wanaume acheni kuvaa bikini!

mkuu jaribu hata kugoogle maana halisi ya neno bikini, then upime na huo mfano wako wa suti...uone ni jinsi gani ulivyoenda chaka

Wat 8 hiyo KIBONGO BONGO, mtaani kwetu ukiulizia LESS WIG hupati mbona! We ulizia WIG LESS hapo utalipata mara moja. Mambo ya USWAHILI USWAHILINI
 
vazi lolote ambalo lina mushkeli sio vazi sahihi hizo mnazosema ni za kiume ni kwa sababu wabunifu wa mavazi wamegundua kwamba kuna wanaume wanapenda kuwa kama wanawake ndio na wao wakawatengenezea.halafu mtoa mada rekebisha kidogo kwa kuandika''wanaume wenye tabia za kike mkivaa vitu vya kike mjisitiri vizuri basi'''kwa sababu zotwe huacha makalio nje na kwa nini mwanaume Nuache ****** wazi kama hufanyi kazi tigo.vya kike vya kikena vya kiume vya kiume basi.
Njoo upate bia hapa Etina bar
 
Hamna wewe utakuwa umechanganya madesa, kuna THONG za kiume zimeingia mda mda kidogo, sasa ndo utakuwa umeona mtu kavaa design hizo. Sidhani kama Engine ya mwanaume inatosha kwenye G-STRING ya kike!!!!! Chupi zenyewe zile 1960s zinaelemewa nusu kuchanika. Thong za kiume zipo kama Bikini ila mbele zinakuwa pana, afu mterial tight kama boxer, na hizi wale wagonjwa wenzangu wa ECZMA(sijui kama nimepatia spellings) wanaume ndo wanashauriwa wavae hizoo, coz boxer inaongeza vipele na muwasho! Usipime kuwashwa ndani ya boxer mbele za watu!!!! Wanawake ndo inashauriwa wavae thong na g-string

hizo za kiume nazo zinapita bonde la ufa? zitakuwa za mashoga hizo. mwanaume mzima kamba inapita kwenye unyeo na unaonyesha makalio duh
 
hizo za kiume nazo zinapita bonde la ufa? zitakuwa za mashoga hizo. mwanaume mzima kamba inapita kwenye unyeo na unaonyesha makalio duh

Hahaah! Hazipiti bana! Nyemba kuliko boxer na si pana kama chupi! LOLEST!!!! Google mens thong fashion utaziona!!!! Hahahahah! @ unyeo
 
Hahaah! Hazipiti bana! Nyemba kuliko boxer na si pana kama chupi! LOLEST!!!! Google mens thong fashion utaziona!!!! Hahahahah! @ unyeo

check website malebasics. inapita bonde la ufa. straight guy hawezi vaa hizi. sijui jinsi ya kuweka linki ningeweka but just google the website
 
my argument was y men wear bikin and not how bikin looks like!

sasa mbonaa naona unazidi kujichanganya...mwanaume atavaa vipi bikini ilihali hana matiti ya kuaccomodate sidiria?...huyo uliyemuona kavaa bikini atakuwa ni choko labda
 
Hahaaah! KAMASUTRA UNIVERSITY OF 6*6, B.A (Hons) in sexiology with bedstyleography!!!! Hiyo nimemaliza na G.P.A 4.5 na kupewa scholarship ya Masters Sexiology with Investment Financing ndo namalizia Thesis!!!! LOLEST!!!! NANI KANUNA????!!!! NICHEKE NIONGEZE MAISHA MIE!

Mbavu zangu bandugu..............................!
 
Back
Top Bottom