Wanasiasa...

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini, mkulima mmoja akasogea kuwacheki akaamua kuwazika wote. Polisi walipofika wakamuuliza zipo wapi maiti? Mkulima akajibu, nimezizika zote. Polisi wakauliza tena una uhakika wamekufa? Mkulima akajb 'wachache walilalamika kuwa hawajafa, ila si unajua wanasiasa walivyo waongo? Mie nikajua wanadanganya tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom