Wanasiasa wazee wa Misifa

Paparazi Muwazi

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
310
79
Peter Temba in Moshi
Daily News; Sunday,January 13, 2008 @20:03

MOSHI Urban MP Philemon Ndesamburo has purchased a 5-acre plot at
Kiboriloni area, to relocate over 1,000 traders currently shuffled at
King
George Memorial Stadium here. The MP told a cheering crowd here on
Saturday that his decision to set up the market, which he also intends
to
modernise, was based on the fact that Kiboriloni was an international
market, where Tanzanians and foreigners buy and sell various goods.

Mr Ndesamburo said he was negotiating with Municipality fathers to see
how
the business people could begin their activities at the new place and
leave the stadium for other sport and celebration activities.

He took the occasion to publicly declare that he would contest the
Moshi
parliamentary seat in 2010. Ndesamburo said he was heavily indebted to
the
electorate in his constituency, because he was an ardent development
activist who has to do a lot more.

“If am nominated by my party (CHADEMA) and later re-elected, I will
introduce sustainable poverty alleviation development projects in this
constituency”, he said. He blamed Moshi Municipal Council for
allegedly
undermining his efforts to ameliorate welfare of his electorate on
political grounds, suggesting that functionaries who harbour false
feelings that the opposition camp was incapable of delivering should
relinquish their posts immediately. "Why should opposition parties be
discriminated when implementing development projects?" he queried,
advising relevant authorities to allow him serve his electorates
unimpeded.
 
Watu wengine kwa uoga kaa watoto vile. Yaani unaweka post halafu unasign off!

Unasikitisha. Weka post na ukae online ili kuisimamia hoja zako hizi za ajabu damn it!
 
Paparazi, unaanzisha mada nzuri ila nadhani vichwa vya habari vinakuwa viko tenge (Kwa maoni yangu)

Sioni uhusiano wa kutaka misifa, zaidi ya kwamba huyo mzee kawajibika kwa wapiga kura wake, sana sana nawashauli wabunge wengine wawajibike hivo hivo katika majimbo yao na siyo kusubili wakati wa kampeni kwenda kugawa pakti za chumvi na tisheti za njano! BRAVO Ndesamburo!
 
watu wengine kwa uoga kaa watoto vile. Yaani unaweka post halafu unasign off!

Unasikitisha. Weka post na ukae online ili kuisimamia hoja zako hizi za ajabu damn it!

Toa hoja mama ujibiwe. Hoja hipi ya ajabu? Kwamba Mzee Ndesa wa CHADEMA anapenda misifa?
 
Wazee kama hawa ndo taifa linawahitaji. Yeyote atakayemtuhumu huyu mzee kwamba anapenda sifa, basi huyu ni adui namba moja wa taifa letu! Tunahitaji wanasiasa kama hawa! Utajiri wake anawamegea kidogo wapiga kura wake. What would have happened to the lives of common wananchi if Mkapa, Sumaye, Lowassa, RA et al did the same? mradi kama huu utawanufaisha vijana wengi ambao wako kwenye informal sector.

Good move!
 
Kudos to Ndesamburo! Nakubaliana na Masanja kuwa watu kama hawa ndio wanaotakiwa katika taifa letu. Ni dhahiri kwamba serikali haitatusaidia katika kila kitu, hususan pale inapokuja kwa wananchi wadogo. Sasa kama Ndesamburo ni mtu mwenye uwezo (wa kifedha au wadhifa wa ubunge) anafanya mambo kuboresha maisha ya watu wake, shida inatokea wapi? Kwa kweli kama ni misifa (by the way, misifa si kiswahili sanifu!!) nafikiri hiyo ni kwa watu kama Kingunge ambao tangu wakati wazazi wangu wakiwa vijana alikuwa na uongozi fulani na mpaka sasa hivi mimi mtu mzima bado anang'ang'ania ulaji. Hafanyi chochote cha maana kuusaidia umma (labda kuukandamiza upinzani). Kitu anachostahiliMzee Ndesamburo ni shukrani na sifa njema kutoka kwa serikali kwa kusaidia kufanya kile serikali imezembea kufanya!

Paparazi Muwazi, ningeshauri utoe hoja za kujenga na sio kuendeleza husuda na fitina, tena kwa kitu kisichostahili.
 
Nadhani anayependa misifa hapa ni paparazi muwazi. Hana hata aibu. matatizo ya unazi tu hayo. be objective man! c'mon!
 
aliyeleta mada hii mie baada ya kuisoma nadhani atakua spika wa bunge sitta au katibu wa chama cha mafisadi muzee mwenyewe masanja mkandamizaji...oops i mean makamba

nasema hivyo kwa sababu sioni baya alilotenda ndesa pesa zaidi ya ku do his duty kwa wananchi wake maana kuna wabunge wengine wa ccm hata ukimuuliza mara ya mwisho kwenda jimboni kwake atakwambia ye mwenyewe hakumbuki ngoja acheki diary yake ya mwaka 2005!!!
sio hilo tuu muulize toka umeingia bungeni ushawahi toa hoja yoyote as katika process ya kutetea na kutoa mawazo ya wananchi wako...anaweza akajibu ngoja akumbuke siku aliyokua macho full day huko bungeni as huwa mara nyingi hayuko bungeni,au akienda ni asubuhi kwa ajili ya kutick attendance kuwa alikwepo kama watoto wa shuleni au akiwepo basi yuko kimwili tuu ila saa nyingi ameuchapa usingizi akiwaza vimada na ufisadi
 
Back
Top Bottom