kinakuwa kichafu balaaaaaaa....

ix) Wanaume wengi ambao hawajaoa hupiga mswaki mara 1 tu kwa siku (asubuhi) hivyo mara nyingi wanakuwa na vinywa vichafu..

Wanaume mliofikia umri wa kuoa, oeni bwana muwe wasafi...

NB; Sio wanaume wote ambao hawajaoa ni wachafu...
 
Utafiti ulioleta ugunduzi huu ulifanywa wapi?
Kufuga mav*** ni ridhaa ya mtu kama kuweka Afro, rasta, kunyoa punky , denge etc
 
unashangaa nini sana, mtu mwenyewe hajaoa....nani atamfulia hivyo vitu? nani atampelekea maji asubuhi na jioni? hata mimi miaka yangu ya zamani kabla sijaoa nilikuwa hivyohivyo..my waifu wangu alinibadilisha sana...mwanzoni ilikuwa ugomvi kunikemea kama mtoto hadi nilibadilika...hahaha..

nenda kijijini Arusha Mbeya na sehemu zingine zenye baridi ukaona, kuna wanawake hawaogi wiki hata kipindi chao cha.....hawaogi...kwanini unawaattack wanaume tu?
 
tetisi zina mambo sana... nadhani hizo tabia ni za alieoa afu akatoswa...!!:smile:!!
 
wewe umeoa?

mzungu mmoja akiwa south africa aliambiwa watanzania kila ukiuliza swali wanauliza swali akafika dar airport akasema nimeambiwa watanzania mkiulizwa swali lazima muulize swali baadala ya kujibu kwanza akajibiwa"""""""""""""""""""""ni""""""""""""""""""""nani kakwambi?????????????akakimbilia tax za airport huku anacheka na kumwacha porter hana mbafu
 
Kwahiyo wanaume waliooa ni wasafi, au wake zao ndio wasafi?

Sema wanaume wengi, au baadhi ambao hawajaoa ni wachafu, ila sio wote. Kama wewe umeona na ulikua mchafu enzi zako, basi sio kila mtu ni mchafu.
 
Mkuu Tuko hoja ulizoweka zina ukweli fulani ingawa kwa waliooana nako mambo si mambo. Uzuri ni kuwa mchango wa wanawake unaonekana vyema kuwa watu wakioana wanakuwa wasafi au wanahimizwa usafi. Mmm ila watu wengine ni wachafu jamani. Ukisoma sifa namba i-ix unakuta mtu anazo sifa zote hizo za kutangaza nia (ya kuoana)
 
ni tabia ya mtu tu, mbona kuna mens ambao ni wasafi kuliko womens!? na kuna wanawake ambao ni aibu, uswaz tunawaona analala na mme wake akiamaka asubuhi hana kuoga wala nini na anashinda na kitenge ambacho hata hakieleweki ni cha rangi gani mng to evining, huyu naye tumuweke kundi gani?
 
Nachukia wanawake wanaokwenda kuoga na kanga au kitenge halafu hawavifui, wanavitumia weee mpaka vinakuwa kama ngozi. Huwa vina uvundo balaa
 
Nimekuwa nikiongea na marafiki zangu na wengi (mademu) wamekuwa na maoni kuwa wanaume ambao hawajaoa ni wachafu ukicompare na waliooa kwa kurefer observations zifuatazo;

i) Wanaume wengi ambao hawajaoa huoga mara moja tu kwa siku (wengine hata siku mbili au zaidi), hali inayopelekea kunuka majasho, na katika kufunika hili hujipulizia perfume kali. sasa timbwili linakuwa anapoingia kwenye majambo, dk chache tu majasho mapya+ya zamani+perfume unakuta ananuka uvundo...

ii) Wanaume wengi ambao hawajaoa hufua kufuli zao mara 1 kwa saa 24 (au zaidi), na ukiwafuma kwa gafla (kama hamkupanga) unakuta wana kamchirizi keusikeusi sehemu ya chicni ya kufuli kwa ndani. Kufunika hili wengi hupenda kuvaa boxer za rangi isiyoonyesha, hawavai nyeupe
icon12.png

iii) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanafuga mav***

iv) Wanaume wengi ambao hawajaoa kwa kuwa mara nyingi wanakuwa na ukame, ni rahisi kula hata mademu wa chini ya viwango vyao (hata makahaba), hii inasababisha unaweza kukutana nae gafla ukakuta katoka kunyonywa.

v) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanavaa nguo ambazo hazifuliwi mara kwa mara, zinakuwa na kaharufu....

vi) Wanaume wengi ambao hawajaoa soksi zao zinanuka...

vii) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanakuwa na fangasi kwenye korodani (sijui kwa nini!)

viii) Ukiingia gafla kwenye chumba cha mwanaume ambaye hajaoa, mara nyingi kinakuwa kichafu balaaaaaaa....

ix) Wanaume wengi ambao hawajaoa hupiga mswaki mara 1 tu kwa siku (asubuhi) hivyo mara nyingi wanakuwa na vinywa vichafu..

Wanaume mliofikia umri wa kuoa, oeni bwana muwe wasafi...

NB; Sio wanaume wote ambao hawajaoa ni wachafu...
.

acha matusi kijana
 
Nachukia wanawake wanaokwenda kuoga na kanga au kitenge halafu hawavifui, wanavitumia weee mpaka vinakuwa kama ngozi. Huwa vina uvundo balaa
aogee kiwe kimelowalowa afu asikianike, we! huo uvundo wake balaa!
 
Back
Top Bottom