Wanaume acheni kuhonga wanawake, jenga nyumba

Ni ujumbe mzuri Kwetu sisi vjana. Ila umeandika kwa jazba kidogo.

Ungetulia na Kupanga point zako vzuri huku ukitoa Ushauri kwa vijana nini cha kufanya pindi Mtu applies kwenye I humo mzuri anapotaka kujijenga, kwani kuna we zangu na Mimi hapa tunasomesha hadi wajukuu wa Mjomba wa Mama.
mkuu umesahau kuwa makanisani na misikitini tunaambiwa ujumbe kwa mipangilio mizuri na bila jazba na hatuifuati? sembuse hapa,ambapo hela ni zako na vimwana wa kumwaga,wachache watakaonielewa na kuchukua ushauri wangu.wengi watajuutra mda ukifika.
 
Dunia nzima wanaume wanahonga na hakuna popote duniani ambako wanaume wote wamejenga...
sio duniani kote wanaume wanaadhirika na.kufa mapema baada ya kustaafu kama kwetu hapa! usilishe watu matango poli.
 
umewashauri vizuri sana,biashara ya kupangisha nyumba ni biashara isiyo na stress.bora mtu ukajijengea nyumba nyingi kadri Mungu alivyokubariki pesa.hata kikinuka kazini at least una nyumba zako mbili itasaidia sana.
kweli mkuu.wengi wanadhani magari ndio deal na totoz!
 
kuna Afande mmoja hapo dsm aliamua kuwekeza ktk kujenga nyumba.sasa ananyumba 11 za kupangisha.hizo nyumba zilizaliwa na nyumba za kwanza.mwenye kuelewa na aelewe ushauri huo mmepewa vijana
hii ni njia nzuri sema wengi hawajui na watanzania hatupendi kuwaambia wenzetu mambo mazuri! wakati wengi wanatia huruma wakistaafu
 
Sasa na wanaoishi kwa starehe si watakufa njaa. (wamiliki wa kasino n.k)
Starehe zinawenyewe! haziwezi kufa kwavile wajinga ni wengi wanayasikia haya ila hawatabadilisha njia zao za maisha
 
Hela nizitafute mimi halafu wewe ndo unipangie matumizi!
hii sio ibada kila mtu aseme ameni,wameshindwa wazazi wako,mke,ndugu kukupangia nitaweza mie? waacha waliokubali wazo langu ww potezea.sio kesi
 
Ukianza kufanya hivyo, sawa utakuwa na vitega uchumi ila umri utakuwa umekutupa mkono kufanya ya ujana... kila jambo na wakati wake...
ujana sio kutapanya mali na kujutia ukiacha kazi! umewahi jiuliza kwanini wahenga walisema Golden chance never come twice? au yakale ni dhahabu? endelea kula ujana.
 
ujana sio kutapanya mali na kujutia ukiacha kazi! umewahi jiuliza kwanini wahenga walisema Golden chance never come twice? au yakale ni dhahabu? endelea kula ujana.
Ila kila mtu ana namna yake ya kuishi na ana vipaumbele vyake... unavyoona wewe sawa kwako kwa mwingine anaona ni kupoteza muda tu...
 
Mkuu sio ibada kuwa kila mtu aseme amina! kama ushauri niliotoa haukufai waachie wanaofaa.hili swala ni nyeti kuliko nyeti zenyewe.weka mbali mizaha
Mzaha unaleta ww! Hadi unatoa ushauri huu maanake unajua faida ya kutokuhonga! Unaeza usiwe mhongaji lakini ukawa mlevi, unaeza usiwe mhongaji ila majukumu ndugu wanakutizama ww kila kitu, kuna vikwazo vingi vya Kujenga ila kuhonga haizuii kabisa Kujenga, Kujenga ni akili zako tu mwenyewe, wangapi wahongaji wamejenga? Tena kwa taarifa yako unavozidi kuhonga ndo unapata zaidi, ukiona mtu anahonga jua anahela, nakupa mfano, kuhonga hakufilisi mtu, ebu jiulize, mtu anaepata elfu kumi kwa mwezi akahonga buku moja ataonekana ni mjanja hachunwi, na yule anaepata laki moja anapohonga elfu kumi anaonekana mjanja hachunwi? Sasa iweje anaehonga million moja aonekane mjinga wakati nae anaingiza milioni kumi? Au iweje mtu aonekane mjinga kwa kuhonga milioni kumi wakati anaingiza million mia? Jaman hao si wote wametoa 10% ya vipato vyao? Sasa inazuia nn Kujenga? HOJA HIZI NI ZA KIMASKINI HUWEZI ACHA KUHONGA, KUJENGA AKILI YA MTU MWENYEWE....UNAWEZA USIHONGE NA USIJENGE,,,,Kuhonga mjomba IPO tangu enzi na enzi
 
Ila kila mtu ana namna yake ya kuishi na ana vipaumbele vyake... unavyoona wewe sawa kwako kwa mwingine anaona ni kupoteza muda tu...
ndo maana nimesema sio ibada kila mtu aseme ameni lkn facts zinaongea kuliko assumptions
 
Mzaha unaleta ww! Hadi unatoa ushauri huu maanake unajua faida ya kutokuhonga! Unaeza usiwe mhongaji lakini ukawa mlevi, unaeza usiwe mhongaji ila majukumu ndugu wanakutizama ww kila kitu, kuna vikwazo vingi vya Kujenga ila kuhonga haizuii kabisa Kujenga, Kujenga ni akili zako tu mwenyewe, wangapi wahongaji wamejenga? Tena kwa taarifa yako unavozidi kuhonga ndo unapata zaidi, ukiona mtu anahonga jua anahela, nakupa mfano, kuhonga hakufilisi mtu, ebu jiulize, mtu anaepata elfu kumi kwa mwezi akahonga buku moja ataonekana ni mjanja hachunwi, na yule anaepata laki moja anapohonga elfu kumi anaonekana mjanja hachunwi? Sasa iweje anaehonga million moja aonekane mjinga wakati nae anaingiza milioni kumi? Au iweje mtu aonekane mjinga kwa kuhonga milioni kumi wakati anaingiza million mia? Jaman hao si wote wametoa 10% ya vipato vyao? Sasa inazuia nn Kujenga? HOJA HIZI NI ZA KIMASKINI HUWEZI ACHA KUHONGA, KUJENGA AKILI YA MTU MWENYEWE....UNAWEZA USIHONGE NA USIJENGE,,,,Kuhonga mjomba IPO tangu enzi na enzi
fanya unachoamini sio lazima ufuate nilichoshauri.
 
Good to have you back Rev.

Nakubaliana na hoja yako, kimsingi huko ndio kwa kuanzia, turekebishe tulikokosea, na ikibidi kuwafikisha mahakani waliotuingiza mkenge., Hawa akina 'vipuri" walioteuliwa, nawaasa wafanye kazi zao kwa juhudi wakishirikiana vema na technocrats waliopo kwenye hizo balozi zao, wasilete uungu mtu, wasikilize hoja za waTZ waishio huko na ikibidi kuzipatia ufumbuzi/kufanyia kazi, kwani si matatizo pekee yanayopelekwa balozi, kuna hadi proposals za miradi ya kiuchumi ndani ya nchi hizo, balozi zetu zitusaidie ktk kuhakikisha nasi tunawekeza nchi za watu.
Ameshauri tuongeze mijumba ya kupangisha
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom