Wanaume acheni kuhonga wanawake, jenga nyumba

Et wanasem kujeng ni uoga wa maisha
Nimewahi ona mtu anamkwepa ndugu yake wasionane kisa mstaafu hana hela atamuomba hela! nilijisikia vibaya na kumuomba Mungu aniepushe kufikia hatua ya watu kunikwepa nikistaafu!
 
Nimewahi ona mtu anamkwepa ndugu yake wasionane kisa mstaafu hana hela atamuomba hela! nilijisikia vibaya na kumuomba Mungu aniepushe kufikia hatua ya watu kunikwepa nikistaafu!
Da Kweli mkuu ujana mtu unatakiwa Ujipange sana
 
Ujumbe huu ni mahususi kwa wanaume wote walioko kwenye ndoa na wasiokuwa kwenye ndoa ambao hawajafikia viwango vya Forbes katika kumiliki hela.

Mungu anatupa fursa za kumiliki hela wengi wetu tunaishia kuzitapanya ikifika fainali network zimeacha ku sense kazini wamekuja wamechukua kitengo chako vijana, unaanza kuugua kwa mawazo!

Ukipata hela nunua viwanja, jenga majumba ya kupangisha kadri utakavyo
weza achana na kununua magari mawili, matatu, manne unajiona mjanja!
acha kutapanya hela kwa kuhonga mistarehe ya wadada, mitoko, miharusi kila wiki!Khah.

Achia wanao urithi nawewe zikutunze uzeeni! Magari, wanawake, starehe zinapita maisha yako na ya watoto yapo!

Don't say idid not warn you!
Safi. Shida ni kuepuka miyo miharusi maana imekuwa ya kumwaga siku hizi.
 
Hayo mashairi hawayazingatii wanajua wasanii wanaganga njaa tu! wanaume kibao tunaishia kuadhirika kutokana na kuendekeza vitu vya kijinga kuacha kuwekeza kwenye majumba yanayoongezeka thamani kila mwaka
Mtaani alimpata Radhia tukajua anamchumbia...

Kila siku anae ndani ya gari wanakula raha za Dunia...

Alimgharamia mpaka tukajua anaoa...

Kumbe maisha ya yule Binti anaenda kuyatia doa...
 
umewashauri vizuri sana,biashara ya kupangisha nyumba ni biashara isiyo na stress.bora mtu ukajijengea nyumba nyingi kadri Mungu alivyokubariki pesa.hata kikinuka kazini at least una nyumba zako mbili itasaidia sana.
Upo sahihi sana mkuu
 
Ukianza kufanya hivyo, sawa utakuwa na vitega uchumi ila umri utakuwa umekutupa mkono kufanya ya ujana... kila jambo na wakati wake...
Sawa ila fanya kila jambo kwa kiasi pia, jenga kama bado hujajenga.
 
Safi. Shida ni kuepuka miyo miharusi maana imekuwa ya kumwaga siku hizi.
yap.zipo kibao.lazima utafute suti utakayokuwa umepeleka drycleaner.usafiri kwenda na kurudi! mwezi mmoja harusi nne! zote umechanga
 
Mtaani alimpata Radhia tukajua anamchumbia...

Kila siku anae ndani ya gari wanakula raha za Dunia...

Alimgharamia mpaka tukajua anaoa...

Kumbe maisha ya yule Binti anaenda kuyatia doa...
hizo verse wanasikia kama ni.sanaa ya kaole group
 
Back
Top Bottom