Wanaume acheni hii tabia

Shida yenu mtu akija tu na ishu ya kuoa mnashoboka sana. Ndo maana mnaishia kutendwa tu kila siku. we ukitajiwa ndoa tu mbio kuadithia mashosti khaa
 
Mwanamke nikimwambia mi sina malengo na wewe nataka tu duuu nkuchezee alafu hamu ikiisha nasepa alafu akakubali, mi nasepa huyo lazma malaya.
nani alisema ...kwani wanawake wenye nyege ni malaya tu? binadamu yeyote mwenye afya njema ana ny..ge ...so lolote laweza kutokea kwa yoyote loh!
 
muache kabisa.....tena wengine wamo humu....nawajua.....

Wataje siku hizi mambo hadharani, na hao wadada waache kabisa tabia ya kumkubalia mwanaume mwenye kipato na elimu ndio maana na wao wanatoswa maana kuna kitu wamekiona thats why wanakuwa ni watu wa kutoswa kila mara, kama wana mapenzi ya kweli mbona wengi wakiwa juu kifedha na kielimu wanawakataa wapiga debe
 
kwani lazima utaje ndoa..si uwe mkweli tu kwamba mimi bana ninataka tuduu nina hamu nisaidie! mtu aamue mwenyewe maybe na yeye anatakaje? alikuwa tu anaogopa kusema? ...mnaboaje...kuweni straihht kama The Boss..loh!

Kwa wanaume wengi akimfuata mrembo objective ya kwanza ni kuduu and in the course of relationship inafuata idea ya marriage, sidhani kama mwanamume day one tu anakuja na kuanza kukuambia issue za kuolewa kwa vyovyote mrembo mwenyewe ndio atakuwa anamuuliza lengo lake nini katika hii relationship. KWANI AKIKUAMBIA ANATAKA KUVUTA JUMLA NDIO UMPE TUNDA, MTU KAMA HUYO NDIO VIZURI KUMRINGISHIA PASIPO KUMPA URODA, HAPO KOSA NI LA MDADA KUAMBIWA NDOA ANAKUBALI KULIWA.
 
Helo wana jf, mm n mgeni humu ila nataka kufikisha tu kinachonikera kwa wanaume,
Unakuta Mwanaume huna nia a dhati kwa mdada fulani ila unamfuata na kudai kuwa unampenda na pia unahitaj awe mkewe siku za mbeleni na huku ukijua wazi unayoongea ni uongo ila tu unataka kumchezea tu mdada wa watu na kumuacha solemba. Jamani wadada mara nyingi huwa ni waaminifu kwny relationships lakini Wanaume ndio mnawaangusha kwa kuwaharibia hisia zao. utakuta Mdada akili yote iko kwako lakini unaamua kumtosa na kumuacha ateseke, sio vizuri wanaume acheni hii tabia!
Nawailisha..........
oonatha , Mie nna hamu tu ya ku do na wewe, unasemaje mwenzangu,
PS:
Mie ni Mume wa mtu na mke wangu ni Mjamzito wa miezi mi4
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu jana alisema sio kuchezewa bali sema kuchezeana, hasa nyie akina dada mnaongoza kwa kutuchezea akina baba, mara mtuite ATM, mara sijui Doli langu wala sijui wa Kuzugia!!! Kha, muache roho mbaya jamani na sie wenzenu tuna hisia kama zenu. Ndio nimesema sasa kama mnanuna nuneni tu, mbona mi mlinikimbia mara tatu nzima kila nikitaka kutangaza harusi na ndoa mnanikimbia, so na nyie muache mambo ya khuni bhana
 
Mwanamke nikimwambia mi sina malengo na wewe nataka tu duuu nkuchezee alafu hamu ikiisha nasepa alafu akakubali, mi nasepa huyo lazma malaya.

Sasa kwani akiwa malaya kuna shida gani?Swala ni makubaliano ili hali kila mtu anajua nini lengo na uhusiano huo!
 
Helo wana jf, mm n mgeni humu ila nataka kufikisha tu kinachonikera kwa wanaume,
Unakuta Mwanaume huna nia a dhati kwa mdada fulani ila unamfuata na kudai kuwa unampenda na pia unahitaj awe mkewe siku za mbeleni na huku ukijua wazi unayoongea ni uongo ila tu unataka kumchezea tu mdada wa watu na kumuacha solemba. Jamani wadada mara nyingi huwa ni waaminifu kwny relationships lakini Wanaume ndio mnawaangusha kwa kuwaharibia hisia zao. utakuta Mdada akili yote iko kwako lakini unaamua kumtosa na kumuacha ateseke, sio vizuri wanaume acheni hii tabia!

asante ni kweli usemalo...na sie wanaume tunaomba basi muwemnakubali ukweli pale ambapo mwanaume anakwambia kuwa anakutamani kimapenzi na anataka muwe mnapeana uroda...wanaume wanaishia kudanganya kwa sababu mwanamke ukimwambia kuwa wataka muwe mwapeana utamu anasema eti umemdharau so na sie wanaume twaipenda sana ile K hivyo njia pekee ya mwanamke kukupa K ni kumwambia kuwa mtakuwa na future. sasa je wanawake mpo tayari kuwa mnatupa K tukiwaambia ukwel?
 
kwani si uwe mkweli tu kwamba mimi bana ninataka tuduu nina hamu nisaidie!...mnaboaje...kuweni straihht
Smile sasa vipi mi nataka kipoch utamu utanisaidia nipo chini ya magoti kama c mapaja yako.ih picha yako uwa inanipa ...
 
Last edited by a moderator:
"jamani wadada mara nyingi huwa ni waaminifu kwenye relationship" Nani amekuambia haya?Hawa wadada labda wapo sayari ya Mars!

Wapo sayari hii hii ya Earth useme wewe ndo hujakutana nao.
 
mimi ningekupa ila hakipo tena...kupo blocked
haya bhana we kibanie kiote ukurutu,kifubae na kama umekiblok makusudi cku unataka kuki unlock usinitafute vinasumbuaga sana ktk kuvifungua utamu unakuwaga at the max
 
bora umesema kweli kabisa manake mii sielewi nimewekwa kwenye pending moment yani naumia kweli ,nikimwuliza kwann hivyo ananiambia sikuwa na mood ya kuongea na wewe sijui na yeye anasubiri mvua ikatike aendelee na safari manake vitimbi vinazidi ila navumulia labda atanipenda in future ngoja nisubiri
 
Helo wana jf, mm n mgeni humu ila nataka kufikisha tu kinachonikera kwa wanaume,
Unakuta Mwanaume huna nia a dhati kwa mdada fulani ila unamfuata na kudai kuwa unampenda na pia unahitaj awe mkewe siku za mbeleni na huku ukijua wazi unayoongea ni uongo ila tu unataka kumchezea tu mdada wa watu na kumuacha solemba. Jamani wadada mara nyingi huwa ni waaminifu kwny relationships lakini Wanaume ndio mnawaangusha kwa kuwaharibia hisia zao. utakuta Mdada akili yote iko kwako lakini unaamua kumtosa na kumuacha ateseke, sio vizuri wanaume acheni hii tabia!
Nawailisha..........

Ni Haki ya kila mwanamke kutongozwa na kuunganisha vikojoleo! Tusipowatongoza si mtatupeleka kwa pirato?
 
Hivi hakuna wadada wanaowachezea wanaume? Wanawadanganya wanawapenda na kubahave kama wives material kumbe wizi mtupu! Nafikiri wapo wengi.
 
Helo wana jf, mm n mgeni humu ila nataka kufikisha tu kinachonikera kwa wanaume,
Unakuta Mwanaume huna nia a dhati kwa mdada fulani ila unamfuata na kudai kuwa unampenda na pia unahitaj awe mkewe siku za mbeleni na huku ukijua wazi unayoongea ni uongo ila tu unataka kumchezea tu mdada wa watu na kumuacha solemba. Jamani wadada mara nyingi huwa ni waaminifu kwny relationships lakini Wanaume ndio mnawaangusha kwa kuwaharibia hisia zao. utakuta Mdada akili yote iko kwako lakini unaamua kumtosa na kumuacha ateseke, sio vizuri wanaume acheni hii tabia!
Nawailisha..........
Acheni kuwa wepesi na nyinyi...mwongo na mkweli wanajulikana...haya yote yanakuja baada ya kupenda kutoa tunda kabla ya kuolewa...
 
Back
Top Bottom