Wanasiasa wanasemaje kuhusu hili ?

Iga

Senior Member
Dec 17, 2007
112
6
HIVI viongozi na WABUNGE wetu wanajua kwamba mtu anayetaka kusoma toka kwenye internet masomo kama ya Lugha, Dini na mengineyo ambayo yanawasilishwa kwa sauti ISP wa Kitanzania hawaruhsu na wakiruhusu wanakomba fedha yote iliyopo kwenye akaunti ya mtu ?

Je, wanajua kwamba ni gharama kubwa sana kudownload kitu chochote toka kwenye mtandao wa TTCL na ni mbwembwe zao mbalimbali hazimridhishi mteja maana kinachojaliwa hapa ni huduma bora na nafuu lakini wao sio hivyo ?

Hivi kuna nchi yoyote duniani inayochaji intaneti kutokana na jinsi mtu anayodownload vitu kweli ? Au huu ni wizi wa kimachomacho kama sio wa kimkonomkono?

Nchi hivi itaendelea kwa kuwa na DATA PROVIDERS NA INTERNET SERVICE PROVIDERS ambao wamekalia kuwakomoa watumiaji wachache waliopo kama vile TANESCO inavyokufa na kuwaua wateja waliopo ?????
Attention, Account Holder,
 
Inahuzunisha sana labda kuna hiyo agenda ya mkonga wa mawasiliano na kampuni mpya ya sasatel naona wao wana technologia mpya ya simu
 
Back
Top Bottom