Wakuu,
kwanza salaam!
Chuo kikuu cha Dar es salaam kama vyuo vingine katika utaratibu wake wa kutoa degree za heshima waliwahi kumtunuku Honorary degree Mwl Julius Kambarage Nyerere mwaka 1985 lakini tangu wakati huo sijaona mahali Mwl akiwa addressed kwa jina la Dr J.K.Nyerere
Mwaka 2006 walimtunuku degree ya heshima raisi mstaafu B.W Mkapa lakini naye pia media hazimu adress kama Dr B.W.Mkapa ila huyu mwenzetu kupewa tu videgree vya heshima tayari watu wamekomalia Dr, Dr. Ina raha gani hii doctorial degree ya kupewa?